Mazungumzo ya Tundu Lissu huko Ubelgiji ni yake binafsi au anaongea kwa niaba ya CHADEMA?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,976
Ni vema watanzania tukajua kama Chadema ina ofisi ndogo Ubelgiji inayotumiwa na makamu mwenyekiti wa chama hicho chenye makao yake makuu mtaa wa Ufipa Kinondoni.

Na pia kama yale yote anayoongea Tundu Lisu na vyombo vya habari vya Ulaya na Marekani yana baraka za chama hicho.

Na kwamba kwa sasa Msemaji wa Chadema ni nani? J J Mnyika, Makene su Tundu Lisu au yoyote tu ansruhusiwa kuongea chochote?

Nawatakia Kwaresma yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hivi makamu mwenyekiti wa ccm yuko wapi? sijamsikia toka mumemkosakosa kwa sumu Dodoma
 
Ufipa ikirindima kutokea Ubelgiji

Hawa jamaa Ni hatari kwa uchumi wa nchi yetu watu wamesha washtukia mwaka Jana hawakuamini alipata amna
 
Hiki kitu kinanichanganya Sana, lissu anatakiwa ku-behave Kama presid material Ila ndio hivyo chadema hatunaga bahati ya wagombea uraisi maana ikishapita tu kampeni wote wanakengeuka
 
Back
Top Bottom