ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Magari ya petroli kutouzwa Ulaya ifikiapo mwaka 2035

    Umoja wa Ulaya leo umependekeza marufuku ya uuzaji wa magari yanayotumia petroli na dizeli itakapofikia mwaka 2035. Pendekezo hili ni sehemu ya pendekezo kubwa la kimazingira litakaloharakisha kugeukia matumizi ya magari yanayotumia umeme ambayo hayatoi gesi ya aina yoyote. Halmashauri Kuu ya...
  2. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Waafrika hatupaswi kushabikia soka la Ulaya

    Waafrika Haipaswi Kushabikia Soka la ulaya "Uropa" Waafrika wanapoteza wakati muhimu kutazama Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga ya Uhispania, Bundesliga na ligi zingine za kandanda za Uropa. Wakati wanapuuza ligi zao za michezo. Kwa sababu tumeambiwa kwamba kutazama mpira wa miguu ni jambo la...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Huu sio wakati mwafaka kwa Ulaya kulegeza hatua za kupambana na COVID-19

    Wakati baadhi ya nchi zimekuwa zikipambana na wimbi la tatu la maambukizi ya COVID-19, na zikiendelea na juhudi za kutoa chanjo kwa watu wake, baadhi ya serikali zimekuwa zikitafuta kila njia ya kurudisha hali ya kawaida, bila hata kuzingatia tahadhari zinazotolewa na wataalamu wa afya. Hali hii...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania WHO yaonya kuhusu wimbi jipya la maambukizi barani Ulaya

    Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ulaya, Hans Kluge amesema Wimbi jipya la Maambukizi haliwezi kuepukika ikiwa Wananchi na Viongozi hawataendelea kuwa na nidhamu Wiki iliyopita maambukizi mapya yaliongezeka kwa asilimia 10 ambapo baadhi ya vichocheo vilivyotajwa kusababisha hali hiyo ni...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waliopokea Chanjo ya AstraZeneca ya India kunyimwa pasi maalum ya kuingia Ulaya

    Pasi maalumu ya Umoja wa Ulaya, itakayoanza kutumika tarehe 1 mwezi Julai kurahisisha safari kwenda Ulaya kwa wale waliopata chanjo itaanza kufanya kazi lakini ikiwa na sharti moja muhimu. Mtu yeyote aliyepewa chanjo ya AstraZeneca inayozalishwa na Taasisi ya Serum ya India hatastahiki kupata...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) kuiondolea Burundi vikwazo vya kifedha

    Umoja wa Ulaya (EU) upo kwenye Mchakato wa kuiondolea Burundi vizuizi vya kifedha, ambapo Mwakilishi wake Nchini humo amesema hatua hiyo ni mwanzo wa kufuta marufuku hiyo. Mwaka 2016, EU Ilisitisha msaada wa moja kwa moja wa kifedha kwa Serikali ya Burundi kutokana na ukiukwaji wa Haki za...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Video: Angalia bondia Salim Mtango alivyofanyiwa uhuni huko Ulaya

    Ni pambano la jana nafikiri na bondia wa Eastern Europe huko, jamani boxing ni mchezo wa kihuni sana, ona hiyo knock out ilivyolazimishwa.
  8. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya kisasa ndiyo sababu ya nchi za Ulaya kukusanya mapato kwa ufasaha

    Kuwepo kwa teknolojia za kisasa kumesaidia kuleta mapinduzi makubwa kupindukia katika ukusanyaji wa mapato katika mataifa yao ya Ulaya. Hawa jamaa zetu wamefanikiwa kupunguza cash transactions kwa 80%, hivyo kusababisha fedha zote kuingia katika mfumo sahihi hivyo kukatwa kiasi kidogo cha kodi...
  9. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kwenda kufanya kazi Ulaya

    Wakuu naombeni mwenye uwezo au conection ya kunipeleka ulaya anisaidie niepukana na haya maisha ya kifukara. Mara mia nikawe fukara huku duniani kuliko kuwa fukara hapa nyumbani. Mimi kazi yoyote ile nafanya, isipokuwa kuolewa. Sihitaji ushauli wa kujiajiri sababu sina mtaji. Hapa tu niko...
  10. Per Diem

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Ulaya hasa Norway ni mazuri sana, Bongo bado sana

    Moja ya vitu ambavyo sikuwahi kukubaliana navyo ni ile dhana ya kusema eti maisha ya Europe ni ya upweke. Upweke unautengeneza mwenyewe tu, ila ukweli ni kuwa maisha ya Ulaya ni mazuri Sana hasa Norway. Bongo bado Sana, tusiongopeane na kujipa moyo. Anayeweza kuja aje ashuhudie. Na inapaswa...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Chelsea mabingwa wapya UEFA 2020/2021

    Ni kweli mbinu za Thomas zitawasumbua makocha wengi barani Ulaya au ndo kakutana na ganda la ndizi? --- Chelsea win the Champions League with a 1-0 victory over Manchester City in Porto Credit: Alexander Hassenstein/Uefa via Getty Images Nothing less than a revolution against the Pep...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi asimulia alivyopotea Ulaya alipokuwa mwanafunzi; mzungu akataa kugusa hela yale isipokuwa kwa ncha ya penseli

    Katika kitabu chake cha 'Mzee Rukhsa, Safari ya Maisha Yangu', Mwinyi anasema siku hiyo alikuwa anarejea Newcastle kutoka London alikokwenda kwa ajili ya likizo ya chuo. Anabainisha kuwa kipindi hicho alikuwa anaishi kwenye nyumba iliyokuwa inamilikiwa na Kanisa la Methodist, ikipokea wageni...
  13. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Electronic passport yenye covid19 clearance certificate kutolewa Ulaya

    Bunge la Ulaya na Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wamefikia makubaliano ya kutoa passport ya kielektroniki (cheti cha Covid19) itayoruhusu Mtu kusafiri katika Nchi 27 za Umoja wa Ulaya ikionesha hali yake ya chanjo, majibu ya Covid19 au uzima wa afya yake. Cheti hiki kinasemekana kitazuia...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Charles Maurice de Talleyrand: Mtu aliyeongoza mapinduzi mawili, akawadanganya wafalme 20 na kuanzisha bara Ulaya

    CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Charles Maurice de Talleyrand, mmoja ya watu mashuhuri katika shitoria ya ufaransa na Ulaya Mwanamfalme wa Benevento na Dola, Mwanamfalme wa Talleyrand na Périgord, Duke wa Dino, Muhasibu wa Périgord, Rika la Ufaransa, Duke wa Talleyrand na...
  15. 2019

    JamiiForums Tanzania Machafuko Gaza: Ulaya sasa 'Kimeumana Rasmi'

    Mpaka tunaingia mitamboni miji hii kinawaka sasa 1. Paris 2. London 3. Berlin Jana ilikua New York na pia Lebanon kunawaka moto kati ya polisi na waandamanaji wanaopinga uonevu wa Israel kwa Palestina
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Safari ya kwanza ya Rais Samia Ulaya ni vizuri iwe Ujerumani

    Binafsi nimeshaanza kuuona mwanga kupitia mboni za macho ya Rais Mama Samia. Ninamuona Rais Samia akizifuata nyao za Angel Makel wa Ujerumani. Kama Rais mwanamke ni vizuri covid 19 ikipungua aombe kwenda kumtembelea chancellor wa Ujerumani Mama Angel Makel kwa uzoefu na pengine kubadilishana...
  17. mr gentleman

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Nafungua milango ya fursa kwa Watumishi wa Umma kwenda nje ya nchi kupata mafunzo na ujuzi

    Ni rasmi sasa watumishi wa serikali wamepewa ruhusa ya kwenda safari za nje ambazo zilisitishwa na hayati Magufuli. ======== Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mchengerwa amesema kuwa anawaagiza wakuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma kujipanga kwa ajili ya kutoa mafunzo...
  18. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Mabingwa Ulaya: Je, timu za EPL kukutana fainali?

    Usiku wa jana imeshuhudiwa Timu ya Manchester City kutoka Uingereza ikishinda goli 2-0 dhidi ya PSG na kutinga Fainali Usiku wa leo majira ya saa 4:00 Timu ya Chelsea itakuwa nyumbani kuikabili Real Madrid ili kuamua timu itakayoifuata City Fainali Ili kutinga Fainali, Chelsea inahitaji sare...
  19. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Aliyekuwa katibu mkuu CCM alivyosimamisha Msafara wake kusoma mabango

    Yeereeeeeh! Maisha yanaenda kasi sana na kubadilika ghafla. Video hapo chini aliyekuwa katibu mkuu CCM alivyosimamisha Msafara wake kusoma mabango.
  20. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka sasa Rais Samia kuanza safari za Ulaya na Marekani

    Wakati wa kupigania Uhuru Nyerere ilibidi asafiri kwenda ulaya na Marekani kuhutubia umoja wa mataifa ili aaminiwe apewe uhuru. Kwenye njaa ya mwaka 1984 nyerere pia alipanda ndege kwenda kuomba msaada wa chakula na akapewa mahindi ya yanga. Uku nchini kwake akiendelea kuwaimbisha watu siasa...
Back
Top Bottom