YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,909
- 51,904
Kwenye mahojiano jana na television ya Kenya ya KTN live akiwa Ubelgiji aliwaponda sana mzee Jomo Kenyatta na Daniel Arap Moi kuwa walikuwa madikteta akawapongeza wakenya kujitoa kwenye mikucha yao na kuwa vizuri sasa.
Hakuwatendea haki .Naomba wakenya wenyewe rejeeni hayo mahojiano ni ukosefu wa shukrani katibiwa kipindi cha serikali ya Mtoto wa Kenyatta ambaye ni Uhuru Kenyatta sikutarajia atoe matamko kama yale.
Hakuwatendea haki .Naomba wakenya wenyewe rejeeni hayo mahojiano ni ukosefu wa shukrani katibiwa kipindi cha serikali ya Mtoto wa Kenyatta ambaye ni Uhuru Kenyatta sikutarajia atoe matamko kama yale.