CHADEMA imetoa shukrani rasmi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kitendo cha kumtembelea Tundu Lisu Nairobi hospital alipolazwa baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema Rais Samia akiwa Makamu wa Rais wa Magufuli wakati huo alionesha ujasiri na...
Hoja kubwa ya Umaarufu wa Tundu Lisu ilikuwa ni kumshambulia kwa maneno yoote ya dhihaka mwendazake
Umaarufu wake uliimarika zaidi pale alipoingia kwenye kampeni na kuvunja sheria za nchi kwa kufanya kampeni mpaka usiku
ilikuwa kila anapopst ujumbe lazima uambatane na kejeli kwa mwendazake...
Mwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na uzandiki uliopindukia.
Lumumba alikuwa anajibu swali la mtangazaji Shaka Ssali wa VOA na kusema...
Ni muda wakusikia madini kutoka kwa Mhe. Tundu Lissu akiwa live VOA akichambua hoja na kujibu maswali mbalimbali kutoka katika chombo hiki cha kimataifa.
Karibu tumsikilize , nilitamana sana mahojiano Kama haya yangekuwa yanafanywa na televisheni na media zetu kama ilivyokuwa enzi ya JK lakini...
Amini usiamini ndivyo itakavyokuwa,
Kama ambavyo imekuwa karibu Kila mara Jina la Hayati Mwl JKN kuwa ndio dira na mfano Bora Kwa kila kiongozi kuombea Kura hata kurejea hotuba zake Ili kujijenga kisiasa.
Kwa kadri siku zinavyosonga na vizazi vingi kwa sasa Kwa sababu ya kukosekana somo la...
Kwenye mahojiano jana na television ya Kenya ya KTN live akiwa Ubelgiji aliwaponda sana mzee Jomo Kenyatta na Daniel Arap Moi kuwa walikuwa madikteta akawapongeza wakenya kujitoa kwenye mikucha yao na kuwa vizuri sasa.
Hakuwatendea haki .Naomba wakenya wenyewe rejeeni hayo mahojiano ni ukosefu...
Najiuliza tu kama CHADEMA wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lissu kugombea tena urais 2025.
Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana.
Maendeleo hayana vyama!
Ni vema watanzania tukajua kama Chadema ina ofisi ndogo Ubelgiji inayotumiwa na makamu mwenyekiti wa chama hicho chenye makao yake makuu mtaa wa Ufipa Kinondoni.
Na pia kama yale yote anayoongea Tundu Lisu na vyombo vya habari vya Ulaya na Marekani yana baraka za chama hicho.
Na kwamba kwa...
Nimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT.
Kiukweli ingependeza sana kama Tundu Lisu angekuwa ndiye mwenyekiti wa CHADEMA kwa sababu anamzidi sana Freeman Mbowe kimaarifa na kwa kukubalika.
Lakini kwa...
Tundu Lissu amekuwa akidai kuwa Corona Tanzania ipo akiwa Ubelgiji ukimbizini. Akiwa Tanzania hakusema toka siku ya kwanza alipotua tu uwanja wa ndege alivua barakoa na hakuivaa tena kipindi chote cha miezi mitatu aliyokaa Tanzania akifanya kampeni akizungukwa na umati wa watu wasiovaa barakoa...
Natafakari tu.
Iwapo makao makuu ya CHADEMA bado yapo Dar es salaam hadi leo yawezekana chama hicho hakikubaliani na sera ya kuhamishia makao makuu ya serikali Dodoma.
Je, unadhani ni nini Tundu Lissu angekifuta mapema kama angefaulu kutinga jumba jeupe ambacho kingeturudisha nyuma...
Tundu Lisu baada tu ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa alikimbilia ubalozi wa Germany kisha JNIA kukwea pipa na kurudi zake Ubelgiji.
Hakuna kamanda yoyote kutoka Chadema aliyejitokeza kumtetea Lisu zaidi ya akina Mrangi, tindo, Mmawia, erythrocyte na salary slip waliokuwa wanampigania hapa...
Upepo unapeperusha mawingu kwa taratibu na huwezi kujua kama mawingu yanasafiri, kumbe ni dunia ndiyo inazinguka kwenye muhimili wake.
Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa vinasema Kyagulanyi alikubalika miongoni mwa wapiga kura vijana ambao ni 78% kulingana na watu wazima kwa asilimia...
Akiwa mkoani Geita Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Wazanzibar sasa ni wamoja na wanajenga nchi yao kwa pamoja na amemshukuru Rais Magufuli kwa kuwezesha Zanzibar kuwa wamoja na watu wanaopendana.
Nakumbuka Tundu Lissu aliahidiwa kutafutiwa teuzi inayolingana na uwezo wake lakini...
Tunakumbushana tu.
Tundu Lissu alikuwa na dada yake Bungeni
Zitto Kabwe alikuwa na dada yake Bungeni.
Dkt. Slaa alikuwa na mtalaka wake Bungeni
Ndesamburo alikuwa na mwanae pamoja na mkwewe bungeni
Mbatia alimpeleka dada yake bunge la Afrika Mashariki nk nk
Kila jambo na wakati wake, awamu...
Kwanza nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka.
China ni marafiki zetu kama taifa tangia tulipojinasua kwenye makucha kandamizi ya wakoloni waliotunyonya na kututesa sana huku wakipora rasilimali zetu.
Ndio nauliza kwanini Tundu Lissu na Godbless Lema wameomba hifadhi kwa adui zetu...
Moja kwa moja kwenye pointi ni kwamba kama kuna wanasiasa waliosingiziwa sana kwa habari za uongo nchi hii basi ni Kawawa rip wakati wa chama kimoja na mzee Lowassa na Ridhiwani Kikwete wakati wa vyama vingi.
Na wanasiasa wanaoongoza kwa kuwasingizia wenzao habari za uzushi ni Dr Slaa na Tundu...
Wasichokijua watu wengi kuhusu Status ya ukimbizi aliyoomba Lissu zamu hii hata kabla ya kufika Ubelgiji ni kutojihusisha na masuala ya kisiasa au uanaharakati akiwa nchini humo.
Ni kwamba Lissu ni assylum seeker na bado haja-qualify kupewa permanent resident status mpaka ashinde kesi yake...
Chadema kwa muda mrefu imesemwa sana kwa kushindwa kujenga majengo yake Kama ofisi kuanzia ofisi ya makao makuu, kanda, mkoa na hata majimbo ya uchaguzi na kata.
Nakubaliana na hoja kuwa ruzuku waliyo kuwa wanapokea kama chama isingeweza kujenga ofisi, kulipa mishahara ya wafanyakazi na kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.