ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ni maneno mazuri msibani lakini hatuwezi kuacha ipite hivi hivi: Mbowe ni sauti iliyochelewa, au ukweli uliopimwa?

    Msiba wa Mzee Edwin Mtei haukuwa tu tukio la kuaga mwili. Ulikuwa mahakama ya dhamiri ya taifa. Ilikuwa ni mahali ambapo historia, maumivu, hofu, na matumaini vilikutana uso kwa uso. Katika jukwaa hilo, Freeman Mbowe—mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA—alisema maneno yaliyotikisa mioyo ya wengi...
  2. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Visanga vya ukweli na uwazi baaina ya mimi na wachungaji

    MIMI: Maandiko yanaonesha kuwa Adam alikuwa na watoto ‎wawili: ‎Kaini na Habili. CARDINAL: ndio, Alikuwa na Watoto wawili. MIMI: Hakuna moto mwingine...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 15 iliyopita: Nilitetea ukweli, familia ikaniona mbaya

    Wasalam, Miaka 15 iliyopita kuna uncle wangu mmoja ambaye hatukuwa tunapisha sana umri alifariki kwa ajali akiwa anatoka Dodoma kuja Dar. Labda nikupe historia kidogo ya huyu uncle ambaye pia alikuwa rafiki na mshikaji wa karibu sana. Huyu uncle alikuwa mtu wa mambo mengi sana kwenye kutafuta...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Haya maneno yanayosambaa kuhusu Group O+ yana ukweli au ni tabia ya mtu ?

    hawapendi mgeni akae muda mrefu hawapendi kukaa ugenini wana marafiki wachache sana au hawana hupenda kujifungia hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa polisi na raia umeharibika sana kwa sababu ya matukio kama haya ya watu kufia mikononi mwao kwa mateso na ukweli unageuzwa

    Siku chache baada ya mahabusu Michael Rambau (18), kudaiwa kujinyonga ndani ya Kituo Cha Polisi Kati-Moshi, mkoani Kilimanjaro, waombolezaji waliokuwa wamekusanyika leo nyumbani kwa wazazi wa marehemu huko Rau, Manispaa ya Moshi ili kushiriki ibada ya maziko yake, wanadaiwa kumfukuza na kumzomea...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Anayeogopa kufa na kutekwa kwasababu ya kusimamia ukweli ni mhaini dhidi ya serikali ya mungu na anamchango mdogo kwenye kujenga nchi bora

    Ndugu zangu waislam na wakristo Watu wa mungu hawaogopi kufa wala kutekwa kwasababu ya kusimamia ukweli na hao ndio walio changia nchi kupata uhuru hapo awali. Mungu ataki waoga anataka mashujaa wenye msimamo wa haki kwenye hali yoyote ile wakati huu nchi inapo pitia majaribu tunapaswa...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania UKWELI kuhusiana na DINI ya Kiislamu na Kikristo katika Theolojia na Misingi yao

    Naandika haya nikiwa na uzoefu wa hizi Dini zote mbili na uwezo wa kuzichambua bila bias. Kwa kutumia pia A. M. Nitaelezea kwa uwazi, bila kutetea, lakini pia bila kuchochea chuki. Tuende moja kwa moja kwenye mzizi wa tatizo na kama kuna njia ya kutoka. 1. Kwa nini ukatili wa kidini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nawafundisha wanafunzi ukweli kuwa mamlaka ya kutawala yapo kwa Wananchi kwa mujibu ya Katiba yetu

    Samia amewekwa na wananchi? Ibara ya 8 ya katiba ya JMT inawapa wananchi mamlaka ya kuweka watWala. Rais Samia alishakataliwa na Wananchi. Yupo madarakani kwa nguvu za jeshi na polisi.
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kanisa la kweli lazima lifuate falsafa ya Yohana Mbatizaji kueleza ukweli juu ya maovu ya mtawala yoyote.TEC wapo sahihi kupinga maovu hapa nchini

    Yohana Mbatizaji alisisitiza na kuhubiri juu ya Toba. Akawahimiza wayahudi kumsubiri mesiah Yaani Yesu. Kubwa kuluko yote alipinga maovu ya watawala na kuwaeleza ukweli juu ya uovu wao. Akamuambia Herode juu ya uovu wa kuoa mke wa kaka yake. Kama mtangulizi wa Yesu Yohana mbatizaji alikemea...
  10. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Ukweli na Hoja isiyojadiliwa:- Financially, Ndoa zinaumiza sanaa wanaume

    Hebu njoo tujadili na tufikirie wotee kwa mifano thabiti ...... 1. Namjua John, Alikuwa afisa biashara Halmashauri kubwaa, matajiri wakawa wanamfata na kumtafuta ili mambo yao ya kwenye biashara yaende. John alikua na connection BRELA, TBS, TRA, kifupi taasisi 15 zinazosimamia biashara. Ghafla...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kuwa dini zina-limit watu kutumia common sense na kwa maana hiyo wanaunganisha kuhoji sana na kufuru

    I am proud kwamba bado nikiwa kijana nime debunk utapeli wa dini na itikadi katika maisha yangu. Thus kwa maana hio, nitakufa sio kama mtumwa wa kitu ambacho ili bidi babu yangu acharazwe viboko na kuteswa ndio akipokee. Nitakufa nikijua, sijakubali itikadi yoyote ile ishinde utashi ulio asili...
  12. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Ila kusema ukweli wavutaji bangi mnatupanga sana

    Bangi ni sigara kama sigara zingine haina uhusiano wowote na uhuni na uchizi kama mnavyotuigizia wavuta bangi. Wakati zinaingia sportsman na Sm wale wavutaji wa kwanza walijidai kulanduka na kuwaka sana hadi ikakaririwa kuwa sportsman na sm, hasa sportsman inasababisha uhuni, kulanduka na wakati...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli nimeshindwa kabisa kusahau yaliyotokea oktoba29 sitasahau mpaka naingia kaburini!

    Nafanya mengi lakini ile siku ya oktoba 29, 2025 imegoma kutoka kichwani, sitasahau kabisa, nimekata tamaa kabisa ya maisha haya chini ya jua uzalendo wangu wa nchi hii uliishia pale! sina imani na yoyote! Waafrika tunaroho mbaya sana, waafrika sio watu wa kawaida kabisa ni kama kuna laana...
  14. Life2

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki limesema ukweli kwenye tawala katili na dhalimu mnoo Duniani

    Kanisa katoliki limeundwa kwenye misingi ya Haki, Utii, ukweli na kutetea uhai wa binadamu, wanyama na mazingira. Kutokana na misimamo yake Kanisa katoliki limejikuta likiwa na maadui wengi waovu nje na ndani ya kanisa. Hapa ndo tunaweza kutumia ile kauli waliomtesa na kumuua Bwana Yesu...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Maaskofu nyinyi sio Mungu wetu, Ukweli usemwe mmepotoka tokeni hadharani ombeni msamaha!

    Nafikiri kuhama dhehebu toka katoliki na kwenda kwenye madhebu mengine kwasasabu kanisa katoliki kwasasa limeonesha kuacha mafundisho yake na kuhamia mafundisho ya kupinga amani ambayo kwasisi Wakristo tunaaamini ni moja ya nguzo kuu ya imani . Lakini kwa hivi sasa kanisa limejipambanua...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Ili Tuweze Kutatua Matatizo Yetu Kama Taifa, Tunatakiwa Kujenga Utamaduni wa Kusema Ukweli

    Ukweli ni msingi wa maendeleo ya kweli katika jamii yoyote. Taifa linalojengwa juu ya misingi ya unafiki, uoga na kuficha ukweli, haliwezi kufikia maendeleo ya kweli wala ustawi wa wananchi wake. Ili tuweze kutatua changamoto zinazoikumba nchi yetu — iwe ni katika sekta ya afya, elimu, uchumi...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukweli mchungu ila vijana wanaokwenda South Africa bora wakabaki hapa

    Leo kuna kijana anataka kwenda south Africa kutafuta maisha alinipigia na yupo mkoa fulani siwezi kutaja. Kwa tafiti zangu za kuzurura na kutembea sana ila kule sasa sio pakutafuta maisha kwa mtu ambaye shule huna, unakwenda kwa kutumia viza za miezi,huna kibari cha kazi. Waliofaidi ni wale...
  18. Silivian

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiopingika kuhusu wanaume

    Mwanaume Anapomfuata Mwanamke Anahitaji Vitu Viwili, Kimojawapo ni Ukikekike wa Mwanamke (Feminity Traits) Na huo ukikekike ni Pamoja na Kusuka, Kupaka Rangi Kucha, Kutoboa Masikio, Kuvaa Mkufu, Hereni, Kudeka na Kuwa Soft
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna ka ukweli fulani: Wazazi wenza hata kama mmoja kafa bado mzazi mwenzake

    Mtu ambaye ashakuwa na mzazi mwenzake tambua bado wapo pamoja maana anayewaunganisha ni mtoto. Angalia hapa
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hivi udini wa Samia Suluhu uko wapi? Tuzungumze ukweli

    Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi? Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana...
Back
Top Bottom