Wakazi wa Dodoma waitaka Serikali kutafuta Dawa ya Ugonjwa wa Macho Mekundu kwani wanaonekana ni Wavuta Bangi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,638
108,995
Yaani huu Uginjwa wa Macho Mekundu ulioingia sasa Mkoani Dodoma kutokea Dar es Salaam unatukwaza kwani kwa Macho yetu kuwa Mekundu hivi tunaonekana ni Wavuta Bangi wakati wengine hata hiyo Bangi yenyewe hatujui amesema Mkazi Mmoja wa Mkoa wa Dodoma.

Chanzo: Nipashe ya Radio One Asubuhi hii..

Wagogo bhana kwahiyo kila Mtu tu akiwa na Macho Mekundu basi huyo ni Mvuta Bangi?

Sasa kama Mkoa una Watu Wapuuzi kama huyu unadhani unastahili hata kuwa Mji Mkuu?

Sijui Mzanaki Mwenzangu nae Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alirogwa na nani hadi akauchagua Mkoa wa Dodoma kuwa ndiyo Mji Mkuu wa Tanzania..

Kwangu Mimi hadi hii leo Mji Mkuu wangu Binafsi wa Tanzania ni Dar es Salaam na ikitokea nikaja kuwa Rais wa Tanzania haraka sana nitaamuru Mji Mkuu uwe ni Dar es Salaam na Majengo yote ya Dodoma yauzwe na Pesa itakayopatikana itumike kuwasaidia Omba Omba wa Mkoa huo na nyingine ikaboreshe Miundombinu ya Hospitali yao Kubwa ya Wendawazimu ya Mirembe ambayo ilijengwa kwa Kuwalenga hao hao Wakazi wa Mkoa huo wa Dodoma.
 
Kwa kigezo kimoja cha mtu kuamka na kusema macho mekundu watu huhisiwa ni wavuta bangi ndio ufanye Dodoma kutokuwa mji mkuu...??
 
Kwa hiyo mkazi mmoja ndio unageneralise wote?, kweli sasa nakiri kuwa suala la afya ya akili ni janga kwa taifa hili
Hakuna Watu ninaowadharau kama wa huo Mkoa. Mbona hata Wewe kwa huu Ujibuji wako tu unaonekana ni Mgonjwa Tukuka wa Afya ya Akili?
 
Dawa ya huo ugonjwa ni mkojo tu hata wasihangaike, tena mkojo wa asubuhi baada ya kuamka unachukua kiasi unaweka machoni, au ukishaanza kuhisi kama mchanga usianze kufikicha jicho weka mkojo tu hutaupata huo ugonjwa.
 
Jana nilikutana na Mgonjwa Mmoja na kuna dalili fulani naanza Kuziona hivyo huenda nami muda wowote kuanzia sasa Macho yangu yakaonekana Mekundu kama ya Mvuta Bangi wakati hata Bangi yenyewe tu siijui.
 
Back
Top Bottom