Uzi huu ni mrefu.
Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa.
Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
afrika
afya
brazil
ccm
corona
covid
covid-19
covid19
hela
jafo
korona
kubwa
lockdown
magufuli
maisha
maombi
mungu
nyuzi
pandemic
pepo
propaganda
rais
serikali
tahadhari
taifa
taifa letu
tanzania
ulaya
ushauri
video
wanawake
watanzania
who
wizara ya afya
Waziri Mkuu wa Italia, Giuseppe Conte amesema nchi hiyo itafungua mipaka yake kwa nchi zote ambazo ni wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) kuanzia Juni 03 mwaka huu
Conte amesema hatua hiyo ni sehemu ya jitihada za kufufua uchumi na ameeleza kuwa hakutokuwa na utaratibu wa karantini ya lazima kwa...
habari wakuu?
Ninajihusisha na uagizaji wa Spea za magari ya Ulaya... Kwa muhitaji yeyote anaweza kuni PM au akacomment hapa nitakusanya request kisha nitareply kwa Bei zetu.
Bei ni nafuu na spea ni Original
Kwa sababu ya changamoto ya mtaji hatuna stock bali tunaagiza moja kwa moja Ulaya kwa...
Rais amedai kuna watalii walio book safari na kujaza ndege zote toka Ulaya, anajuaje kuhusu hizo ndege, anapewa data na kampuni za hizo ndege? Kwani ukinunua tiketi unasema sababu za safari?
Hizo ndege zilifanyiwa booking toka kabla ya korona, anafikiri wasafiri wata riski kusafiri kuja...
Naibu waziri wa Maliasili na utalii mh Costantine Kinyasu amesema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watalii na wadau wa Utalii kutoka Ulaya wakilalamika kuchoshwa na kufungiwa ndani hivyo wanataka kuja Tanzania kupumzika.
Waziri anasema ameshakutana na wadau wa Utalii hapa nchini kuzungumzia...
Taarifa ya pamoja iliyotolewa na tovuti ya kidiplomaisa ya Ureno imesema, mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi 11 za Ulaya wamekubali masharti ya kufungua tena mipaka na kurejesha uhuru wa mawasiliano kati ya wakazi wa Ulaya.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, wawakilishi kutoka Ujerumani, Austria...
Unahitaji utulivu wa akili na umakini katika kufikiri ili kumuelewa Magufuli kelele za Covid-19: Hoja Sita!
Denis Mpagaze
___________________________
Katika kipindi hiki cha corona na propaganda za magharibi, tusipojipa muda wa kuusaka ukweli tutakuja kumuelewa Rais Magufuli akiishaoondoka...
Habari!
Karibu ili kujuzwa na pia kupata taarifa (masasisho) mbalimbali ya kile kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) almaarufu kama "kirusi cha Wuhan" kutoka nchini China.
Katika uzi huu utapata kufahamu mambo mbalimbali hususani hali ya ongezeko na ukuaji, jitihada...
Kutokana na wabongo wengi kutuonea wivu sisi waishi ulaya nimeona nifungue huu uzi ili nyie mlioko nchi za maziwa makuu mje humu mumtaje mwana ulaya mmoja mkimtaka atoe uthibitisho wa yeye kuwa mbele USA au Europe.
Nimegundua wabongo wengi mna wivu mtu akiwa mbele mnamchukia mtamfukunyua mpaka...
Bwana Rajoelina anasema kwamba taifa la Ulaya lingekuwa limetenegenza dawa hiyo, majibu ya mataifa ya magharibu yangekuwa tofauti
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amesema kwamba wakosoaji wa dawa ya mitishamba ambayo haijajaribiwa ambayo anaipigia debe kuwa tiba ya Covid-19 inaonyesha tabia...
Niliwahi kufanya kazi kwa Mkufunzi mmoja wa UDSM, yeye hakuwa mwajiri wangu ifahamike. Yule Dr.jina mfukoni siku moja alianzisha mada sasa nikaamua kumsifia then nikampa challenge kidogo.
Akafunguka na kuniambia kuwa ukisoma nchi za nje hususani mataifa ya Asia and so lazima uwe makini maana...
Narudia Tena omba Mungu usipate mafua hapa ulaya utaomba ardhi ipasuke.
Waafrika tuna vimafua flani vya kikuda hasa ukiwa maeneo ya baridi Kama tukuyu pale isonje au Arusha.
Vimafua hivi tukiwa bongo tunavichukulia poa tu ; tunafuta na leso au wale wasio wastaarabu wanafuta kwa mkono.
Sasa...
MIEZI miwili tangu Uingereza ilipotangaza rasmi kujitoa katika Umoja wa Ulaya (EU), tayari imeanza kuonja machungu ya kujitoa katika umoja huo, baada ya kukosa fursa ya kupata msaada wa kupambana na majanga katika kipindi hiki ambacho nchi hiyo imekubwa na janga la homa kali ya mapafu...
Ndugu zangu wana JF
Kwa muda wa siku tatu mfululizo nimetokewa na malaika katika ndoto alinieleza chanzo na sababu ya Coronavirus KUUA zaidi jamii ya hawa wenzetu wanaojiita bora zaidi kuliko sisi waafrika.
Kuna mambo mawili muhimu ya kuzingatia;
1. Sababu ya kimazingira
2. Sababu za kibiolojia...
Ukifuatilia kwa umakini epidemiology ya ugonjwa huu haiziathiri ngozi nyeusi zilizokulia Africa zinazopambana na Virus wengi walioko kwenye Vumbi tunalokutana nalo pengine Vumbi hili lina particles ndogondgo ambazo hazitakiwi na mwili na hivyo basi kinga za miili yetu ziko stressed kuingia...
Supastaa wa zamani wa Inter Milan na Chelsea, Samuel Eto'o amewatolea uvivu maprofesa nchini Ufaransa kufuatia matamshi yao yasiyofaa juu ya Afrika kipindi hiki ambacho ulimwengu unatafuta ufumbuzi dhidi ya kupambana na ugonjwa wa Virusi vya Corona.
Hakuna dawa ambazo zinaweza kuzuia ugonjwa...
Wana JF, Heshima kwenu wote
Naona mitandaoni na baadhi ya wanasiasa wetu hapa bongo wakionekana kutamani nchi yetu iige kufanya lockdown kama walivyofanya Ulaya, Marekani na nchi nyingine tajiri zilizofanya hivyo. Ukweli ni kwamba hayo ni mawazo ya kipuuzi na ya kipunguani ambayo sijui mtu...
Afrika tuna bahati kuwa kasi ya kuenea na kufa kwa COVID-19 sio kubwa, tumshukuru kwa hili kwakweli. Sina uhakika kama hii inatokwna na uhodari wetu katika kuupiga vita ugonjwa. Hii ni tunu kutoka kwa MwenyeziMungu wetu. Lakini hatunabudi kuitumia bahati hii kwa kuchapa kazi kwa bidii wakati...
Najua kuna watu wanafatilia sana na kushtuka na idadi ya watu wanaokufa huko Italy kutokana na ugonjwa wa korona. Vifo hivi vimeleta hofu kubwa kiasi kwamba watu kusitisha shughuli zote ili kuzuia maaambukizi.
Kwa muktadha huo nimependa watu hasa wa dunia ya tatu kufahamu magonjwa ya mafua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.