tundu lisu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu huondoka nchini bila kuaga?

    Tangu Tundu Lissu tangu arudi nchini hii nadhani itakuwa ni mara ya pili sasa kuondoka tena nchini bila kusema sababu yoyote hali hii sidhani kama inaleta afya kwa chama chake ukizingatia TL ni kiongozi ambaye uchaguzi uliopita aliwania nafasi ya juu kabisa ya urais. Maoni yangu ni vyema awe...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, acha kumshambulia Hayati Magufuli

    Ndugu yangu Tundu Lissu, ni hatari kubwa mno kuendelea kumshambulia Hayati Magufuli. Pamoja na mapungufu machache ya kibinadamu ya Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, asilimia kubwa ya Watanzania walimpenda mno na bado hajatoka mioyoni mwa Watanzania wengi. Hata hivyo, kuendelea...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ombi la wazi kwa Mheshimiwa Tundu Lisu

    Ni mfuatiliaji na mshabiki halisi wa Mheshimiwa Tundu Lisu, na namuhesabu kati ya wasomi waliosheheni elimu ya sheria. Ninachohitajia kwake ni kutumia hekima na busara amuombe radhi na msamaha Raisi Samia. Photos speaks thousands word.
  4. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Watanzania, ni muda umefika wa kumpa nchi Tundu lisu, hatuhitaji kupoteza muda tena, Tutajikuta mateka!

    Ukweli usiopingika, watanzania wanyonge wananyongwa haswaa ili tu kufanikisha misheni za wana ccm wachache, bora hata kipindi cha mwendazake wanyonge walithaminiwa, Nachukulia mfano mdogo tu wa juzi juzi ndio uone kabisa, ccm inawatafuna watanzania, Hivi majuzi, tarifa kupitia ITV...
  5. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Taaluma isiyo na maadili sio taaluma. Hongera AG kwa kulisimamia hili lakini kwanini usimfutilie mbali Uwakili wa Tundu Lissu badala ya Mwabukusi?

    Maadili ndiyo kila kitu kwenye kila kazi na kila taaluma. Maadili hayo yanajumuisha jinsi unavyoongea, unavyovaa na hata unavyotembea na yanapaswa yazingatiwe hata kama mtu yuko nje ya kazi. Maadili ndiyo utambulisho wa taaluma. Na kila taaluma ina maadili yake special. Mhudumu wa baa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui

    Tundu Lisu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui. Hana adui wa kudumu na kutokuwa na adui hakujawahi kumfanya awe mnafiki kama walivyo wanasiasa na wanazuoni wengine. Anapotamka wazi kwamba Magufuli hakuuza nchi kwa mikataba mibovu anasema ukweli. Anaposema Mkapa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Twende tukampokee Tundu Lissu leo saa sita JKNIA

    Mwamba anarudi leo kutoka ugaibuni. Tumpokee tumsindikize kwa Kingai.
  8. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Kumchokoza Tundu Lissu ni sawa na kuwasha moto nyikani

    Kama lipo jambo la hatari ambalo wenye Mamlaka wanataka kulifanya, basi ni kuanza kumfuatilia Tundu, huku wakimwandikia barua za miito ya mashtaka. Jamani, Lissu hana cha kupoteza hapa Duniani. Tundu, ni mfanya siasa aliyepitia kiwango cha juu na cha mwisho kwa mwana siasa wa upinzani kuteswa...
  9. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania TIC itisheni mdahalo kuhusu hili suala la DP WORLD na uwe live kwenye televisheni zote nchini

    Itapendeza sana kama TIC wataitisha na kuendesha mdahalo kuhusu hili jambo la DP WORLD. Na mdahalo huo uwe live kwenye television zote nchini. Mdahalo huwo uwakutanishe watu wanaopinga mkataba wa DP WORLD na wale wanaounga mkono mkataba huo wa DP WORLD. Yaani kuwe na room ya makundi haya...
  10. MWANDAMBO

    JamiiForums Tanzania Undumilakuwili wa Zitto Kabwe

    Wakati Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar kikijipambanua kupitia sakata la Bandari kumtetea Rais Samia kwa misingi ya Uzanzibari, Kiongozi wa chama hicho Ndugu Zitto ametumia mwanya huo wa kimsimamo kutetea Mradi wa DP World wa Bandari za Tanganyika chini ya kivuli cha Faida za bandari na mtazamo...
  11. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia na Mbarawa wameiuza Tanganyika yetu kwa Waarabu

    Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya... Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO. Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: Kwanini Tundu Lisu na Mbowe hawako active humu JF?

    Nikisema hawako humu namaanisha by their true identity. Wanaweza kuwepo kwa fake IDs, but to me , it is most unlikely kuwa wapo kwa fake IDs.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu agombee tu Ubunge, hiyo ndiyo saizi yake ili akachangamshe Bunge. Urais maji marefu kwake!

    Tunashuhudia nyomi kwenye mikutano yake lakini hiyo nyomi haihusiani kabisa na mvuto wake kisiasa. Watu wanakuja kumtazama mtu aliyekuwa "amekufa" kisha "kufufuka". Biashara inaishia hapo!
  14. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu awa bubu, ashindwa kueleza msimamo wake

    Inasikitisha na kutia aibu sana! Msimamo wa Tundu Lissu na Chadema ni kutowatambua wabunge 19 wa kuteuliwa kutoka ndani ya chama hicho. Msimamo huo huo pia, ni kutokumtambua mbunge halali wa chama hicho Aidan Joseph Kenan tokea tu walipoapishwa, na chama chao kiliapa kutochukua kabisa ruzuku...
  15. Msanii

    JamiiForums Tanzania Nani aliagiza na waliohusika kumshambulia Tundu Lisu? Serikali itoe kauli au ifunge jalada

    Kwa mujibu wa yanayoendelea nchini sasa ni kwamba wananchi wengi hawaamini kauli nyingi za serikali hususani zinazotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu masuala ama matukio ya kinyama waliyofanyiwa upinzani. TUndu Antipas Lisu ni Mtanzania anayestahili haki zote za kikatiba na kisheria. Haki yake ya...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu Kuhusu Muungano

    Watanganyika na zaidi wanachadema, Kwanini hamukubali uchambuzi na misimamo ya Viongozi wenu linapokuja suala la Muungano? Tumsikilize Tundu Lisu Kidogo === Sauti inayofafana na Lissu inayoongea kwenye audio hii imezungumza yafuatayo. Mgogoro wa Muungano ulipo ni kutokana na uhalali wa...
  17. kyagata

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwa sasa si Wakili wakusimama mahakamani kwa kutohuisha leseni yake

    Nawakumbusha tu asije akawatapeli, kwa sasa sio wakili kwenye mahakama zetu. Asije akawadanganya mkampa pesa akawapiga.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Je, TBC wameripoti taarifa za Tundu Lissu kurejea nchini? Kama wameripoti, imetoka moyoni?

    Mhe. Tundu Lisu ameripoti kurejea nchini mwezi huu, hii ni habari kubwa nje na ndani ya nchi. Swali la kujiuliza: Je, TBC wameripoti habari hii saa mbili kwenye taarifa ya habari? Wameripoti mitandaoni? Kama awajafanya hivyo kwenye taarifa ya habari, tunaamini mfumo unasema na kutenda kile...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, uhai wako ni muhimu kuliko chochote, usije Tanzania kwa sasa, ngoja kwanza

    Mamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body. Hili siyo jambo la kupuuzia! Mashetani wa Magufuli, WALIOKUPIGA RISASI bado wako madarakani/ofisini, UNASEMAJE KUWA UKO...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana Mali au biashara anazomiliki hapa nchini? Viko wapi vitega uchumi vyake?

    Wanasiasa kama Lissu naelewa siyo wafanyabiashara, hawana maono yakumiliki Mali, siyo wezi na wameumbwa kupambana wakati wote na matajiri. Lakini pamoja na ukweli kwamba siyo watu wa kujilimbikizia Mali upo umuhimu wa kufahamu anamiliki nini hapa nchini? Anamiliki kampuni gani? Ana ukwasi kiasi...
Back
Top Bottom