tundu lisu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu rudi nyumbani, Rais Magufuli yupo tayari kutimiza ahadi yake

    TUNDU LISU RUDI NYUMBANI, RAIS MAGUFULI ATIMIZE AHADI YAKE. Na, Robert Heriel Sisi wote ni wanadamu, kila mmoja anamapungufu yake ambayo anahangaika kuyaweka sawa ili tuwe wakamilifu. Hatuwezi kuwa na tabia zile zile mbaya zinazowaumiza wengine, ni lazima tuziondoe ili kulifanya taifa hili...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Job Ndugai ilivyowasambaratisha Prof. Assad, Makonda, Tundu Lissu, Mbowe na Mpina!

    Hao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua. Wengi hawaijui nguvu ya Ndugai ndani ya CCM lakini kiukweli huyu jamaa ni very powerful. Wako wapi leo akina Makonda, Prof Assad, Mbowe na yule aliyepima samaki kwa rula kwenye mgahawa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif asema licha ya kuapishwa madai yao ICC yako pale pale!

    Akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif amesema licha ya ACT Wazalendo kujiunga na SUK bado madai yao ICC yapo pale pale. Maalim Seif amesisitiza kuwa anamwamini Rais Hussein Mwinyi na ana imani naye katika kujenga Zanzibar mpya. Nadhani hizi zitakuwa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA haina meno. Mbona Tundu Lissu alijiamulia tu kumuunga mkono Maalim Seif na haikumfanya chochote?

    Kamati kuu ya CHADEMA na Tundu Lissu akiwemo iliteua jina la mgombea Urais wa Zanzibar na baadaye likapitishwa na Kikao cha Baraza Kuu Tundu Lissu akiwemo pia. Wakati wa kampeni Tundu Lissu akabadili gia angani na kulitangazia taifa kuwa yeye anamuunga mkono mgombea urais kupitia ACT Wazalendo...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni vema angewalaumu ACT-Wazalendo na akina Halima Mdee akiwa nchini lakini siyo Ubelgiji

    Nilimsoma Tundu Lissu akiwalaumu akina Halima Mdee na wenzake kwa kukubali kuapishwa kuwa wabunge ilhali Uchaguzi haukuwa huru na haki. Nimemsoma tena Tundu Lissu akiwalaumu ACT-Wazalendo na Maalimu Seif kwa kukubali kujiunga na serikali ya Umoja wa kitaifa na kwamba wamewasaliti wananchi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Upinzani unazidi kumuweka mbali Tundu Lissu na kujiweka karibu na Serikali za CCM

    Kitendo cha Wabunge wa CHADEMA kuapishwa Dodoma chini ya kiongozi mkongwe na mwenyekiti wa Bawacha ni kujitenga na falsafa za Tundu Lisu za kususa na "kugomea" Kitendo cha ACT Wazalendo kujiunga na SUK huko Zanzibar ni ishara tosha ya kumtenga Tundu Lissu na wakili wake Amsterdam huko ICC...
  7. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanamkana Tundu Lissu kisayansi kama walivyomtenda Dkt. Slaa, Lissu hana nafasi tena CHADEMA!

    Kwanza hakuna mtu anayeweza kumvua uanachama wa CHADEMA Mdee kwa sababu ana mizizi ndani ya chama kama alivyo Freeman Mbowe, Lucy Owenya na Grace Kihwelu. Pili, Mnyika anajaribu kufahamu kinachoendelea lakini hakijui na siku ya Ijumaa ndio atakijua na huenda akajiuzulu. Mzee Lowassa aliondoka...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam analipwa na nani kuwatetea Tundu Lissu na CHADEMA?

    Nijuavyo CHADEMA chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni. Je, ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lissu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae? Tanzania kama taifa tuwe...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asema ameamua kwenda uhamishoni Ubelgiji kwa sababu ana hati ya ukaazi ya nchi hiyo

    Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema mh Tundu Lissu amewasili salama salimini nchini Ubelgiji. Tundu Lissu amesema ameamua kwenda kuishi Ubelgiji na siyo sehemu nyingine kwa sababu ameshakaa nchini humo kwa miaka mitatu na kwamba ana hati ya ukaazi ya nchi hiyo. Chanzo: BBC Dira ya Dunia...
  10. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

    Tundu Lissu, aliyekuwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA , ameondoka nchini humo leo Jumanne kwenda Ubelgiji huku akisema “sikimbii mapambano, ila nakwenda uwanja mwingine mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu.” Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Salumu Mwalimu wameonesha uwezo mkubwa wakabidhiwe chama

    Niseme bila kumung'unya maneno Tundu Lissu anafaa sasa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Salumu Mwalimu awe Makamu Mwenyekiti. Mnyika aendelee kuwa Katibu mkuu na mwanaJf kutoka Kyela Ethrocyte awe msemaji mkuu wa chama. Ni hayo tu kwa uchache. Maendeleo hayana vyama.
Back
Top Bottom