Ujumbe wangu ni huu:
Kusifiwa au kupongezwa ni haki ya kila mtu anaefanya vizuri licha ya kuwa haki hiyo haipo kikatiba wala kisheria. Lakini ukianza kujisifia mwenyewe au kutumia nguvu au watu ili usifiwe, haki hiyo hupotea, na kwakuwa haipo kisheria, huwezi na wala huna haki ya kuidai popote...