ugonjwa

  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Uterine prolapse huu ugonjwa kiswahili chake ni nini?

    Naombeni watalaamu wa Afya mnisaidie kunipa majibu ya Uterine prolapse kwa kiswahili.
  2. realMamy

    JamiiForums Tanzania Ulipona Ugonjwa wa “Surua” na “Tetekuwanga” kwa dawa za Hospitali au za Asili?

    Inaelezwa kuwa karibu watu wote wanaugua Surua na Tetekuwanga kwa nyakati tofauti katika ukuaji wao. Mara kadhaa nimeshuhudia wazazi wengi wakiwatibu watoto wao kwa dawa za Asili wakieleza kuwa hutibu haraka na kwa uhakika. Lakini kwanini hawataki kuwapeleka Hospitalini kupata ushauri wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho nimetoka mloganzila Sina ugonjwa wowote

    Wakuu nawapa mrejesho wa shida zangu baada Jana usiku kichwa kuuma sana katikati ya utosi...nkaenda pima dispensary nkaambiwa nna UTI25 na hypoid Leo nkaamkia mloganzila kwenye clinic yangu ya siku zote ya ugonjwa nao umwa wa tezi ..baadae nkaenda muona physician akaniandikia...
  4. W

    JamiiForums Tanzania WHO: Mlipuko wa Ugonjwa wa Mpox ni janga la Kiafya la Kimataifa

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani la Umoja wa Mataifa (WHO),Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema kuwa Mlipuko wa Mpox si janga la Afrika pekee bali ni la kimataifa katika mkutano wa kamati ya dharura ya shirika hilo Agosti 14, 2024. Kwa mara ya pili tangu mwaka 2022, ugonjwa umetangazwa...
  5. John kirua

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ugonjwa huu unaitwaje? Unatibika kwa dawa gan?

    Mtoto anaumwa kama ivyo ni ugonjwa gani na unatika kwa dawa gan?
  6. USSR

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ngozi kuwasha Dar wizara ya afya mpo kimya kama hampo

    Hapa kwenye taasisi nayofanyia kazi karibu kila mtu analalamika ugonjwa wa kuwashwa ngozi na kujikuna as if mtu anapiga gitaa . Huko mitaani nako hali sio hali watu wanajikuna sio mchezo sana na leo nilikuwa hospitali (kitegule) Dk akaniambia kuna huo ugonjwa na watu wengi wanafika hapo wakiwa...
  7. SSMashinji

    JamiiForums Tanzania Maumivu kwenye tumbo au mbavu (wengi huita vichomi)

    VICHOMI ni lugha ilio zoeleka kwa wanao sema kua kuna vitu vinachoma juu ya tumbo au mbavu, maumivu makali na ya mda mfupi kama mwiba umechoma eneo kilo. LAKINI KIUHALISIA TUKISEMA TUNAVICHOMI TUNA FICHA MAGONJWA MENGI KWENYE SHIDA INAYOWEZA PUUZWA NA WENGI KWAMBA "...:confused:.ma'''''ke iki...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya ajabu ajabu Afrika Mashariki ni kiashiria cha kuingia ugonjwa wa "serial killer"?

    Serial killers ni watu wanaofanya mauaji ya zaidi ya mtu mmoja kwa minajili ya kujipatia furaha tu, mauaji yao mara nyingi huwa yanalenga kundi fulani la watu mfano wanawake, watoto, watu wa rangi fulani n.k Aina hii ya mauaji imekuwa maarufu zaidi katika nchi za magharibi ikihusishwa zaidi na...
  9. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je, mtoto anaweza kurithi ugonjwa wa Hydrocephalus kupitia wazazi wake?

    Ni wazi kuwa tumepata kuona kwenye vituo vyetu mbalimbali vya afya wagonjwa wa Hydrocephalus, watoto wetu wamekuwa wakipata matatizo haya kwa kiwango kikubwa. Kwa zaidi ya miaka 10 nimekuwa nikiwaona wazazi na walezi wakipata shida, wakizunguka hapa na pale kwa ajili ya kutafuta suluhu ya...
  10. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Mnisaidie: Ni ugonjwa gani naweza utumia kama excuse ya kuahirisha masomo nje ya nchi?

    Nimepata nafasi ya kusoma chuo kikuu nchini Sweden. Lakini mipango yangu ya kwenda huko nimeona ni vema niende mwakani 2025. Chuo wanataka niwape reason ya kupostpone maana niliwaambia nna changamoto ya kiafya. Naomba ushauri wako ni ugonjwa gani nikiuweka plus ushaidi wa daktari itakuwa...
  11. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Marekani huenda ikaiwekea China vikwazo kutokana na teknolojia ya kuponya ugonjwa wa kisukari

    Vyombo vya habari vya Marekani vimetoa ripoti kwamba, kampuni za kutengeneza dawa nchini humo zinashawishi Bunge la nchi hiyo kuiwekea China vikwazo, kwa sababu China imefanikiwa kubuni teknolojia mpya ya kutibu ugonjwa wa kisukari. Timu ya wataalam kutoka Hospitali ya Changzheng ya Shanghai...
  12. Baba Vladmir

    JamiiForums Tanzania Tambua ugonjwa wa kusahau (Alzheimer's Disease)

    Chembe hai za ubongo (neuronal cells) zina utando unaoitwa Sphingolipids( Haya ni mafuta maalum ya ubongo) na mojawapo yanaitwa Sphingomyelin.. mafuta haya husaidia kusafirisha taarifa ( impulse) ambayo huwa katika mfumo wa umeme( action potential).Taarifa ya kusikia , kuona , maumivu nk...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa PCOS

    Habari Ndugu zangu! Nimetafuta ujauzito kwa muda mrefu bila ya mafanikio! Nimekutana na Daktari kaniambia Nina PCOS kwenye ovary mbili zote! Amenipatia metrofromin na kaniambia tu nifanye mazoezi! Japo bado sioni mafanikio! Jamani ninahitaji Sana wa kupata watoto umri wangu umesonga, Ndoa...
  14. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Mishipa inaniuma ni dalili za ugonjwa gani?

    Sehemu zote zenye vein zinauma mikono na kwenye maungio ya miguu
  15. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Ilikuaje ukapata Gono mara ya kwanza? Je, aliekuambukiza ulimdhania anaweza kuumwa ugonjwa huo?

    Hebu tupeane experience. Mie gono ya kwanza kabisa nilipata mwaka 2012, na dem alonipa ni alikua kisu balaa tena chuoni na nilihangaika kinoma kumpata, sikutegemea kama angekua anaumwa ugonjwa aina hiyo kwa classy alokua anajiweka.
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Unaujua ugonjwa wa kuvimba ulimi?

    Aisee Jana nimekutana na brother mmoja anasumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba ulimi na ni muda mrefu sasa anaendelea na tiba ila hajapona nimeona huruma sana haongei analia anadai mwanamke wake alimloga ila me nikasema Nika tafute mtandaoni chanzo cha huo ugonjwa nikakuta unaitwa Glossitis na ni...
  17. Engager

    JamiiForums Tanzania Kijana wangu ana mafindofindo (Tonsils). Tunashindwa kuelewa kama ni ugonjwa au ni maumbile yake.

    Kama kunamtu anauelewa au alishawahi kukutwa na hali hii naomba ushauri au experience yake. Tuligundua mtoto ana mafindofindo yamevimba alipokuwa na umri wa miaka miwili. Tulijaribu kumtibu traditionally. Kuna dawa flani tuu ya kienyeji ya kuyachua kwa siku mbili yanakwisha yenyewe. Tumekuwa...
  18. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na UKIMWI, ni ugonjwa gani wa maambukizi Mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote??

    Wakuu Magonjwa ya kuambukizwa -Magonjwa yanayosababishwa na vimelea kama virus,bakteria na fungus. Magonjwa yasiyoambukiza -magonjwa ambayo hayahusishi vimelea fulan kama kisukar pressure magonjwa ya moyo. Swali je ni ugonjwa gan wa vimelea mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote?
  19. Room 28

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu ameshawahi kupona ugonjwa wa Homa ya Uti wa mgongo hapa Tanzania?

    Wakuu nauliza hivo na sababu!! Homa ya uti wa mgongo au meningitis
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Peru yapitisha Sheria kuwa Watu waliobadili jinsia wana Ugonjwa wa Akili

    Serikali ya Peru imetangaza kupitisha Sheria kuwa Watu waliobadili jinsia kuwa wana changamoto ya Ugonjwa wa Akili na kuwa wanastahiki Huduma za Afya ya Akili. Shirika la Kutetea Haki za Binaadamu la Human Rights Watch (HRW) limekosoa uamuzi huo wa Serikali na kueleza kuwa haioni kama watu...
Back
Top Bottom