tume

Tume Parish (Latvian: Tumes pagasts) is an administrative unit of Tukums Municipality, Latvia. The administrative center is Tume.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Kuwa na Sifa ya Ujaji Hakifanyi Maamuzi yake kuwa ni ya Haki

    Kumekuwa na dhana inayotengenezwa na serikali ya CCM kwamba kwa kuwa Mwenyekiti wa NEC ni mtu mwenye nyadhifa ya ujaji basi ni wazi kwamba maamuzi yote atakayoyapitisha yatakua ni haki,na hayapaswi kupingwa na mtu yeyote au chombo chochote. Jamii inapaswa ielewe kwamba heshima ya maamuzi ya...
  2. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchakato wa Kupata Tume Huru ya Uchaguzi Uanze Sasa

    MCHAKATO WA KUPATA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) UANZE SASA Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kwa Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara ndg Isihaka Rashid Mchinjita, kimewataka Wajumbe wote wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wajiuzulu ili mchakato wa kuundwa kwa Tume mpya ya Uchaguzi uanze kwa...
  3. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge la Kenya lapokea Muswada unapendekeza Maafisa wa Tume watakaochelewesha Matokeo kufungwa Miaka 5 jela

    KENYA: Bunge limepokea Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Makosa ya Uchaguzi wa mwaka 2024 ambao unapendekeza kuwekwa Kifungo cha Miaka 5 jela kwa Maafisa wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) watakaochelewesha kutangaza Matokeo . Muswada huo unasomeka "Itakuwa ni makosa kwa Wajumbe na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi wa Pakistani

    Wakuu waTume wamejiuzulu na kukiri wizi wa kura ,wakisadikisha kupora kura sahihi za wapiga kura 70000 za mgombea Uraisi Imran ambae hata hivyo ameibuka kidedea. Wakuu hao wamesema amri za kubadilisha zilitoka kwa wakuu wa vyombo vya usalama. Hapa kwetu wanaobadilisha ni hao wakuu wa Tume na...
  5. comte

    JamiiForums Tanzania Papa na Vatican wataja maeneo ambayo kanisa la RC wanafanya katiba mpya, bandari na tume yauchaguzi hayamo

    Pope Francis meets with President of Tanzania Pope Francis holds an audience with President Samia Suluhu Hassan of the United Republic of Tanzania, expressing their joint commitment to promoting peace in the world. By Deborah Castellano Lubov Pope Francis received the President of the United...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi inabagua watumishi wa umma na ambao sio watumishi wa umma

    Bunge limepitisha mswada uliopelekwa bungeni na serikali kufanya mabadiliko ya katiba kwenye kipengele cha tume ya uchanguzi. Sasa kwa sheria mpya iliyopitishwa na bunge wakurugenzi wa wilaya na mamea wataacha kuwa wasimamizi wa uchaguzi moja kwa moja kutokana na nafasi zao wilayani. Badala...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tume ya Utumishi wa Umma huwa inafanya uangalizi (auditing) ya public service kila baada ya kida gani? Je kelele katika jamii zinawaita?

    Tanzania tuna Tume ya Utumishi wa Umma. Wakati wa Mzee Ben, Tume hii ilikithiri kwa umahiri. Nadhani Tume hii pia ifufuliwe ili ijibu hoja za uwajibikaji, badala ya kujificha maofisini. Mi mara ngapi wanafanya audit ya public service kila idara? Pengine makelele haya yanayotokea katika...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Edward Olelekaita: Hakuna tatizo kubadili jina la Tume ya Uchaguzi

    Mbunge wa jimbo la Kiteto ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Edward Olelekaita amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haikubainisha Tume ya Uchaguzi iitwe jina gani, hivyo hakuna tatizo katika kubadili jina la sasa ambalo ni Tume ya Taifa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume yateua madiwani wanawake wa viti maalum watano

    Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji (R) Jacobs Mwambegele (kushoto) akiongoza kikao cha Tume jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine kiliteua madiwani watano (5) wanawake wa viti Maalum. Pamoja nae ni Katibu wa Tume na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya...
  10. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria, George Mandepo awekwa wakfu kuwa Shemasi

    Miezi kadhaa iliyopita Rais wa JMT alimteua George Nathanael Mandepo kuwa Katibu mtendaji wa tume ya kurekebisha sheria. Leo tarehe 25 January baba Askofu wa Kanisa Anglikana Tanzania dayosisi ya Dar es salaam Rev Jackson Sosthenes Jackson amemuweka Wakfu Adv Mandepo kuwa Shemasi (mchungaji)...
  11. Lambardi

    JamiiForums Tanzania Iundwe tume Huru suala la mafuta ya petroli

    Wanabodi kama alivyopendekeza Mbunge. Naomba kusisitiza suala kuundwa tume huru tujue madudu yapoje na upigaji kwenye mnyororo mzima wa mafuta ya petrol. Kumtoa Mjinja bado hakusaidii wameiba sana. NAtoil ni balaa na laana kubwa.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iachwe iwe Huru, isiingiliwe

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye ameizundua rasmi Bodi ya Tume ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi huku akiitaka kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na miongozo iliyowekwa na si kwa Matakwa na Utashi wa watu fulani. Waziri Nape amesema...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tunategemea CCM waje na Katibu Mkuu mwenye nguvu ya ushawishi au waendelee kuwekeza kwenye tume na dola?

    Hali ilivyo nchini kuna njia mbili yakuamua siasa za 2024 hadi 2025. Njia ya kwanza ni chama cha mapinduzi kuweka kwenye safu yake viongozi wenye ushawishi kwa jamii. Kwa mtazamo wangu hakuna jina la katibu mkuu linaweza likawa na ushawishi kuliko jina la makamu mwenyekiti bara Ndugu Kinana...
  14. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi Huyu Joseph Mhagama (Mwneyekiti wa Tume) ni nani?

    Wadau naomba kuuliza hivi huyu Joeseph Mhagama ni nani...!!? Binafsi ndiyo nimemsikia kwa mara ya kwanza. Imekuwaje akapewa kazi kubwa kama hii...!!? Binafsi sikuwahi kumsikia mpaka sasa kwenye hii kamati ya Bunge. Lakini kwa mtazamo wangu naona kama vile amewekwa pale kwa agenda maalumu...
  15. Cheology

    JamiiForums Tanzania Sifa ya kuajiriwa tume ya uchaguzi, au msajili wa vyama vya siasa.

    Ndg zangu Nimesomea political science eneo la PSPA. Naomba kujua sifa gani kupata ajira tume ya uchaguzi. Najua kazi zao ni Majukumu 1. Kusajili vyama vya siasa na kuvifuta vile ambayo vimekiuka masharti ya usajili kw ujibu wa Sheria namba 5 ya mwaka 1992. 2. Kuratibu shughuli za Baraza la...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Askofu Ruwaichi: Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi kuteuliwa na Rais wanakosa Uhuru

    Akiwasilisha maoni mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu na Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa na Serikali Bungeni, Askofu Mkuu wa Jimbo la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Askofu Jude Thaddaeus Ruwai'chi amesema Uhuru wa Wajumbe hao unapaswa kutiliwa maanani kwasababu Uteuzi wao unatoka kwa...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukienguliwa na Tume ya Uchaguzi Kugombea Urais Kata Rufaa Mahakama Kuu

    Huu ni sehemu ya Mchango alioutoa Emmanuel Masonga Bungeni Dodoma alipokuwa anachangia kwenye Muswada wa Sheria za Uchaguzi . Sheria ya sasa inataka aliyeenguliwa akate rufaa kwa Tume yenyewe . =====
  18. comte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume Huru ya Uchaguzi wanayoitaka ili iwe huru kweli iendeshwe na fedha za wanaotaka kuchaguliwa siyo na Serikali

    Kumekuwepo na kelele za mda mrefu za uhuru wa tume ya uchaguzi. mambo yanayoguswa ni :- inavyoundwa watumishi wake Kwa mswada uliopelekwa bungeni na inavyopendekezwa inalekea suala la namna inavyoundwa na kupatikana watumishi wake yakapata majibu. Lakini bado lipo suala la nani ataipa fedha za...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi: Maridhiano ni Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote

    Salaam ,shalom!! Ni Kweli homa ya Uchaguzi imepanda, wengine wameanza kuacha kuongoza vyama na kukimbilia kuanza maandalizi ya kugombea ubunge nk nk. Wananchi hatufurahii urafiki kati ya chama tawala na vyama vya upinzani, maslah ya Wananchi yapo katika kutofautiana Kwa HOJA kuongeza Kasi ya...
  20. Influenza

    JamiiForums Tanzania Yafahamu majukumu ya Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya mwaka 2022 imeanza kutumika rasmi Mei 2023 ambapo pamoja na kuwepo kwa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutakuwepo na Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ambayo itakuwa ni chombo cha usimamizi wa Tume. Hata hivyo, ili kudumisha uadilifu wa Tume na...
Back
Top Bottom