CHADEMA yamshukuru rasmi Rais Samia kwa kuwa kiongozi pekee wa Serikali aliyekwenda Nairobi kumjulia hali Tundu Lissu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
43,371
2,000
CHADEMA imetoa shukrani rasmi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kitendo cha kumtembelea Tundu Lisu Nairobi hospital alipolazwa baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema Rais Samia akiwa Makamu wa Rais wa Magufuli wakati huo alionesha ujasiri na Upendo wa kipekee kwa Makamu Mwenyekiti wetu Tundu Lissu.

Kipekee kabisa CHADEMA tunatoa tuzo ya shukrani kwa Rais Samia na tunamuahidi ushirikiano katika ujenzi wa taifa.

Ukinizingua Nitakuzingua
 

kawombe

JF-Expert Member
Mar 26, 2015
4,491
2,000
Mama aliona mbali kua maombi ya watanzania mungu ipo cku atayackia tu!! Piga kazi mama tumecheleweshwa mno kanyaga twende
 

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
11,322
2,000
Kilikuwa ni kitendo cha kijasiri, kiungwana, kizalendo na kistaarabu.

Mungu amlinde Mheshimiwa rais mama yetu Samia Suluhu Hassan.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom