Wanafunzi wa Shule za Mbagala Wanajiamini makusudi Ugonjwa wa Red Eyes ili watege kwenda Shuleni

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,128
"Watoto wetu huku Mbagala kwa Makusudi kabisa wakimuona Mtu tu mwenye Ugonjwa huu wa Macho wa Red Eyes wanaenda Kumshika na hata Kugusisha mikono yao na Macho ya hao Wagonjwa kisha kujigusa katika Macho yao ili Waugue na watege kwenda Shuleni" amesema Mzazi akiongea muda si mrefu na Mtangazaji wa Kipindi cha Asubuhi cha Redio U-FM

Hivi kwanini Wanetu na. Wadogo zetu wa sasa hawapendi Kusoma na wanaichukulia Elimu kama Mjomba na Shangazi yao?

Yaani upuuzi huu angeufanya Mwanangu na nikaujua nina uhakika mpaka muda huu GENTAMYCINE ningekuwa nimeshayaanza Maisha yangu mapya katika Majengo ya bure ya Rais Samia ya Ukonga, Keko na Segerea.
 
Wanaona hata ukisoma hamna la maana utakalopata ndo shida watu wengi wana degree wako mitaani ss asome ili iweje kama miaka hii aliemaliza degree yuko mtaani baada ya miaka 8 itakuwaje ss
 
"Watoto wetu huku Mbagala kwa Makusudi kabisa wakimuona Mtu tu mwenye Ugonjwa huu wa Macho wa Red Eyes wanaenda Kumshika na hata Kugusisha mikono yao na Macho ya hao Wagonjwa kisha kujigusa katika Macho yao ili Waugue na watege kwenda Shuleni" amesema Mzazi akiongea muda si mrefu na Mtangazaji wa Kipindi cha Asubuhi cha Redio U-FM

Hivi kwanini Wanetu na. Wadogo zetu wa sasa hawapendi Kusoma na wanaichukulia Elimu kama Mjomba na Shangazi yao?

Yaani upuuzi huu angeufanya Mwanangu na nikaujua nina uhakika mpaka muda huu GENTAMYCINE ningekuwa nimeshayaanza Maisha yangu mapya katika Majengo ya bure ya Rais Samia ya Ukonga, Keko na Segerea.
ule uwanja nasikia ile klabu wanautumia saivi
 
Back
Top Bottom