ugonjwa

  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kuhara damu

    Huu ni ugonjwa unaotokana na mchafuko wa tumbo ambao unasababisha kuharisha kinyesi chenye damu au kamasi au vyote kwa pamoja. Ugonjwa huu usipotibika haraka unaweza kusababisha kifo kutokana na mwili kupoteza maji, virutubisho na madini kwa wingi. Dalili zake 1. Kuhara kinyesi...
  2. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Hivi wakemia ulimwenguni kote wameshindwa kabisa kutengeneza dawa ya kutibu UKIMWI?

    Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu? Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake, mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Binadamu anaweza kutibu ugonjwa wa kuzeeka?

    Leo hii duniani hakuna ugonjwa unaoua watu wengi kama kuzeeka. Zaidi ya asilimi 60 ya watu wanaokufa leo hii wanakufa sababu ya uzee. Ugonjwa wa kuzeeka unatokea pale seli za mwili zinapoacha kugawanyika na kutengeneza seli mpya. Inadaiwa kuwa kwa wastani seli ya binadamu inaweza kugawanyika...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini 90% ya Maafisa wa Vyeo vya Juu wa JWTZ Wakistaafu Ugonjwa wao mkubwa huwa ni 'Stroke: tu?

    Tafadhali naomba huu Uzi uwe na Mjadala wenye Mantiki kwa Faida ya Wengi kwani kwa Utafiti wangu GENTAMYCINE nikienda Kuona Wagonjwa Lugalo Military General Hospital na hata Majumbani / Mitaani 90% ya Wagonjwa wa Kiharusi ( mliosoma mnauita Stroke ) huwa ni Wanajeshi Wastaafu ( tena waliokuwa na...
  5. KUKU_UFUGAJI

    JamiiForums Tanzania Huu ugonjwa wa Gastritis sasa unanitesa mno

    Habarini wapendwa, bila kupoteza muda, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Mwaka jana mwezi wa 2, nilienda hospitali ya Regency sababu nilikuwa nina sumbuliwa sana na tumbo. Niliishiwa nguvu, mikono na miguu kufa ganzi, kuhisi kiwewe au kuchanganyikiwa, kichefuchefu, kuchoka sana, na kuhisi...
  6. jmratino

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni hospital inayodili na ugonjwa wa uvimbe

    Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha baba yangu anasumbuliwa na huo uvimbe, umekua ukimdhoofisha afya yake, tumejaribu mara kadhaa kumpeleka hospital lakini matibabu anayopewa yameshindwa kumponyesha, kwa maelezo yake anasema linavuta kwa ndani kama mtu aliyekulenga na mshale wa sindano...
  7. dyuteromaikota

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie prof J kutokomeza ugonjwa wa figo

    Toa taarifa viwanda bubu mtaani kwako vinavyotengeneza pombe feki. Usikae kimya maana inaweza kumkuta yeyote, hata wewe haupo salama.
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madai ya Mlipuko wa Kipindupindu Simiyu, RC asema ‘Ni Ugonjwa wa Matumbo, tumewapiga faini Wananchi wasio na vyoo’

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda amezungumzia madai ya uwepo wa mlipuko wa maambukizi ya Kipindupindu katika Wilaya ya Bariadi Mkoani hapo akisema kuwa kilichotokea ni magonjwa ya tumbo na tayari Serikali inachukua hatua kisha akatoa ushauri kwa Wananchi. Amesema hayo siku chache...
  9. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaohonga na kunuunua wanawake wana ugonjwa wa akili ama wanajizima data?

    Umewahi kuwaza hawa watu wana ugonjwa gani?? Umeshawahi kujua wengi wanaonunua wana ugonjwa wa kuangalia Porto I Jamaa ananunua mzigo..jmosi ananunua mzigoooo jpili anashindaa sikunzima anaangalia Porto Hawa huwa wanajua kabisa mabinti wanataka maokoto so huwa wanajipanga kipesa na pale...
  10. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia katika Kudhibiti Mbu waenezao Malaria, Uchunguzi wa Ugonjwa na Tiba sahihi ya Malaria

    Mambo muhimu juu ya udhibiti wa Mbu waenezao Malaria kwa njia za Utangamano; Matumizi sahihi ya Vyandarua vyenye dawa kwa kila mwanajamii kila siku Upulizaji viuatilifu ukoko kwenye kuta ndani ya nyumba ni njia fanisi ya kuua mbu waenezao malaria na hivyo kupunguza maambukizi ya malaria...
  11. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ujue Ugonjwa wa Malaria: Dalili, Madhara, Kinga, Tiba, Malaria kwa Wajawazito na Mpango wa Serikali katika kuzuia Malaria

    Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vinavyojulikana kama 'Plasmodium' ambavyo huenezwa na mbu jike aina ya Anofelesi. Ugonjwa wa Malaria huenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine pale mbu mwenye vimelea vya malaria anapomuuma mtu mwingine na kuacha vimelea mwilini mwake. DALILI...
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kifo au ugonjwa wa kiongozi yeyote haufichiki. Tuambieni alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

    Tundu Lissu kupitia akaunti binafsi ya mtandao wa X ameandika, 'Hivi Serikali hii ilijifunza chochote juu ya kifo cha Magufuli mwaka juzi? Kifo au ugonjwa wa kiongozi mkuu wa nchi havifichiki! Kufichaficha kunaleta hisia mbaya za mchezo mchafu dhidi yake. Jisafisheni! Tuambieni aliko Makamu wa...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Surua Dodoma

    YAH: TAARIFA YA MLIPUKO WA UGONJWA WA SURUA KATIKA JIJI LA DODOMA Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu. Mnajulishwa kuwapo na mlipuko wa Ugonjwa wa Surua katika Jiji la Dodoma. Na hili linatokana na sampuli zilizochukuliwa kuthibitika kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa Suru ana hivyo kufanya...
  14. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Je mwili kutoka harufu ya kukera ni ugonjwa?

    Kuna watu ambao kwa asili yao wana harufu fulani ya tofauti ambayo kwa mtu mwingine inaweza kuwa ni ya kukera kwa kiasi fulani. Mhusika au wahusika wengi wenye hali hii mara nyingi ni watu coloured (wasio weusi) au hawa tunawaita weupe na mara nyingi unakuta wao wenyewe hawana habari kama...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Kisukari, hauna tiba zaidi ya Insulin for life. Je, tiba asili na tiba mbadala ni Effective?

    Wanabodi, Leo ni Siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Kisukari, huu ugonjwa uko kwenye kundi la magonjwa yasiyo ambukiza, ugonjwa huu hauna tiba za kihospitali zaidi ya kudungwa sindano ya Insulin for Life! kwa maisha yako yote. Kuna wanganga wa kienyeji wa tiba asili na riba mbadala ambao...
  16. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa akili kwenye ndoa

    Short story: this is experience nimepata recently, Kijana kaoa familia ambayo mama wa mwanamke ana matatizo ya akili. ndoa ilikuwa fresh sana amna shida. shida ilikuja wamepata watoto wa 3, 2 wana shida ya akili. Wanapata convulsion (fit, degedege) za kutosha. wamefanya everything. sasa...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hakika UKIMWI ni ugonjwa wa maskini. Magic Johnson kaishi nao miaka 32

    Huyu mcheza kikapu maarufu ambaye hivi juzi ametangazwa kuwa bilionea ameishi na ngoma kw miaka 32. Aligundulika na UKIMWI mwaka 1991. Akatangaza hadharani kuwa kaukwaa. Hadi leo mwaka wa 32, akiwa na miaka 64 bado anadunda nao. Tajiri hafi kwa ngoma.
  18. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Je kupenda kuwa alone ni ugonjwa?

    Mtu haumwi homa yoyote ya kuonekana. Hana tatizo la afya ya akili (Ukichaa). Anafanya kazi zake vema tu. Sio mgomvi/mkorofi Anajihisi huru mwenye raha na furaha anapokuwa yuko mwenyewe "alone" Je mtu kama huyo yuko sawa au ana shida ya namna yoyote ile inayohitaji matibabu?
  19. Miguel Alvarez

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Huu ni ugonjwa gani wa Kuku?

    Kama Kichwa Cha Habari kinavyojieleza...hapo juu Naomba msaada kujua huu ni ugonjwa gani wa kuku na unasababishwa na nini ?na Tiba yake ni nini? Ni kuku wa kienyeji Mwenye kujua Tiba yake ikiwa madawa ya madukani au mitishamba naomba anijuze Nimeambatanisha na picha 👇🏿👇🏿
  20. Miguel Alvarez

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani wa kuku?

    Habari za Majukumu wakuu.... Niko na shida na Kuku wangu wa kienyeji... Ni Siku ya pili kuku wangu hachangamki hata kula awezi kula vizuri Baada yakumchunguza nimekuja kugundua kinyesi chake si Cha kawaida .. nimejaribu kuambatanisha na picha hapo chini👇🏿👇🏿 Mwenye kujua ugonjwa na tiba ikiwa...
Back
Top Bottom