kujifunza programming ukiwa na 25 years kuja juu na una life la kimaskini, hauna connection yoyote hapo bado unajifunza mpaka uive kaka/dada utakuwa na miaka mingapi? Alafu programming inahitaji muda kazi za kukupa msosi na malazi utafanya saa ngapi kwakuwa hauna connection na ndio unaanza, hapa...
Mtwara. Madiwani watano wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Mkoa wa Mtwara wamebakia na mshangao baada kukuta barua zenye ujumbe zilizoandikwa kwa maandishi mekundi nyumbani kwao.
Ujumbe hizo zinazosomeka ‘Munatualibia maisha yetu na nyinyi mujiandae kuhalibiwa kwa namna yoyote maisha yenu’...
Ujumbe ulikuwa hivi, unajua nyie waafrica yaani sisi kwamba tuna Tabia ya kimalayamalaya hivi hatuwezi tukawa na msimamo wa kusimama na mmoja ndio maana tulibaki mabubu kwenye kura kule UN, kwa hiyo tutumie rasili Mali zetu, tuachane na Tabia hiyo ili tusiwe tegemezi mfano alisema nyie mnaweza...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na iliyozua Maswali mengi na Taharuki ya Kiusalama Kawe ni kwamba Kijana Mmoja Dereva Bodaboda amejikuta matatani baada ya kutumwa kupeleka Barua yenye Ujumbe wa Tishio katika Kambi ya Jeshi ya Lugalo.
Ilikuwa ni Siku ya Jumapili iliyopita ambapo Kijana huyo (...
(1) Ewe kijana unapaswa kuwa na shauku ya kuacha kutanga tanga. Uwe na nia ya kutulia kwenye kazi moja uliyotumwa kuifanya humu Duniani.
(2) Hivyo tenga muda wa kutosha wa kusoma Kitabu chenye Maneno ya kweli,Mazuri,masafi, muhimu ambacho kitakuwa kina kukumbusha mambo muhimu ya wewe kutenda...
Habari za muda huu wakuu, Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo juu.
"Advertising access restricted" ndo ujumbe unaonijia kila ninapohitaji ku-Boost matangazo yangu, So please mwenye ushauri nini nifanye ku-Fix hili tatizo tafadhali anisaidie.
Umefuta Message kwa bahati mbaya ??
Kuna wakati unajikuta katika kupunguza punguza vitu basi kwa bahati mbaya ukafuta (sms) au taarifa zako muhimu. Je unatakiwa upate stress🤔? Hapana!
Kuna mbinu kadhaa unaweza kuzitumia ili kurejesha sms zilizopotea kwenye simu yako. Katika andiko hili...
Picha ya kwanza ni:
Na picha ya pili ni:
Kwenye picha ya kwanza Rais Macron wa ufaransa akiwa anakaribishwa na mwenyeji wake rais Zelensky wa Ukraine. Naona kama Zelensky amenuna, ni kama ana bifu fulani!. Rais Macron naona ni kama analazimisha tabasamu angalau ajaribu kumwambukiza...
Hope mko poa.
Recently, kumekua na case tofauti tofauti kwa hili jukwaa pendwa la MMU.
Kumekua na story za member wenzetu humu kuumizwa na haya mapenzi. Kuna thread zinasikitisha na kutia huruma sana. Kama member wa JF na mfatiliaji wa hili jukwaa hili ningependa watu wapate kutambua yakuwa...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye ametaka makampuni ya mawasiliano nchini kuacha mara moja tabia ya kuendelea kutuma ujumbe ambao wateja hawajaomba na kueleza kuwa kwa kufanya hivyo ni kuwapotezea muda wateja wao.
Nape ametoa agizo hilo Mei 31, 2022 wakati...
Hoja ya mbunge wa viti Maalumu Halima Mdee kuhusu Sh10 bilioni imeendelea kutikisa katika mitandao ya kijamii wengi wakihoji alipata wapi kiasi hicho.
Hata hivyo jana Mdee alizungumzia jambo hilo na kukanusha kuwa hana kiasi hicho kwenye akaunti yake bali amesema kwa maana ya kufikisha ujumbe...
Wakuu nawasalimu kwa jina la JMT,
Imekua kawaida sasa kila nikipiga simu ya kwanza (kuanzia saa sita kamili usiku na kuendelea) napokelewa na ujumbe NDUGU MTEJA LINE YAKO HAIJASAJILIWA KWENYE MFUMO WA SPEED YA 4G HIVYO HUTAWEZA KUITUMIA KWENYE 4G TAFADHARI IBADILI SASA UPATE GB 7 BURE. Huu...
Kwema jamani?
Hivi mbona Rais wetu akienda nje ya nchi anapokelewa na watu wa ajabu tu?
Mfano alivyoenda USA alipokelewa na mtu mwenye cheo sawa na mtendaji wa kata huku kwetu. Atleast alivyoenda Uganda juzi niliona wamempa mapokezi ya heshima.
Leo kaenda huko Ghana kapokelewa sijui na wakuu...
Nimetumiwa ujumbe na mtendaji wa kata nifuate kibao cha namba za makazi niende na shilingi 5000 ya kulipia , ilipo nyumba nyingine mtendaji kanitumia meseji niende nikalipie 5500 , hivi, hivi vibao vya namba za anuani ya makazi vinalipiwa tena?
Serikali ya awamu ya sita jamaniiiii mbona hivyo...
Inaonekana Ndugai aliamini alichokisema pale alipopinga sera za taifa kuishi kwa kuomba omba misaada na kupelekea kujiuzulu uspika kwa shinikizo... amelirudia tena jambo lile kwa angle nyingine...
Hili dhahiri ni jiwe limerushwa Ikulu, na natumaini wakubwa watapata ujumbe kwamba kuna sehemu...
Waziri Nape, kuna dosari kwenye zoezi la anuani za Mitaa. Ipo mitaa inandikwa kwa jina la Kiswahili na mingine inaandikwa kwa lugha ya Kiingereza.
Unakute vibao viwili vinavyotumia mlingoti mmoja, kimoja kimeandika Mtaa wa MTAA WA MARKET, na kibao kingine kwenye mlingoti huo huo kimeandikwa...
Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.
Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania.
NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
Yasemekana mama Samia alitokea mlango wa nyuma hotelini na ubalozini kuutoroka ujumbe wake:
Kwa kuwa yaliyoandikwa ni ukweli mtupu, itapendeza akaribishwe hivi hivi nyumbani atakaporudi.
Kazi ya kumfikishia ujumbe wake na iendelee.
Kufuatia Ziara ya rais Samia huko Marekani, wananchi waishio huko wameandamana kudai katiba mpya.
Watanzania hao walibeba mabango yenye ujumbe wa Kudai katiba mpya na Wengine kubeba mabango yanayotaka serikali imwachie huru Mwanasheria Peter Madeleka ambaye inasemekana amekamatwa na Polisi...
Ni dhahiri shahiri Waaafrika wengi hatuwazi ujenzi wa Mataifa yetu bali tunawaza ujenzi wa familia zetu .
Tubadilike, kila mmoja abadilike kwa nafasi yake.
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.