Robert Amsterdam: Hali ya kisiasa Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya kesho Alhamisi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:

Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.

Itakuwa LIVE hapa > https://multimedia.europarl.europa....reign-affairs_20201119-0900-COMMITTEE-AFET_vd
 
Watanzania tuungane pamoja kwa umoja na ustawi wa taifa letu. Huu mfumo wa giza kumwabudu mwanadamu mwenzetu ni aibu kwetu sote. Rejeeni wosia wa Baba wa Taifa dhambi ya ubaguzi hakuna alie salama, endapo PM anazodolewa hadharani!? Anapanga hatima maisha ya watu!? Wengi wana mengi moyoni rejea madam VP.
 
Safi sana. Kama tumeshindwa ndani ni vizuri watu wa nje watusaidie. Tumechoka kunyanyaswa na kuteswa kama wakimbizi!
Kama hujishughulishi unakaa kwa shemeji yako Mbowe au Sugu lazima uone unateswa Kama mkimbizi. Wanaume waliozoea kula kwa jasho hawalii lii hovyo mitandaoni. Nakuhakikishia hakuna litakalotokea.

Mmegeuka kuwa wanawake malaya mkisikia Amsterdam ka tweet hivi mnakurupushana usingizini kushangilia. Eti watu wa nje wawasaidie!?

Kama mlishindwa kuandamana ndo imetoka hiyo. Mtasubiri sana Ila nakuhakikishia hakuna litakalotokea. Kwa akili hizi za kusikilizia mabaya yaikute nchi bora CCM iendelee kutawala miaka 200 ijayo.
 
47 Reactions
Reply
Back
Top Bottom