ugonjwa

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kucheka miongoni mwa tiba ya ugonjwa wa moyo

    Utafiti uliofanyika nchini Brazil umegundua kuwa kucheka kunasaidia katika matibabu ya ugonjwa wa moyo kwa asilimia 10. Utafiti huo uliofanywa na Hospitali ya Clinicas de Porto Alegre ukiongozwa na Daktari bingwa wa moyo, Profesa Marco Saffi uligundua kuwa tiba ya kucheka inaweza kusaidia...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania KWELI Ugonjwa wa Kaswende husababisha matatizo ya Afya ya Akili ikiwemo Kupoteza Kumbukumbu

    Magonjwa ya Zinaa ikiwemo kaswende yanachangia mtu kupata ugonjwa wa Afya ya akili ikiwemo Kupoteza Kumbukumbu, Msongo wa Mawazo na Mania. UKIMWI pia unatajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa matatizo ya Afya ya Akili kwa Wagonjwa.
  3. P

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Unaweza kupunguza Makali ya UKIMWI kwa kubadilisha damu

    Wakuu mko vyede? Kuna kipindi fulani hili suala lilizuka sana kuwa wanaoishi na HIV hasa matajiri walikuwa wanaenda South Afrika kubadilisha damu ili kupunguza makali ya ugonjwa huo. Hii ilikuwa kweli? Maana mpaka leo naamini walikuwa wanafanya hivyo, ila swali likaja wanabadilishaje...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Chanzo kikubwa cha kupungua nguvu za kiume ni wanaume kuangalia wanawake wanaotembea nusu uchi

    Maneno yamekuwa mengi tangu vibarazani mpaka kwa madaktari kukisia dawa ya ugonjwa unaowasumbua baadhi ya wanaume. Waganga wa kienyeji nao wanajipatia riziki kwa kuuza dawa wanazosema zinasaidia kuongeza nguvu za kiume lakini bado tu tatizo lipo. Mabarabarani nako utakutana na wasichana...
  5. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania Nimepona Ugonjwa wa Presha ya Juu kwa kubadili tu mfumo wa maisha

    Miezi kadhaa iliyopita nilikubwa na misukosuko mingi sana kimaisha na magonjwa mbalimbali makubwa kuninyemelea ikiwamo high blood presha. Nikiwa kijana kabisa mwenye ndoto za maisha yangu nilishtuka sana nilipofika hospitalini siku moja kwa issue ingine na dokta kunipima presha kwanza kisha...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku ya Homa ya Ini Duniani: Una ufahamu wowote juu ya ugonjwa huu na jinsi ya kujikinga?

    Siku ya Ini Duniani huadhimishwa tarehe 28 Julai ya kila mwaka, leko kuu ikiwa ni kuelimisha na kuikumbusha jamii katika athari za ugonjwa huu, jinsi unavyoambukizwa na namna ya kujikinga. Takwimu za Shirika la Afya Duniani kupitia taarifa ya Homa ya Ini yam waka 2021 zinaonesha kuwa, mwaka...
  7. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ugonjwa wa Shinikizo la Damu ni wa Wote Sasa, Tuwajibike Kuudhibiti

    Utangulizi Miaka ya nyuma, magonjwa mengi yasioambukiza yalitawala sana nchi zilizoendelea, magonjwa haya ni shinikinizo la juu la damu, kisukari, saratani, magonjwa ya figo, na kadhalika; ambayo pia yaliwapata watu wenye umri mkubwa, yaani kuanzia miaka 60 na kuendeleza. Wakati huo, nchi nyingi...
  8. Eng Kizumango

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu P.I.D, dalili na madhara yake

    P.I.D- Pelvic Inflammatory Disease. P.I.D Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS). Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa...
  9. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Ni ugonjwa gani huu mtu afanyiwa operation na kutolewa minyoo mingi hivi?

    Hebu Tazameni hii operation madaktari mtueleze ni nini hii.
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni apona COVID-19, ajinadi yeye ni Veterani kwa kuushinda Ugonjwa huo

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza kuwa hatimaye amepona virusi vya ugonjwa wa Covid-19 baada ya vita vya wiki mbili na virusi hivyo. Mkuu huyo wa nchi mwenye umri wa miaka 78, katika taarifa yake Jumapili, alisema kwamba matokeo ya vipimo yalirudi yakionesha kuwa hana Covid na sasa...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Macho kuuma mpaka kutoa machozi inasababishwa na nini?

    Hivi macho kuuma, mfano kutoa machozi mpaka jicho moja kuanza kutoona mbali kunasababishwa na nini?
  12. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Mafua ni ugonjwa jamani!

    Yaan hata kupika nimeshindwa....mambo siyo mambo... Kichwa kinauma,naona Kuna dalili ya kikohozi.....wanaosema Bora uumwe mafua kuliko Nini sijui....ndugu yangu yanakuwa hayajakukamata aisee.🤧🥵 Hivi mafua Lazima huambukizwe? Au huwa yanakuja tu automatically? Simaanishi namhisi mtu,nauliza tu🙆
  13. Mokaze

    JamiiForums Tanzania Hakika watu tunakabiliwa na Magonjwa mengi, kila Ugonjwa unayo Dawa yake

    Salam wakuu, Nilipata kuhadithiwa kisa kimoja cha kweli kilichotokea miaka mingi huko India, nami nimeonelea nikiweke humu ili tupate kujifunza. Katika miaka ya mwishoni mwa 1800 na mwanzoni mwa 1900 katika kijiji kimoja huko India alitokea mwanamke mmoja aliyepatwa na ugonjwa wa ajabu wa...
  14. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Ni baada ya kupatiwa matibabu dhidi ya ugonjwa ulionikumba ghafla hadi kupelekea kulazwa hospitalini kwa siku mbili(2)

    Habari Wanajamii... Ninatumai wote ni wazima wa afya kabisa pasina shaka, Mimi pia ni mzima na buheri wa afya kwa wastani wake. Kwa sababu bado naendelea na dawa kadhaa ili kuurudishia mwili afya tena kama ilivyokuwa hapo awali. Naomba nianze na shukrani zangu za dhati kwenu wanajamii wenzangu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Afya Katika Maendeleo Endelevu

    Afya ni sehemu ni sehemu ya maendeleo endelevu katika kuimarisha afya bora za watu ili kuwawezesha kufanya vizuri na kuinua uchumi wao na nchi kwa ujumla katika jamii mtu mwenye afya bora huwa na uwezo wakushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii zao na kuchagia katika ujenzi wa jamii...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio NEMC, uchafu wa Mazingira ni ugonjwa wa akili unaotakiwa utibike Kisaikolojia. Hata baadhi ya Viongozi wanaumwa

    Chimbuko la kelele lipo kiimani na kisaikolojia. Nashauri NEMC Pelekeni hoja Wizara ya Elimu ili watakapoboresha mitaala yao, somo la Sayansi kimu lifundishe kwa kina madhara ya uchafuzi wa mazingira ikiwemo kelele. Tukumbuke kwamba baadhi ya viongozi wanaumwa huu ugonjwa wa kisaikolojia na...
  17. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Sababu za ugonjwa wa Mkanda wa jeshi

    Mkanda wa jeshi (shingles) husababishwa na Virusi aina ya (Varicella zoster) vinavyoambukizwa kwa kuvuta pumzi, pamoja na matone ya upumuaji. Kirusi hiki kinasababisha magonjwa mawili ikiwemo tetekuwanga (chicken pox) wakati wa utoto, ambayo husababishwa na (Varicella). Ugonjwa mwingine ni...
  18. J

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Jamii ina Uelewa Juu ya Ugonjwa wa Lupus?

    Je, unaufahamu Ugonjwa wa Lupus, Dalili na jinsi ya kushughulikia nao? Je, unafahamu 90% ya Wagonjwa wa Lupus Duniani ni Wanawake? Kumekuwa na Uzushi kuwa watu wenye Ugonjwa wa Lupus hawawezi kuishi muda mrefu. Mtu mwenye Ugonjwa wa Lupus anaweza kuishi umri mrefu kama watu wengine iwapo...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya nchi duniani washaufuta ugonjwa wa maralia, sisi tumeshindwa hata kufuta kelele tu mtaani

    Kusema ukweli! Mambo mengine siyo utajiri! Bali ni uthubutu tu! Baadhi ya nchi duniani walishasahau kama kuna ugonjwa wa malaria! Yaani wadudu warnezao malaria hivi kweli kama taifa tumeshindwa kuwaondoa? Zamani kulikuwepo ugonjwa wa kichocho sijui ulipotelea wapi! Lakini sahivi kuna hii kitu...
  20. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kwa baba au mama kuwaficha watoto kuwa ana ugonjwa wa (UKIMWI)

    Habari zenu Wana Jamii forums Wazazi wengi wanaishi na ugonjwa wa UKIMWI kwa Siri bila watoto wao kujua na wanatumia ARV kwa siri chumbani. Na wengi wao wanaogopa kueleza Hali zao za Afya kwa familia wakihofia kudharaulika,sababu watoto now days shuleni wanajifunza UKIMWI unatokana na ngono zembe.
Back
Top Bottom