Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 479
- 474
Upotoshaji wa akina Maria Sarungi, Liberatus, na wenzao (Misinformation from commercial activist).
Leo Maria Sarungi na genge lake wameibuka na upotoshaji kuwa mswada kuhusu Tanzania unaotarajiwa kuwasilishwa katika Bunge la Seneti la Marekani Juni 17 mwaka huu haujafanyiwa marekebisho.
Ukweli ni kwamba, kama ambavyo viambatanisho kadhaa vitathibitisha, mabadiliko yamefanyika. Tafsiri ya mabadiliko haya ni kwamba Marekani, kinyume cha matarajio ya maadui wa Tanzania (akina Maria), imeonesha kuwa haina nia ya kuitenga Tanzania bali inataka kuendelea kushirikiana nayo kwa maslahi ya pamoja.
Viambatanisho vya kilichofanyika na ulinganisho kati ya mswada wa awali na wa sasa ni kama ifuatavyo:
KUONDOA ZUIO (WAIVER) Katika muswada wa awali, hakukuwa na kipengele hiki cha kuondoa zuio.
Muswada wa sasa unairuhusu Serikali ya Marekani kuondoa mazuio yoyote yanayoweza kuwekwa dhidi ya watu binafsi au Serikali ya Tanzania, pale ambapo kufanya hivyo kunalinda maslahi ya Marekani. Hii maana yake ni kwamba mambo yote yako mezani, yanazungumzika.