johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 82,754
- 139,560
Kwanza nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka.
China ni marafiki zetu kama taifa tangia tulipojinasua kwenye makucha kandamizi ya wakoloni waliotunyonya na kututesa sana huku wakipora rasilimali zetu.
Ndio nauliza kwanini Tundu Lissu na Godbless Lema wameomba hifadhi kwa adui zetu wakoloni badala ya kwenda kwa rafiki zetu China?
Maendeleo hayana vyama!