Tafuta mtu unayeendana naye ili ufurahie mapenzi

Palina

JF-Expert Member
Oct 9, 2021
3,057
8,085
Hope mko poa.

Recently, kumekua na case tofauti tofauti kwa hili jukwaa pendwa la MMU.
Kumekua na story za member wenzetu humu kuumizwa na haya mapenzi. Kuna thread zinasikitisha na kutia huruma sana. Kama member wa JF na mfatiliaji wa hili jukwaa hili ningependa watu wapate kutambua yakuwa

Unaweza kuwa kituko kwa mtu mmoja ila ukawa Malkia/Mfalme kwa. wengine. Tafuta mtu wako ambye mnawezana na nakomaa nae huyohuyo!. Kulazimisha hakujawahi kuleta furaha 🥺

Kila mtu ana mtu wake, kama unaona unalia kila siku huyo si wakwako, anaeza kuwa mshenzi kwako ila malaika kwa wengine.

Usipokubali kuumia katika mahusiano utaishi kwa kuumia kila siku. Kuna wakati katika mahusiano unapaswa kusema kuwa hili si fungu langu ukaachana na huyo mtu.
 

Attachments

  • F93E5CE9-387C-4C79-8102-DB84FE73B70F.jpeg
    F93E5CE9-387C-4C79-8102-DB84FE73B70F.jpeg
    53.7 KB · Views: 40
Kama huna mpango wa kumuoa mwambie tu, kuna haja. gani ya kwenda kujitambulisha kwao wakati una mtu wako mwingine una malengo naye.
 
Unamdhalilisha kwa ndugu zake, hivi unajua namna ambavyo mama yake atasemwa?, unamjua yule shangazi yake ambaye ana mdomo namna atakavyomnanga?
 
Kuna mikosi mingine unaibeba kwa kuharibu maisha ya watu bila sababu! Unaona sifa ukiongea wewe na rafiki zako mnacheka . Hivi u ajua huyo binti itamharibia maisha yake yote!
 
Usimsukume kufanya maamuzi, ukishaongea nae jipe muda na yeye mpe muda. Ukikaa labda miezi miwili-mitatu huoni mabadiliko basi jieke pembeni kabla ya kuumia.
 
Ukitaka mwanaume kukuganda basi usiringe sana wala usishoboke sana.
 
Mtafute ila muache na yeye akutafute, punguza kulalamika na kuonesha kuwa bila yeye huwezi kuishi.
 
Subiri mahusiano yafikishe hata miezi sita ndio uonyeshe kumganda, Kwa kifupi usilazimishe mambo sana.
 
By the way the thread I creat has no guarantee that my relationship are perfect 😅😅

Enjoy

Pqubae.
 
Back
Top Bottom