ugonjwa

  1. Mystery

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anatuhimiza wananchi tukachape kazi, wakati makampuni yakiendelea kuwapunguza wafanyakazi wao kutokana na ugonjwa wa Corona!

    Tulimsikia wenyewe Rais wetu Magufuli wakati akilihutubia Taifa siku chache zilizopita, akituhimiza wananchi tukachape kazi na kuwa tusitishwe na vyombo vya habari vya kibeberu, kwa kuwa ugonjwa wa corona siyo tishio kiasi hicho wanachotuaminisha! Kwa kweli nilishangazwa sana na maelekezo hayo...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Daudi Bashite akipokea taarifa za ugonjwa wa mtoto wa Mbowe

  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kufanya uzembe hadi watu wakafa kwa ugonjwa sio sawa na mauaji ya kimbari?

    Hivi kweli kufanya uzembe Tanzania hadi watu wa nchi hii na mataifa jirani wakafa kutokana na sababu ambazo zingeweza kuzuilika si sawa na mauaji kweli? HAKUNA kiongozi hata mmoja dunia hii leo anaepigwa picha "anakula Bata" wakati nchi inakabiliwa na tishio kubwa namna hii. Hivi hakuna namna...
  4. Richard

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ujerumani ina idadi ndogo ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa COVID -19? Tanzania tuna cha kujifunza

    Wakati ugonjwa unaosababishwa na kirusi cha Corona ukiendelea kusambaa na kuua watu wengi duniani, nchini Ujerumani idadi ya watu walokufa ni ndogo kulinganisha na nchi zingine barani Ulaya na duniani kwa ujumla Kwa mujibu wa taasisi ya Robert Koch hadi kufikia Ijumaa asubuhi watu 13,957...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Corona tumekuwa kituko cha kutolewa mifano

    Moja kwa moja kwenye mada. Waswahili wanasema asiyejua maana haambiwi maana. Kwamba haka kaugonjwa ni ka upepo tu katapita. Na kwa kuwa sisi tu wacha Mungu sana sijui kuliko nani, basi sisi tumemwachia yeye. Vipi mambo yakienda ndivyo sivyo (katu hatuombei hivyo), je tutasema Mungu katususa...
  6. The Boss

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa chigugunda au chidumba wa Mtwara ni ugonjwa gani?

    Nimesikia huko Mtwara kuna ugonjwa huwa unaibuka na kupotea unaitwa chigugunda au chidumba.. Na dalili zake ni kukohoa na kichwa kuuma..na dalili zote kama za huu ugonjwa wa Corona... Ifahamike pia wamakonde na wachina hawatofautiani kwenye Kula wanyama wa kila aina.... Kuna yeyote mwenye...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Tume ya Ushindani yaonya wanaoficha, kupandisha bei vifaa vya kujikinga na corona

    Tume ya Ushindani nchini (FCC), imewaonya waingizaji, wazalishaji, wasambazaji na wauzaji wa jumla na rejareja wa bidhaa za kujikinga na vizrusi vya corona vikiwamo barakoa (mask), vitakasa mikono (sanitizer) na vizuia mikono (gloves) wanaoficha bidhaa hizo kwa lengo la kupandisha bei. Aidha...
  8. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Italia yaipiku China kwa idadi ya vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Covid 19

    Wakuu hamjambo? Nimekuwa nafuatilia kuhusu hili gonjwa la Corona kwa wataliano, naona linawapukutusha kama mti unavyopukutisha majani wakati wa kiangazi. Idadi ya vifo inasoma 400+ kila siku,angalia hii record ya vifo kwa Jana na Leo, ambapo Jana tu uliua watu 475. Leo hii watu takribani 425...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Kamwelwe atangaza mkakati wa kupambana na ugonjwa wa Coronavirus kwenye vyombo vya usafiri

    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi a mawasiliano ameitaka mamlaka ya udhibiti usafiri wa ardhini ( Latra) kukutana mara moja na kutoa mwongozo juu ya idadi ya abiria wanaoruhusiwa kusimama ndani ya daladala na Mwendo kasi ili kupunguza msongamano. Waziri Kamwele ameyasema hayo mjini Dodoma alipokuwa...
  10. Maboso

    JamiiForums Tanzania Isabella Mwampamba, mgonjwa wa kwanza kugundulika Corona Tanzania aomba msamaha kwa Watanzania

    Isabella Mwampamba, Mtanzania wa kwanza kugundulika kuwa na Virusi vya Corona hapa nchini, leo amezungumza na Watanzania kwa njia ya simu kupitia Mkutano wa Waandishi wa habari, na kuwaomba radhi Watanzania kwa kuwa Mtu wa kwanza kuingia na Virusi hivyo hapa nchini.
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya mwanamke anayekabiliana na ugonjwa uliobadili muonekano wake

    Farah Khalek ni mwanamke mwenye miaka 33 kutoka nchini Kenya, kama wanawake mwingine wa umri wake mwenye ndoto kubwa katika maisha yake. Licha ya kuwa anakabiliana na ugonjwa wa ngozi ambao umebadilisha muonekano wake wa sura kabisa. Ugonjwa huu unajulikana kama Scleroderma. Farah Khalek...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hatari ya kusambaa Coronavirus: Mashine za kutolea fedha (ATM Machines) zimulikwe kwani zinaweza kuchangia sana kusambaa kwa ugonjwa huu

    Autometed Teller Machine(ATM) ni moja ya kifaa kinachoweza kuchangia sana kusambaa kwa ugonjwa huu wa Corona ila bahati mbaya sana mpaka sasa sijasikia ni hatua gani zinachukuliwa na mabenki pamoja na serikali katika kudhibiti kusambaa kwa ugonjwa huu kupitia mashine hizi za ATM. Kwa kifupi,ATM...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tamko juu ya tiba asilia na tiba mbadala dhidi ya ugonjwa wa Corona litoke mapema

    Sera ya afya ya 2007 imekiri kuwa takribani asilimia sitini ya wananchi huanza kutumia tiba asilia wanapopatwa na maradhi kabla ya kwenda vituo vya kutolea huduma za afya. Aidha, hivi karibuni tiba mbadala imepata umaarufu miongoni mwa wananchi kutokana na uimarikaji wake duniani. Kadhalika...
  14. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Corona: Rais Magufuli asitisha mbio za Mwenge 2020. Fedha kupelekwa ktk maandalizi ya kupambana na Corona

    Habari zenu wakuu, Kutokana na kusambaa kwa virus vya Coron, Rais wa Jamhuri ya Muungano amepiga marufuku mbio za Mwenge kwa mwaka huu ili kuzuia mikusanyiko isiyo rasmi Very nice for our caring president ,long live baba --- Rais amesema Mbio za Mwenge zinakusanya watu wengi sana na katika...
  15. Farolito

    JamiiForums Tanzania Tuchukue tahadhari sana Corona sasa ipo DRC congo!

    Wakuu, Ule ugonjwa wa Covid-19 maarufu kama Corona umeshawasili nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Ikiwa ni Siku chache tu tangu mgonjwa wa mwisho wa Ebola atoke hospitali nchini DRC sasa imeripotiwa mgonjwa wa kwanza wa Corona nchini humo ameripotiwa na kuthibitishwa. Inasemakana...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Huu ni ugonjwa gani na tiba yake nini?

    Habari zenu wakuu, poleni na majukumu. huu ni ugonjwa gani umenipata, ilianza kama siku tatu zilizopita, naona mkono unaniwasha na jana na leo ghafla naona pamekuwa hivi na bado panawasha. Tamuona Doctor lakini kwa sasa nipo eneo ambalo hakuna daktari, angalau paache kuwasha tu na kuondoa hivo...
  17. MC44

    JamiiForums Tanzania Mlipuko wa ugonjwa usiofahamika mkoani Geita

    Habari, Nipo Geita kumekuwa na hali ambayo inatia shaka kidogo. Kumekuwa na ka mlipuko ka ugonjwa ambao unatembelea kila familia na kila mtu. Dalili kubwa ni homa...mafua na kikohozi. Ukienda kupima unaambiwa ni malaria au UTI unapewa na dawa za kikohozi na mafua. Ni takribani mwezi sasa...
  18. Mr Big

    JamiiForums Tanzania Maombi: Dini mbalimbali, kabila tofauti ndani ya Tanzania, tuungane kwa umoja kuomba Mungu atuepushe na ugonjwa wa Corona

    Wakuu nawasalim, Ni dhahiri kwa sasa kila pande ya dunia ugonjwa wa corona madhara yake yamekuwa makubwa zaidi na kila nchi inajaribu kupambana kwa uwezo wake wote ilimradi tu kuuondoa au kupunguza madhara ya huu ugonjwa. Idadi ya vifo ni vingi zaidi, licha yakuwa taarifa zinazotolewa na...
  19. guzman_

    JamiiForums Tanzania Corona Virus: Watanzania hawata wasamehe ugonjwa huu ukifika nchini

    Katika harakati zangu nimezunguka viwanja vya ndege vitatu vinavyopokea sana wageni toka nje, hali niliyoikuta Mungu atusaidie. In short, kinachosemwa na viongozi na yanayotendeka huko ni mbingu na ardhi. Nimeshuhudia raia zaidi ya 200 kutoka Uchina wakipita airport bila kupimwa wala kukaguliwa...
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa corona waanza kuzalisha wakimbizi wa kichina, UNHCR wajiandae

    Dunia imezoea kuona wakimbizi wa kivita. Sasa hivi wachina wengi wenye pesa kutoka miji ambayo haijaathirika na huo ugonjwa wameanza kukimbia china kukimbilia nchi zingine duniani kuukimbia huo ugonjwa Shirika la wakimbizi la umoja wa mataifa lianze kujiandaa kukabiliana na hili wimbi jipya la...
Back
Top Bottom