Umoja wa Ulaya umeamua kukata misaada kwa Serikali ya Burundi kutokana na uvunjwaji wa haki za binadamu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
Umoja wa Ulaya (European Union) imetangaza kukatiza msaada wake kwa nchi ya Burundi kutokana na kile ilitaja kuwa ukiukwaji wa haki za binadamu.

1607467626153.png
 
Sasa wafanye kweli na hapa kwetu maana maccm baada ya wizi wao yanahangaika sana mpaka kufikia kufoji saini ya Mnyika ili tu COVID19 waingie bungeni ili kuwazuga MABEBERU kwamba bungeni kuna wapinzani hivyo tuendelee kuvuta mpunga wao wa matrillions.
Thnxs kwa link mkuu,jana dikteta wa Burundi alikutana na wajumbe wa EU nikahisi wanaweza kumsamehe halafu wakawa wamezingua.
 
Tanzania tunafatia, tena vikwazo vitakua vya "KIWANGO CHA LAMI", itakua zaidi ya Burundi.

Afrika ni bara la vituko sana, alieturoga anatakiwa apewe tuzo ya "NOBEL WITCHCRAFT AWARD". Yani Rais huyo wa Burundi anavaa "CHENI YA DHAHABU", wakati raia wana njaa na hawana hata hela ya kununua Panadol, wengine wamekimbilia hifadhi Kigoma na hawataki kurudi kwao kwa kuogopa njaa.
We lofa sana, hakuna wa kuiwekea vikwazo Tanzania, by the way, haki ipi imekiukwa Hapa nchini? na kama vikiwekwa wewe una benefit nini?
 
Tanzania tunafatia, tena vikwazo vitakua vya "KIWANGO CHA LAMI", itakua zaidi ya Burundi.

Afrika ni bara la vituko sana, alieturoga anatakiwa apewe tuzo ya "NOBEL WITCHCRAFT AWARD". Yani Rais huyo wa Burundi anavaa "CHENI YA DHAHABU", wakati raia wana njaa na hawana hata hela ya kununua Panadol, wengine wamekimbilia hifadhi Kigoma na hawataki kurudi kwao kwa kuogopa njaa.
Huyu si alikua mhuni tuu juzi juzi wakati anakuja kusuhulishwa hapa na JK akiwa na wenzake bas tuu kapata urais ndio hivyo
 
We mdudu umefufuka. Kulianzishwa "THREAD" humu JamiiForums, kwamba alivyopewa "UBUNGE" mjomba wenu Polepole basi wapiga debe wote lumumba mlisitishiwa ile posho ya 7,000/=. Wengine mkahamia Mwananyamala na Sinza Mori kujiuza.

Nakusihi, kama huna taarifa na kama unatumia "MKOPO WA VOCHA" kuendeleza mapambio ya lumumba humu JF, utaadhirika. Posho imefutwa. Wenzio wameshakimbia JF. Shauri yako.
Weka bado la kutosha umuangalie zito alivyokua wanayajenga na mwenzake wa ccm huku maalim seif akiapishwa we umebaki hapo kunita mzalendo ,munachezea vipondo wenzenu wanapeana mikono mambo kama kawa wewe umebaki kuendeleza maneno yako yasiyotoka kichwani wenzako waliokumezesha maneno hayo washayasahau zaman wanamuelekeo mwengine .usipokua na akili ya kuchanganua mambo utapata tabu sana hapa duniani
 
Tanzania tunafatia, tena vikwazo vitakua vya "KIWANGO CHA LAMI", itakua zaidi ya Burundi.

Afrika ni bara la vituko sana, alieturoga anatakiwa apewe tuzo ya "NOBEL WITCHCRAFT AWARD". Yani Rais huyo wa Burundi anavaa "CHENI YA DHAHABU", wakati raia wana njaa na hawana hata hela ya kununua Panadol, wengine wamekimbilia hifadhi Kigoma na hawataki kurudi kwao kwa kuogopa njaa.
😀😀 Jamaa kavaa bonge la cheni dahh Kama 50cent
 
Back
Top Bottom