Ujumbe kwa maprogrammer

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,200
1,747
kujifunza programming ukiwa na 25 years kuja juu na una life la kimaskini, hauna connection yoyote hapo bado unajifunza mpaka uive kaka/dada utakuwa na miaka mingapi? Alafu programming inahitaji muda kazi za kukupa msosi na malazi utafanya saa ngapi kwakuwa hauna connection na ndio unaanza, hapa huwezi fanya programming kwa aina ya maisha uliyo nayo(Age case, no money, no connection, poor surrounding etc).

Umegraduate na 25years, maskani unarudi, huna kazi ila una vyeti na ujuzi haujakaa sawa maana graduate wengi wa CS na IT ukiacha wa SE wanajifunzaga kuwa maprogrammer wakiwa wamegraduate 😀, hapo ndo utasikia title mi programmer kumbe beginner, sasa kajifunzie programming kwenu pale, mzee wako ana 60years haeleweki kiuchumi na kitabia, utashinda ndani kujifunza programming kwa miezi mitatu ya kwanza baada ya hapo utatimuliwa ukatafute kazi je ni lini utakuwa programmer wewe ?🤣

Bongo tunateswa na umaskinj, starehe na ushamba.

Umasikini:
Kuwa programmer na maisha ya kinasikini ni kazi ngumu mno, programming inahitaji utulivu ukiwa maskini huwezi pata muda wa kutulia utakufa njaa.

Ushamba:
Ushamba unaingilia sana programmer especially watu wanaokuzunguka kukuweka kitimoto kwamba haionekani ukifanya kazi kama wengine muda wote wewe na computer wao wanajua may be unatazama porn n.k, sasa wewe Kama programmer/beginner utashindwa vumilia kujifunzq

Ni vyema kutumia muda wako kujifunza ukiwa bado haijaingia kwenye majukumu.

Field ya programming kwangu mimi nasema ni ngumu kuliko zote.

Inahitaji muda, mazingira mazuri na fedha + connection

Ndiyo unasikia umempa programmer kazi kumbe umempa beginner😀 komaa
 
Programming inahitaji uwe na Hela ya msosi bila Hela utapambana hivyo hivyo kibishi sana ila mie naona ni ukiwa na ujuzi wa kuanza nao kukupa chochote kitu Kama kudevelop simple website ukawa unapata chochote kitu na ukawa na ujuzi mwingine kama graphics skills za kukusogeza japo kua kupata wateja wenyewe ni Kazi sana pia ili uendelee kukomaa Kuwa na ujuzi wa kudevelop complex web app au phone application itamsaidia kidogo tofauti na hapo duh
 
kujifunza programming ukiwa na 25 years kuja juu na una life la kimaskini, hauna connection yoyote hapo bado unajifunza mpaka uive kaka/dada utakuwa na miaka mingapi? Alafu programming inahitaji muda kazi za kukupa msosi na malazi utafanya saa ngapi kwakuwa hauna connection na ndio unaanza, hapa huwezi fanya programming kwa aina ya maisha uliyo nayo(Age case, no money, no connection, poor surrounding etc).

Umegraduate na 25years, maskani unarudi, huna kazi ila una vyeti na ujuzi haujakaa sawa maana graduate wengi wa CS na IT ukiacha wa SE wanajifunzaga kuwa maprogrammer wakiwa wamegraduate 😀, hapo ndo utasikia title mi programmer kumbe beginner, sasa kajifunzie programming kwenu pale, mzee wako ana 60years haeleweki kiuchumi na kitabia, utashinda ndani kujifunza programming kwa miezi mitatu ya kwanza baada ya hapo utatimuliwa ukatafute kazi je ni lini utakuwa programmer wewe ?🤣

Bongo tunateswa na umaskinj, starehe na ushamba.

Umasikini:
Kuwa programmer na maisha ya kinasikini ni kazi ngumu mno, programming inahitaji utulivu ukiwa maskini huwezi pata muda wa kutulia utakufa njaa.

Ushamba:
Ushamba unaingilia sana programmer especially watu wanaokuzunguka kukuweka kitimoto kwamba haionekani ukifanya kazi kama wengine muda wote wewe na computer wao wanajua may be unatazama porn n.k, sasa wewe Kama programmer/beginner utashindwa vumilia kujifunzq

Ni vyema kutumia muda wako kujifunza ukiwa bado haijaingia kwenye majukumu.

Field ya programming kwangu mimi nasema ni ngumu kuliko zote.

Inahitaji muda, mazingira mazuri na fedha + connection

Ndiyo unasikia umempa programmer kazi kumbe umempa beginner😀 komaa
aiseee
 
Umegraduate na 25years, maskani unarudi, huna kazi ila una vyeti na ujuzi haujakaa sawa maana graduate wengi wa CS na IT ukiacha wa SE wanajifunzaga kuwa maprogrammer wakiwa wamegraduate , hapo ndo utasikia title mi programmer kumbe beginner, sasa kajifunzie programming kwenu pale, mzee wako ana 60years haeleweki kiuchumi na kitabia, utashinda ndani kujifunza programming kwa miezi mitatu ya kwanza baada ya hapo utatimuliwa ukatafute kazi je ni lini utakuwa programmer wewe ?

Bongo tunateswa na umaskinj, starehe na ushamba.

Umasikini:
Kuwa programmer na maisha ya kinasikini ni kazi ngumu mno, programming inahitaji utulivu ukiwa maskini huwezi pata muda wa kutulia utakufa njaa.

Ushamba:
Ushamba unaingilia sana programmer especially watu wanaokuzunguka kukuweka kitimoto kwamba haionekani ukifanya kazi kama wengine muda wote wewe na computer wao wanajua may be unatazama porn n.k, sasa wewe Kama programmer/beginner utashindwa vumilia kujifunzq

Ni vyema kutumia muda wako kujifunza ukiwa bado haijaingia kwenye majukumu.

Field ya programming kwangu mimi nasema ni ngumu kuliko zote.

Inahitaji muda, mazingira mazuri na fedha + connection

Ndiyo unasikia umempa programmer kazi kumbe umempa beginner komaa

sounds like truly
 
Most of what u have said is true ilaa kwenye kila challenging situation yoyote ile there must be exceptions !!!, na hapo ndipo unakutana na watu sasa ambao licha ya kukabiliwa na vikwazo vyoote hivyo bado they penetrate and stand rising kwenye programming field.

Tatizo kuubwa ambalo nadhan linaweza kuwa kikwazo kwa wengi ni kuifanya programming kama KAZI kwanza badala ya PASSION kutangulia kwanza.
Ikiwa ni passion yako toka unasoma, 3 years chuon ni muda tosha kabisa wa kua beginner...very enough.

NITAKACHOKUPINGA sana ni kuhusu CONNECTION.
Why should u need connection to do your own projects?? Instead ya connection mimi nadhan all programmers (not only beginners) they need ;
1. Proper communications skills- hii ni ili iwasaidie ku master
(a) Marketing
(b)Sales
2. Proffesional consultations toka kwa watu wa field ambazo wao developers wanataka ku provide solutions huko. Mfano umefanya syatem inayo base kwwnye mambo ya afya au elimu au social au uhasibu etc, jaribu kupata views zao wanaonaje kile umefanya, wapi kinahitaji marekebisho na mambo mengine kama hayo.

Haya ndio mambo machache kati ya mengi muhimu ambayo kwa mtazamo wangu developers wengi wana ya miss sana sana sana ndio maana watu wengi wana ideas n projects zimefia kwenye laptops

Eyce Kanungila Karim
 
kujifunza programming ukiwa na 25 years kuja juu na una life la kimaskini, hauna connection yoyote hapo bado unajifunza mpaka uive kaka/dada utakuwa na miaka mingapi? Alafu programming inahitaji muda kazi za kukupa msosi na malazi utafanya saa ngapi kwakuwa hauna connection na ndio unaanza, hapa huwezi fanya programming kwa aina ya maisha uliyo nayo(Age case, no money, no connection, poor surrounding etc).

Umegraduate na 25years, maskani unarudi, huna kazi ila una vyeti na ujuzi haujakaa sawa maana graduate wengi wa CS na IT ukiacha wa SE wanajifunzaga kuwa maprogrammer wakiwa wamegraduate 😀, hapo ndo utasikia title mi programmer kumbe beginner, sasa kajifunzie programming kwenu pale, mzee wako ana 60years haeleweki kiuchumi na kitabia, utashinda ndani kujifunza programming kwa miezi mitatu ya kwanza baada ya hapo utatimuliwa ukatafute kazi je ni lini utakuwa programmer wewe ?🤣

Bongo tunateswa na umaskinj, starehe na ushamba.

Umasikini:
Kuwa programmer na maisha ya kinasikini ni kazi ngumu mno, programming inahitaji utulivu ukiwa maskini huwezi pata muda wa kutulia utakufa njaa.

Ushamba:
Ushamba unaingilia sana programmer especially watu wanaokuzunguka kukuweka kitimoto kwamba haionekani ukifanya kazi kama wengine muda wote wewe na computer wao wanajua may be unatazama porn n.k, sasa wewe Kama programmer/beginner utashindwa vumilia kujifunzq

Ni vyema kutumia muda wako kujifunza ukiwa bado haijaingia kwenye majukumu.

Field ya programming kwangu mimi nasema ni ngumu kuliko zote.

Inahitaji muda, mazingira mazuri na fedha + connection

Ndiyo unasikia umempa programmer kazi kumbe umempa beginner😀 komaa
ROBERT HERIEL umepata mwenzako huku au hii ni mojawapo ya ID zako fake?
 
mimi mtoto wangu ataanza kusoma programming kuanzia miaka 5 . nitamfundisha Java,C#,cisco,.Net,Ruby,ethical hacking,cobol,script,c++,oracle 15g ...

Na zaidi nitamfundisha forex trading na uchumi ilikujua jinsi ya kujipatia kipato.
pamoja na ujuzi wa kazi za mikono kama ufundi ,sayansi na n.k

ili kesho akifikisha miaka 25 sipati naye tabu maana sina connection za kumtafutia ajila
 
Mkuu nimependa sana hapo.
Hasa kwenye idea ya economic awareness.

Kitu binafsi nimekuja gundua proffesionals wengi kwenye field kama It na engineering na hata Medical wana lack sana knowledge hii.Binafsi naona Sales and Marketing i very important component kwa hawa watu baada ya kupata ujuz wao.
Na hii ndio sababu kubwa sana most of us cant make buznes out of professionalism to make money..

Ume code software tayar, sawa but how the hell people will get to know and hence need to purchase ur product or services????

You must learn to get out there and talk to people after spending 2months on table coding considering the fact that you dont and so far cant hire a team to do that for you!.

And nalizungumza hili as i have practised it myself baada ya ku develop product yangu na kufikia almost 40% of the progress i started learning to talk about my product to my customers hivyo hivyo ki layman mpaka nimejikuta am so much in love with SALES & MARKETING.

In 1 year my software started to sell subscriptions from 0ths to 800k tshs a month.
 
Acha watu wafanye kazi wewe! Wapo wanaobadili career zaidi ya umri huo na wanafanikiwa na sio kwamba walikuwa na kipato kivile.
Kama kitu roho yako inapenda kifuate usisikilize maneno ya wajuaji.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom