ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kurudisha Tanzania moja kwa uchawa! Ukweli pekee ndiyo njia

    Ukweli pekee ndiyo njia ya kutoka kwenye hili shimo. Hawa machawa, walioko masarakani msiwalaumu ni shetani anawatumia na tutashinda tu. Hawawezi kuwa watu wa kawaida wakafanya madudu kwa kiasi hiki ni mashetani tu. Sasa tuweke imani mbele na tuwndelee kukaza hivi hivi
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Vurugu Zilizopangwa Oktoba 29

    Ushahidi unaonyesha vurugu zilikuwa zimepangwa, ziliratibiwa, zilifadhiliwa na zilitekelezwa na watu waliofuzu mafunzo maalum. Viongozi wakuu walikaa nyuma na kuwatumia vijana kama zana za mbele. #UkweliOktoba29
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwenye ukweli uongo hujitenga!, Baada ya idadi ya Vifo 518 kutolewa; Je, tuwashitaki wazushi waliotuchafua kwa Uzushi wa Maelfu ya Vifo?

    Wanabodi Moja ya jambo kubwa lililokuwa linasubiriwa sana na kwa hamu kubwa na watu wengi kwenye Ripoti ya Uchunguzi ya Jaji Chande, kubwa la kwanza ni idadi ya vifo vilivyotokea kwenye vurugu hizo za October 29, 2025 na la pili kubwa ni who ordered the killings?. Ripoti imetoa tuu idadi ya...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Leo nawapa ukweli wote

    Hapa Tanzania. Narudia tena, hapa Tanzania kijana jitahidi kupambania familia yako (wewe mwenyewe, mke/mume na watoto) basi. Mengine achana nayo maana hutayaweza. Kama unaingia kwenye siasa ingia kwa ajili ya familia yako tu, kama unaingia kwenye utumishi wa umma the same, kama unaingia kwenye...
  5. H r n

    JamiiForums Tanzania “Wanaume wazuri wanaumia kimapenzi kuliko wabaya? Huu ndio ukweli” kwa nini !

    “Wanaume wazuri wanaumia kimapenzi kuliko wabaya? Huu ndio ukweli” Nimekuwa niki observe mahusiano mengi hapa Tanzania, na kuna kitu kinajirudia mara kwa mara lakini watu wengi hawaongelei wazi. Utakuta mwanaume mpole, anayejali, anayeheshimu mpenzi wake—ndiye anayeishia kuumizwa zaidi. Wakati...
  6. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Nchimbi amesema “unataka kuniteka kwa sababu nasema ukweli”?

    Kumekuwa na video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, ikidai kuwa inaonesha kauli inayohusishwa na makamu wa raisi , Emanuel Nchimbi, ikinukuliwa akisema:“Unataka kuniteka kwa sababu nasema ukweli ? je ni upi ukweli wa kauli hii inayoambatana na video?
  7. O

    JamiiForums Kenya “Je, ndoa ni leseni ya ridhaa ya milele? Ukweli mchungu kuhusu ubakaji ndani ya ndoa ambao jamii inakataa kukubali.”

    Kwa ndoa Kuna ubakaji unakubaliana
  8. youngkato

    JamiiForums Tanzania Je, AI Itachukua Kazi Yako? Ukweli Kuhusu Akili Bandia na Ajira Tanzania

    Akili Bandia (Artificial Intelligence – AI) imeanza kubadilisha namna dunia inavyofanya kazi. Kutoka kwenye biashara, benki, kilimo, hadi elimu, mashine na mifumo ya kompyuta yenye uwezo wa kujifunza sasa zinaweza kufanya baadhi ya kazi ambazo zamani zilifanywa na binadamu. Hali hii imezua swali...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tuseme Ukweli: Tanzania sasa kila idara ni CCM kuendeleza chama

    Nimekaa mda mrefu na kutochangia JF.Ila leo shauku limenifika. Hivi tanzania ya leo tuseme usalama,JwTZ,TCRA na wengine au vinara wazuri wa CCM ambao jeshi la polisi wanajitafakari kweli. Mfano leo tunaona ushambulizi wa vita vya iran na Israel hivi hawa watu wanajua lolote zaidi ya kusema...
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli kuhusu Phobia na Mental Disorders?

    Juzi Jumatatu nilipata taarifa kuwa kuna swahiba yangu alikuwa amelazwa pale hospitali ya Kanda ya Bugando ikanibidi niende kumjulia japo hali. Nilifika salama na tukazungumza mengi sana kuhusu maendeleo ya afya yake, tukacheka na kufurahi sana, namna bora ya kumpa uchangamfu mgonjwa maana...
  11. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Lakini ukweli huu ni dawa na ni lazima tumeze. Tutake Tusitake

    1. Utapeli (The 40-Year Scam) Tumeaminishwa tufanye kazi miaka 40, tuweke akiba kidogo kidogo, ili tuje tuanze kufurahia maisha tukiwa na miaka 65. Huu ni wazimu wa kiwango cha lami! Yaani usubiri mpaka viungo vyako vimechoka, magoti yanauma, na huwezi hata kula nyama choma bila daktari...
  12. east36

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Machawa wa CCM na uhalisia wa maisha ya mtanzania

    Nauliza kwa dhati kabisa Nauliza swali ambalo wengi wanaogopa kuliuliza waziwazi… Hivi hawa machawa wa CCM wanaishi nchi hii hii tunayoiishi sisi, au wanaishi kwenye dunia yao? Kwa sababu ukweli hauhitaji kupakwa rangi, Maisha yamekuwa magumu kupindukia Vijana hawana ajira Wananchi wanalia...
  13. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu, malalamiko ya Wananchi kuhusu ukosefu wa Dawa na Takwimu zisizo na ukweli yasipuuzwe

    Katika Mkutano wako uliwahi kuhoji kwanini takwimu zinasema utoshelevu wa dawa ni 95% kwenye vituo huku asilimia 90 ya wananchi wanalalamika hakuna dawa. Mkutano aliofanya Mchengerwa ulikuwa ni mkutano wa kujisafisha na yeye ndio waziri mwenye dhamana, as we speak, hapaswi kuendelea kuwa...
  14. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Naskia Songwe wadau wanapoteza sehemu za Siri kwa kuguswa bega. Wadau wa Songwe Kuna ukweli gani?

    https://www.instagram.com/reel/DWo8mLfDFW8/?igsh=NzM3MmtpOGcxNmZk Katika pitapita zangu za online nimekutana na taarifa iliyorushwa Jana, wadau huko Songwe wanasema Kuna watu wanakugusa bega baada ya hapo sehemu zako za siri zinapotea. Wadau wanaamini wanajikinga kwa kuvàa rubber band na pin...
  15. Morning Joy Motors

    JamiiForums Tanzania Usinunue BMW Kabla Hujajua Gharama na Ukweli Wake: Uchambuzi wa BMW 3 Series 2009 (VA20)

    Utangulizi BMW ni moja ya magari yanayovutia watu wengi kutokana na muonekano wake wa kifahari, uimara wa barabarani na “driving experience” yake ya kipekee. Lakini ukweli ambao watu wengi hawaujui ni kwamba, nyuma ya muonekano huu kuna gharama na majukumu ya kuitunza gari hii ambayo kama...
  16. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kweli, na ukweli juu ya kuyaishi maumivu

    Salaam jamiiforum. Mwanaume unataka raha? Mwanaume unadeka? Mwanaume unasound kike kabisa,na ukipewa zawadi unalia,yaani kuna mshipa wa hisia unaokuteka na kuuharibu uanaume wako? Hii si sawa,Leo ni siku ya mwisho wa Mwezi wa tatu mwaka 2026. Karne ya 21 uliyobeba taswira nyingine ya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee tubu yaishe lakini eleza ukweli wote Covid 19

    Halima Mdee tubu yaishe lakini eleza ukweli wote Covid 19. Amegoma kwenda CCM sasa atubu kwa uwazi kabisa kuhusu Covid 19 kabla hajakubaliwa kurudi kama mwanachama wa kawaida. Bila kutubu asiruhusiwe
  18. L

    JamiiForums Tanzania Waafrika wana maoni gani kuhusu kanuni ya “Ukweli, Matokeo Halisi, Ukaribu na Udhati” iliyotolewa miaka 13 iliyopita na Rais wa China?

    Tarehe 25 Machi 2013, baada ya Rais Xi Jinping kuchukua wadhifa wa Urais wa China, alitembelea Afrika kwa mara ya kwanza. Alipohutubia katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwl. Nyerere nchini Tanzania, alitoa mara ya kwanza wazo la sera ya China kwa Afrika ya “Ukweli, Matokeo Halisi...
  19. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Vijana nisikilizeni, mwanaume wa ukweli hakai ukweni.

    sijajua imekua trend au ndio ulofa wa zama hizi, mtoto wa kiume una toa wapi nguvu ya kulala na kukoroma ukweni? Sifa ya mwanaume ni kupambana uwe na himaya yako, hata kama umepanga still ni kwako. una maamuzi na uchaguzi wa kufanya hili au lile, sasa huko ukweni uta amrisha uchemshiwe maji ya...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Watendao uovu na wanaokandamiza watu, hawapendi kutembea katika ukweli

    Askofu Shoo ameyasema kauli hiyo leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi uliofanyika kwenye Ukumbi wa Centre Hou, ukihusisha Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 nchini.
Back
Top Bottom