Yasemekana mama Samia alitokea mlango wa nyuma hotelini na ubalozini kuutoroka ujumbe wake:
Kwa kuwa yaliyoandikwa ni ukweli mtupu, itapendeza akaribishwe hivi hivi nyumbani atakaporudi.
Kazi ya kumfikishia ujumbe wake na iendelee.
Kufuatia Ziara ya rais Samia huko Marekani, wananchi waishio huko wameandamana kudai katiba mpya.
Watanzania hao walibeba mabango yenye ujumbe wa Kudai katiba mpya na Wengine kubeba mabango yanayotaka serikali imwachie huru Mwanasheria Peter Madeleka ambaye inasemekana amekamatwa na Polisi...
Ni dhahiri shahiri Waaafrika wengi hatuwazi ujenzi wa Mataifa yetu bali tunawaza ujenzi wa familia zetu .
Tubadilike, kila mmoja abadilike kwa nafasi yake.
Asanteni
UJUMBE MAALUMU KWA VIJANA MNAOONA MAISHA MAGUMU!
Anaandika Robert Heriel!
Sipendi kusema mafanikio yangu ni yapi, na wengi watataka kuniuliza nina mafanikio gani mpaka niwe mshauri kwao. Sipendi kuyataja mafanikio yangu Kwa sababu hayatawasaidia Jambo lolote, lakini nitatoa Siri ndogo Sana ya...
Habari!
Ni mshkaji niliefahamiana nae mwaka jana na tuna miezi kama tisa kwenye urafiki, ila mdomo wake unatoa harufu mbaya tukiwa katika katika mazungumzo. Sijajua shida ni hapigi mswaki vizuri, huwa hapigi mswaki kabisa au anapiga kwa matukio.
Hii hali nilikuwa najitahid kuivumilia kwa...
Katika aliyofanya Rais SSH tangu achukue madaraka ni 'kuacha watu waonge' .
Rais alisema watu wakiongea viongozi wanaelewa nini kinaongelewa.
Katika kufungua uhuru wa maoni/habari uliofinyangwa miaka sita amefanya vizuri.
Kwa hatua hiyo Rais anapata faida ya ziada ya kuelewa kilichopo akilini...
MATUKIO KATIKA PICHA
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ambaye ni Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi Shina namba tisa tawi la Masaki, kata ya Msasani, Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Komredi Abdulrahman Omari Kinana Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
#CCMImara...
Ni nia ya Chadema kuona haki inazingatiwa.
Haya yako wazi kutoka kwa Mh. Mbowe kama ilivyo kutokea kwa Mh. Lissu.
Kwenu wakaanga mbuyu, tujenge nchi kwa haki.
Hii nchi ni yetu sote.
Ni hivi karibuni ulisikika kwenye vyombo vya habari ukikasirishwa na watu wanaosema "Mbowe siyo Gaidi" ukakasirishwa na wafuasi waliokuwa wanahudhuria Mahakamani wakati kesi ya Mbowe na wenzake ikiendelea, mwisho ukasema swala la Mbowe ni Gaidi au siyo Gaidi iachiwe Mahakama.
Ni takribani siku...
Huyu ni rafiki yangu Nimesoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao...
"Am sorry Dear I know una nia...
Ajira za Serikali ya awamu ya sita chini ya TAMISEMi zimejaa urasimu wa kutisha, ninapowaambia hapa kuna watu wa kada za uwalimu na Afya wanaendelea kuripoti kwenye vituo vya kazi kimya kimya bila ajira kutangazwa kwa , huu ni ufisadi na mianya ya rushwa bora niongee tu ijulikane.
Mimi nina...
Kinacho changia wanawake wengi kuwa katika mahusiano bila ndoa ni tofauti iliyopo katika fikra ya mwanaume na mwanamke wanapo ingia katika mahusiano. Mfano mwanamke aingiapo katika mahusiano na mwanaume,mwanamke hufikiri kuwa hiyo ni hatua ya kwanza kuelekea ndoa,kitu ambacho kwa mwanaume...
Kwako Diamond...
Mimi shabiki yako kindakindaki nimekuwa nikizipenda kazi zako toka kamwambie, ila now days unaimba utopolo sikupangii cha kuimba ila naamini muziki mzuri ndio umefanya upo hapo ulipo.
Huu wimbo ulioutoa jana ni utopolo mtupu wimbo mzima umejaa gigi gagaa kga kge gagaa gagaa...
Kupitia ukaunti yake rasmi, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amenena haya kuhusu watu wanaofanya mzaha wa matumizi ya vidonge vya kuzuia mimba aina ya P2.
Inaweza kuonekana ni utani lakini huu ndio ukweli hasa kwa baadhi ya watoto wetu wa kike walio shuleni.
P2 ni dawa ya kuzuia mimba...
Hamjamboni nyote?
Tafadhali pitia ujumbe wa PK hapo chini
Photo: President Paul Kagame
===
President Kagame: In the near future, Rwanda's relations with Burundi will get back normal. It's still work in progress, and both sides are committed to see it through.
President Kagame: on the...
Mmiliki wa Kampuni za GSM, Ghalib Said Mohamed ametangaza kujiuzulu nafasi ya kuwa Mwenyekiti na Mjumbe wa Kamati ya Ushindi ya Taifa Stars.
Hayo yamesemwa na Afisa Biashara Mkuu wa GSM, Alan Chonjo ambaye amezungumza na wanaandishi wa Habari leo Jumatatu Februari 7, 2022.
Ameeleza kuwa Ghalib...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.