ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Kagame ni Shabiki wa Arsenal FC unadhani Rais Magufuli nje ya kuwa Mwana Simba SC huko Ulaya atakuwa ni Shabiki wa Timu gani?

    Bravo,Congrats ARSENAL for a well deserved and needed win -FA CUP. We,FANS and supporters kept Faith in you...going forward let's aim at much bigger things. WE CAN... !!! paulkagame
  2. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Afrika na sisi tunaendaga Ulaya kutalii na kuangalia Vivutio Vyao?

    Habari za usiku huu! Najiuliza wazungu huku Afrika wanakuja wengi sana kutalii wengine kazi, na chungu nzima wapo humu. Nasisi je huwa tunaweza kwenda kwao kama huku tu na kwenda kuangalia mbuga za wanyama, na milima tukapiga picha na kuvaa zile kofia kubwa za kitalii mabegi mgongoni. Kama...
  3. Wacha1

    JamiiForums Tanzania COVID-19: Ulaya hali bado ni tete

    The leaders of EU27 countries wore face masks as they greeted each other with elbow bumps, nods, bows and some variations at a summit to thrash out a deal on a multibillion coronavirus recovery fund for the bloc's economies There were birthday gifts for the German chancellor, Angela Merkel, who...
  4. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Corona Afrika ya Kusini, Marekani na Ulaya ilishaisha, wanatishia ili watu wasiende (ni uchoyo hawataki wageni)

    Nimeshtuka, Wazungu ni wajanja, wanatuzuga wana Corona kumbe haipo kwa kiwango kinachotangazwa, ili tu wahamiaji wakate tamaa, ukweli ni kwamba Corona ilishaisha mfano hai watu waliandamana kwa maelfu lakini hakuna aliyekufa, Wazungu fungueni mipaka tuje. Asante.
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biashara ya matunda kutoka Kenya kwenda Ulaya yazidi kunoga kwenye kipindi cha Corona

    Yaani haijatokea tena kwenye historia kipindi ambacho mauzo yetu ya matunda Ulaya kuwa kiasi hiki, yaani Mkenya ni king'ang'anizi kwenye kila hali. Hongera sana "bandugu" ====== Horticulture shrugs off Covid-19 to earn Kenya Sh72bn in five months By GERALD ANDAE Earnings from...
  6. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kuombana chenji hudumisha amani na udugu. Mlioishi/mnaoishi Ulaya na huko wanaombana chenji?

    Kile kitendo cha kuomba chenji kwa mwenzako uwe mfanyabiashara au siyo hudumisha amani kwani anayeombwa naye hutoa akiweka akiba kuwa akiishiwa ataomba kwa aliyemsaidia. Ila kwa watu mlioishi na mnaoishi Ulaya na Marekani huko nako mnaombana chenji? Kama hamuombani huwa mnafanyeje?
  7. tzkwanza

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mungu: Kijana ataka kuzamia Ulaya kwa kujificha kwenye injini ya ndege

    Hapa ni Mungu tu aliyemuokoa huyu dogo. Sisi tuliosoma Physics japo ya St. Kayumba tunajua nini kingemkuta huyu dogo baada ya Injini kuwashwa. Kwa kifupi hata unywele wasingeambulia ndugu zake.
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dodoma Stendi kama Ulaya vs Nairobi Soko la Wakulima

    Leo nimesoma Dodoma imekuwa kama ulaya kwa mujibu wa stendi mpya. 😂😂😂😂 Shukrani nikaskia zinapewa JPM. Kwani rais ndiye kufanya kazi yote Tanzania? Nayo hii soko kubwa mpya Nairobi vipi? Mbona kila project ndogo ya Tanzania lazima itangazwe hapa kwa section ya Kenya? 😂 😂 😂 Haya oneni pia...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania Raia wa nchi 11 kutoka Afrika mbioni kuruhusiwa kuingia nchi wanachama wa EU kuanzia Julai baada ya nchi hizo kufungua mipaka

    Kwa mujibu wa Euronews orodha ya awali inaonesha raia wa nchi za Mozambique, Angola, Namibia, Ethiopia, Zambia, Rwanda, Uganda, Misri, Tunisia, Algeria na Morocco wataruhusiwa kuingia nchi za Umoja wa Ulaya (EU) Inaelezwa huku Ulaya ikiwa inajiandaa kufungua mipaka, Maafisa wa nchi hizo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wakati wowote kuanzia sasa, viongozi wa nchi fulani wanaweza kuwekea vikwazo vya kusafiri katika nchi za Ulaya na Marekani kama sio kunyimwa misaada

    Kwa yanayoendelea katika Taifa fulani,yanatoa kila sababu kwa Bwana wakubwa wa huu Ulimwengu kuingilia kati na kuchukua hatua.Hatu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na kuwafungia viongozi wa nchi hiyo kutosafiri kwenda Marekani na baadhi ya nchi za ulaya au nchi wahisani kusitisha misaada na mikopo...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Naomba msamaha kwa maoni yangu kuhusu wa watu wenye asili ya Afrika kunyanyasika na kubaguliwa Ulaya na Marekani

    Historia ya watu Afrika ni chungu sana toka miaka ya zamani sana kwa mfano kupitia kipindi cha utumwa, ukoloni na sasa ukoloni maomboleo, lakini historia ya watu mbalimbali katika sehemu ya dunia ni chungu pia sio tu ya watu wenye asili ya Africa tu. Yafuatayo ni suluhisho ya ubaguzi wa...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya Upinzani teueni Mgombea Kati ya walioko Tanzania ndege za ulaya hazisafiri hazijulikani lini zitaanza sababu ya Corona

    Kwa sababu ya Corona ndege za kutoka ulaya kuja Tanzania hazipo na hazijulikani lini zitaanza Kwenye mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi chadema na vyama vingine vya upinzani ni vizuri vikateua wagombea uraisi waliomo ndani ya Tanzania. Wasije poteza kwa kuteua mtu ambaye hataenda kuchukua...
  13. abudist

    JamiiForums Tanzania Tanzania inapewa misaada zaidi na Uingereza (DfID) sawa na nchi 6 za Ulaya mashariki pamoja!

    Waziri Mkuu wa Uingereza ameazimia kuivunja idara ya kimataifa ya misaada na maendeleo Department for International Development (DfID). Kwa kuona inatumia pesa bila ufanisi na Uingereza haifaidiki. Na moja ya nchi iliyotajwa kufaidika zaidi ni Tanzania kuliko hata nchi za ulaya mashariki...
  14. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Norway ampongeza Rais Magufuli katika Mapambano ya Covid19

    Baadhi ya Nchi za Ulaya zimeanza kutambua na kupongeza hatua ambazo Tanzania imezichukua katika kupambana na Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19 kutokana na muongozo wa Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kuwa zinaendana mazingira na hali halisi ya Tanzania. Waziri wa Maendeleo...
  15. Dam55

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Mbowe Marekani na Umoja wa Ulaya wamejitia aibu, ni rasmi sasa kuna kitu wanakitafuta Tanzania

    Tangu mwanzo walio wengi walianza kuwa na shaka juu ya haya mataifa ya nje namna yanavyoitazama Tanzania. Tukio la kuumia kwa mh Mbowe kama inavyodaiwa kuwa alishambuliwa lilileta taharuki kubwa kiasi cha mataifa haya makubwa kuja na matamko mengi. Jambo la kushangaza ni kitendo cha Marekani...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Ile ndege ya ATCL iliyopeleka nyama ya mbuzi Oman haiwezi kupeleka minofu ya Sangara Ulaya?

    Jana waziri wa fedha Mh Mpango amesema serikali imeingia mkataba na mashirika ya ndege ya nje mfano Rwandair na Ethiopian Airline kuweza kusafirisha minofu ya samaki kutokea Mwanza na mbogamboga kutoka KIA kuelekea Ulaya. Swali dogo: Ile ndege ya ATCL iliyosafirisha nyama ya mbuzi haiwezi...
  17. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) walaani tukio la kushambuliwa Mbowe jijini Dodoma

    EU WALAANI KUSHAMBULIWA KWA FREEMAN MBOWE Viongozi wa Jumuiya ya Ulaya nchini Tanzania watoa kauli ya Pamoja juu ya shambulio dhidi ya Freeman Mbowe "Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa upinzani katika Bunge la Tanzania Freeman Aikaeli Mbowe, ======= Joint Statement by the European Union...
  18. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapambano ya Corona: Kenya yapata msaada wa $78M kutoka Umoja wa Ulaya (EU)

    Katika kupambana na madhara ya corona Kenya imeendelea kupokea misaada kutoka nchi mbali mbali Duniani ili kusaidia sekta ambazo zitaathirika zaidi. Hadi sasa Kenya imeshapokea msaada wa Dollar Millions 350 kutoka umoja wa ulaya na nchi moja moja za ulaya zimeichangia Kenya Dollar Million 33...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Lissu. Ulitakaje ubunge ukiwa unaishi Ulaya na kuogopa kurudi, ungewawakilishaje wananchi wako?

    Ulitakaje ubunge ukiwa unaishi Ulaya na kuogopa kurudi, ungewawakilishaje wananchi wako? Acha kutufanya wajinga, hufai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji na uongo wako kutufanya wajinga. Wadanganye mafala sio wote, you can fool some people sometimes not all never all the time
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nakubali busara za Rais Magufuli dhidi ya lockdown iliyosababisha Ulaya kukoma njaa kutaka kujiua

    Kuna wanaofikiri kukosoa ni kuchukia, lakini wanaojua siasa za kweli wanajua kukosoa ni kujenga, hasa kama unakosoa kujenga sio kubomoa. Pia, kwenye siasa kuna kusifia pia, hivyo leo namsifu rais wetu, sio kwamba mie ni CCM, in fact sina chama, ila mwananchi na rais ni wa nchi nzima sio chama...
Back
Top Bottom