ujumbe

  1. Chukwu emeka

    Huu ujumbe unawahusu WanaJF wote, tuwakumbuke wazazi wetu

    Pamoja na kutokuwa Muslim ila huwa nasikiliza mara kwa mara mafundisho ya Mashehe, huwa wanakuwa na maneno yakutoa ujumbe mzuri sana kwa jamii, hasa vijana wa kileo. Tunajisahau na kusahau tulikotoka hasa tukiwa na vijisenti vya kubadilisha mboga. Nawewe msikilize huyu Mheshimiwa.
  2. M

    Leo ni siku ya 23 tangu nipone au kupata nafuu na ugonjwa wa Covid-19

    Jamani mimi leo naandika ni siku ya 23 tangia nipone au kupata nafuu na ugonjwa wa korona, pia nikamwambukiza mke wangu na mamaangu mzazi alikuwa amekuja kututembelea pia ikampiga na binti wa kazi pia aikumbakiza na shemeji alikuwa amkuja salimia naye akubaki salama, yaani nyumba nzima...
  3. N

    Mnauelewaje huu ujumbe wa Humphrey Polepole?

    Tutalinda Legacy mpaka tutachoka tu maisha yataendelea Wala lengo la video sio hiyo gitaa
  4. U

    Dkt. Jakaya Kikwete Awasilisha Ujumbe Maalumu wa Rais Samia Kwenda Kwa Rais Wa Comoro

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete yupo nchini Comoro na leo amekutana na Rais wa nchi hiyo Azali Assoumani na kumpatia Ujumbe Maalumu kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassani.
  5. Website design

    WAZO LA BIASHARA : Njoo uwekeze katika wazo hili la biashara linaloenda na wakati wa kisasa uendeshaji wake ni rahisi sana

    Habari Mimi ni mtaalamu wa masuala ya I.T Nimefanikiwa kutengeneza mobile apps za food delivery kama ambavyo ilivyokuwa inafanya kazi jumiafood au ubereats Hapa kunakuwa na apps 3 ambazo ni 1.application ya mteja anaye order chakula 2.application ya mmiliki wa restaurant ambaye anakuwa...
  6. BAK

    Askofu Mwamalanga: Mbowe kubambikiwa kesi ya ugaidi ni kitendo cha kuibandika kinyesi Tanzania mbele ya Mataifa

    ASKOFU MWAMALANGA ATUMA UJUMBE MZITO KUHUSU FREEMAN MBOWE! "Mpendwa Askofu Mwamakula, nakutumia ujumbe huo ninataka usomwe na watu wote! Kukamatwa kwa Mheshimiwa Freeman Mbowe na kubambikiwa Kesi ya Ugaidi ni kitendo cha kulibandika kinyesi Taifa la Tanzania mbele ya mataifa. Kwetu sote...
  7. beijing_07

    Gerson Msigwa: Watanzania wawasikilize wataalamu, chanjo za COVID-19 zinahakikiwa na TMDA na Mkemia Mkuu

    Mtangazaji: Tuanze na suala la chanjo, tumepata taarifa kesho Rais Samia Suluhu atazindua utaratibu wa chanjo na yeye atachanjwa. Utaratibu utakuwaje kama umeshawekwa na Serikali? Msigwa: Baada ya kuwasili dozi za chanjo zaidi ya milioni 1, kesho asubuhi mheshimiwa Rais atazindua zoezi la...
  8. RRONDO

    Nawafikishieni Ujumbe Mnaoendesha IST na Vitz

    Kuna mwanasiasa kasema mkishanunua IST na VItz na kuanza kuvaa kaptura fupi weekend mnajiona mmepatia sana maisha, mnajihisi ni middle class kumbe ni masikini wenye nafuu! Mjumbe hauwawi, weekend njema!
  9. Erythrocyte

    Mdude Nyagali amtaka Freeman Mbowe kutoogopa yanayomkabili

    Huu hapa ndio ujumbe wenyewe
  10. Baraka21

    Walevi na wapenda anasa, huu ni ujumbe wenu

  11. Prof Koboko

    Ujumbe kwa wadai katiba mpya wote: Hakuna njia rahisi ya kupata katiba duniani

    Katika hili naomba nieleweke kabisa kwamba katiba mpya si mali ya CHADEMA wala wanaharakati, ni mali ya watanzania wote wakiwemo wanachama wote wa CCM. Tusisikilize watu wachache wa taifa hili ambayo wanasema hakuna haja ya katiba sijui tusubiri kwanza. Niwaambie wote tunaopigania katiba mpya...
  12. Mulokozi GG

    Ujumbe ulio tolewa na serikali kwenye kodi mpya ya miamala

    “Akufukuzaye hakwambii toka”, ni msemo wa kiswahili wenye maana kuwa ujumbe unaweza kuwasilishwa kwa njia moja ukimaanisha kitu kingine tofauti. Mfano ukienda kumtembelea rafiki yako akakulaza sebureni na vyumba vipo wazi, utaonekana mwenye busara asubuhi ukiaga vizuri na ukarudi kwako. Sababu...
  13. Kijogoodi

    Anthony Diallo aomba radhi kwa waliomuelewa vibaya kauli yake ya 'Viongozi waliopita walikuwa na Matatizo ya Akili'

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, bwana Anthony Diallo amewaomba radhi watanzania kwa kauli zake alizozitoa kuwa viongozi wa Serikali waliopita walikuwa na mafaili mirembe. ======== Diallo: Mimi nadhani ufafanuzi unatosha, nawataka radhi wale ambao walinielewa vibaya, kuna kunielewa...
  14. Ferruccio Lamborghini

    MALALAMIKO: TTCL huu ujumbe wenu mmenitumia mara 527 ndani ya masaa 24

    Dear customer, your balance has been used up, please recharge or order package, Dial *148*30# for more services. Sms hii mmenitumia mara 527 kwaajili ya nini?
  15. LIKUD

    Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

    "Naomba Mumkumbushe Fred kua walikuwepo wauza nguo kama yeye walikuwa na hela kuliko yeye, walikuwa washamba wa mademu wa mjini kama yeye na wakafilisika na hawapo tena, so na yeye kwa ushamba huo huo wa mademu tutamsahau ni muda tu...
  16. Kasomi

    Ujumbe wa Tahadhari kutoka Hospitali ya Taifa

    UJUMBE KUTOKA HOSPITALI KUU YA TAIFA Tafadhali mjulishe mkeo kuhusiana na hili, , Hii ni tahdhari muhimu kutoka wataalamu wa afya [ LUTH ] kwa wanawake wote wawe watoto wachanga, wasichana, mabinti, wanawake, akina mama; saratani ya kizazi imeenea tafadhali epuka kuosha sehemu zako za siri kwa...
  17. Erythrocyte

    Ujumbe wa Mchungaji Msigwa kwenye kongamano la Katiba Mpya ni Ushahidi kwamba hazina ya viongozi iko Chadema

    Baada ya kumsikiliza Mh Msigwa kwenye kongamano lililofana la Katiba mpya , nimetambua kisa cha uongozi wa ccm wa awamu ya 5 kutumia mabilioni ya pesa za umma kununua wapinzani . Hakika Chadema kuna hazina ya viongozi .
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ujumbe wangu wa leo

    Picha ya kwanza inaonesha vifaranga vya ndege vikiwa hai, mama wa vifaranga hivi alitoka na kwenda huko kutafuta chakula cha kuwalisha watoto wake, lakini akiwa huko alikutana na maadui wakampiga na kumuwa. Vifaranga vikabaki vinateseka kwa njaa na baada ya muda kidogo navyo vikafa kwa njaa...
  19. crome20

    Huu ujumbe kwenye social Media kuhusu COVID 19 ni wa uhakika?

    Kuna huu ujumbe ambao umekuwa ukizunguka kwenye social media. Please mwenye kutoa clarification "Habari za jioni wapendwa! Hongereni kwa kazi.Nawasihi madaktari wenzangu tujikinge na hili gonjwa,dalili za wave hii zipo so vague.wagonjwa wengi waliokuwa wamekuja Leo clinic waliokuwa wanalalamika...
  20. J

    Mwanaharakati Jane Magigita ajitosa kugombea Ujumbe Muwakilishi kwa Mkoa wa Dar es Salaam kuwakilisha Mashirika yasiyo ya Kiserikali

    Mfahamu mgombea nafasi ya mjumbe wa Baraza la Kitaifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NACONGO) mkoa wa Dar ES SALAAM Bi. Jane Magigita, Mwaka 2014 alitunukiwa tuzo ya MARTIN LUTHER KING AWARD kwa kupigania haki za kisheria za Wanawake. Tuzo hiyo ya haki ya Dk. Martin luther king, Jr...
Back
Top Bottom