Ukiwaangalia kwa makini wafuasi wa Trump na wale wa Bobi Wine utagundua kuwa Tundu Lissu hana wafuasi bali mashabiki!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
39,960
2,000
Tundu Lisu baada tu ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa alikimbilia ubalozi wa Germany kisha JNIA kukwea pipa na kurudi zake Ubelgiji.

Hakuna kamanda yoyote kutoka Chadema aliyejitokeza kumtetea Lisu zaidi ya akina Mrangi, tindo, Mmawia, erythrocyte na salary slip waliokuwa wanampigania hapa Jf na id fake.

Nimefuatilia namna wafuasi wa Trump wa Marekani na wale wa Bobi Wine wa Uganda walivyojitokeza hadharani kutetea madai ya wagombea wao nikagundua Tanzania hakuna wapinzani bali Chumia Tumbo watupu mabingwa wa kuongea.

Kiukweli Nyerere hakuwa sahihi sana kukubaliana na wale 20% waliotaka mfumo wa vyama vingi vya siasa kwa sababu Tanzania bado sana kufikia level hizo.

Maendeleo hayana vyama!
 

Matrix19

JF-Expert Member
Feb 24, 2020
1,088
2,000
Pale nyani waliposhangilia mwenye shamba kufa ndio ambavyo familia ya kijani ilishangilia kubaki wenyewe sasa wanakosa wakumtupia mpira bali mnyukano wa wao kwa wao na nyani wakajikuta msimu uliofuata hawana pa kushibisha matimbo yao ! 5 Zaidi akikataa tumlazimishe au nasema uongo ndugu zangu?
 

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
9,150
2,000
Tundu Lissu hana wafuasi bali ana vibaka waliojificha kwenye kivuli cha siasa walitaka waachiwe wakapore maduka!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom