tume

Tume Parish (Latvian: Tumes pagasts) is an administrative unit of Tukums Municipality, Latvia. The administrative center is Tume.

View More On Wikipedia.org
  1. Mr Kipara

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Muundo wa tume yetu ya uchuguzi ukiungalia vizuri utagundua kwenda kupiga kura ni uenda wazimu

    Hivi ndugu zangu Watanganyika tutaelimika lini? Yani tunaburuzwa kwenda kupiga kura ilihali Mshindi anajulikana nasi hatuoni shida! Hivi katuloga nani? Unaacha shughuli zako kabisa na kwenda kuunga foleni🚮🚮 Mimi kama Prof. Assad tu, kama tumeshindwa kupigania mifumo huru na thabiti sioni haja...
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Tume ya maadili ya utumishi wa umma imeondoka na magufuli ?au Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake!

    Wakati wa magufuli watumishi wa umma walikuwa wanaitwa na tume ya maadili si tu kula kiapo Bali kuthibitisha mali wanazomiliki na upatikanaji wake ! Rais magufuli alikuwa mstari wa mbele kwa kujitokeza hadharani na kwenda tume kuhojiwa na kuweka wazi mali zake na upatikanaji wake ! Baada ya...
  3. Paspii0

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maboresho ya Tume ya uchaguzi kufikia Tanzania tuitakayo hususani kwenye nyanja ya demokrasia na utawala bora

    UTANGULIZI. 👉Kuboresha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania kunahitaji mabadiliko na maboresho kadhaa ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki, huru, na uwazi. 👉NEC inaweza kuongeza uaminifu na uadilifu katika mchakato wa uchaguzi na kusaidia kujenga demokrasia ya kweli nchini...
  4. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Wale tulioomba ajira za muda za Tume Huru ya Uchaguzi tukutane hapa

    Wale wote tulioomba ajira za muda katika Tume Huru ya Uchaguzi kwajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura huu ni uzi wetu. Tupeane updates ya majina yatatoka lini?
  5. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume Huru na katiba mpya ni visingizio. Fahamu sababu inayowazuia wapinzani kuingia Ikulu

    Je hii ndiyo sababu pekee?
  6. Bravo247

    JamiiForums Tanzania Kilichofanyika jana katika usaili wa tume ya utumishi wa umma ni ubadhilifu

    Jana zimefanyika interview mbalimbali nchini kwa kada tofauti kwa njia ya mtandao. Lakini mtandao ulisumbua, kuna watu hawakusubmit kazi zao wakaambiwa na wasimamizi kuwa kazi zao ziko ziko submitted. Kuna watu walisubmit zikafail wakalog in wakapata muda wa kulog in wakakuta katika maswali 50...
  7. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi ya Mwaka 2024 na Katiba inachosema kipi ni sahihi?

    Nawaombeni sana mnieleweshe kuhusu TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI na TUME HURU YA UCHAGUZI. Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatamka kuwa kutakuwa na TUME YA TAIFA UCHAGUZI na Sheria ya 2024 inatamka kuwa kutakuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI. Je, ni kipi kiheshimiwe kwanza. Ni Katiba au Sheria?
  8. mackj

    JamiiForums Tanzania SoC04 EVM kengele ya kuiamsha tume ya taifa ya uchaguzi kutoka usingizini

    Tanzania ni Miongoni mwa nchi ambazo zinavyuo na taasisi zilizo na wataalamu wazuri wa utayarishaji mifumo mbalimbali kwa njia ya tehama mfano tume ya sayansi na teknolojia COSTECH, vyuo km DIT, na mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA, vyote hivi kwa pamoja na wadau wa sayansi na teknolojia...
  9. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinana, Kama uchaguzi sio tume, basi wapinzani wapewe nafasi ya kuunda tume ya uchaguzi

    Tumemsikia Kinana akisema uchaguzi sio tume, na kwamba hoja ya wapinzani kulilia tume huru haina mashiko. Kama Kinana na CCM wanaamini hivyo, embu wajaribu kuwapa fursa wapinzani kipindi hiki waunde tume ya uchaguzi. Kama watakuwa tayari kwa hili tutaamini kauli ya Kinana kuwa uchaguzi sio...
  10. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Tume ya Taifa ya Uchaguzi haina maisha marefu, itavunjwa kabla ya 2030

    Hili ni bandiko la utabiri, Hii tume haina maisha marefu, serikali itaibomoa kabla ya mwaka 2030. Ujio wa NIDA umeleta changamoto kwa NEC sababu kitambulisho cha mpiga kura hakina matumizi mengine ya muhimu tofauti na kupiga kura, lakini NIDA ndio habari ya mjini yaani ni kama maji lazima...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema na CCM msituhamishie kwenye Muungano Tunahitaji Tume huru ya Uchaguzi

    Hayo malumbano yamekaa kimarekani mmetutoa Ukrane mkatupeleka gaza na sasa mnatuelkeza Iran. Muungano uwepo usiwepo tunahitaji tume huru ya Uchaguzi,mmetutoa kwenye Katiba mkatupeleka kwenye bandari sasa dira inaonyesha mnatupekecha kwenye Muungano. Uchaguzi umebakia miezi tu ,hatuoni fununu...
  12. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Raymond Mndolwa: Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeajiri Watumishi 320 kwa ajili ya kusimamia miradi ya umwagiliaji Nchini

    Mkurugenzi Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Bw, Raymond Mndolwa amesema miradi mingi ya Umwagiliaji inatekelezwa kwa kipindi cha miezi 18, hivyo kukamilika kwa ujenzi na ukarabati wa skimu zinazoendelea kujengwa katika kipindi cha mwaka 2022/2023 – 2023/2024 kutaongeza eneo la Umwagiliaji...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu-proactiveness mbona zero? Au tunasubiri maafa tuunde tume na team za misiba?

    Fungua attachment 1 na 2 chini. Hilo ni daraja kuu Mwanza, uhuru kwa chini. Ukipita juu ya daraja limeshaanza kumomonyoka picha namba moja. Ukikaribia kulia utaona daraja kubwa hilo lote limejaa mchanga upande wa maji yanapoingilia kweye daraja (picha na 2), huo ni mchanga vimaji hivyo vinapita...
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Kila kukicha TANZANIA haikosi vituko. Tume ya madini tuambieni mtumishi jina kuanza na neno CPA, ni nini maana yake na kirefu chake ni nini. Mfano ni huu hapa👇wa watumishi wa Tume ya Madini. 1. CPA. William E. Mtinya Director, Corporate Services Department. 2. CPA. Elikana P. Buremo...
  16. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania Kifuatacho ni kubadilishiwa tu jina la Katiba

    Salaam, wazee wenzangu, Kwa akili ya Serkali na wanasiasa wa CCM ninaowaona kwa sasa na namna wanavyotuchukulia watanzania, tukiendelea kukomalia katiba mpya basi watatubadilishia tu jina na kuiita "KATIBA MPYA YA JAMHURI YA KUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 2024" Na kwa wingi wa Watanzania...
  17. Tindo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mubashara Clouds FM: Tundu Lissu, Zitto Kabwe wakichambua Tume Huru ya Uchaguzi

    Tundu Lissu yuko mubashara Clouds FM, akichambua kuhusu Tume hii ya uchaguzi. Atakuwepo hadi saa 3 asubuhi, wapo na Zitto Kabwe na Onesmo Ole Ngurumwa. Tusikilize uchambuzi makini.
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wakusanyaji na Wachakataji wa Taarifa Binafsi Tanzania watakiwa kuanza kujisajili kwenye Mfumo wa Tume

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imetangaza kuanza Usajili wa Wakusanyaji na Wachakataji wote wa Taarifa Binafsi nchini ambapo imetoa muda wa miezi 6 kuanzia leo Aprili 10, 2024 kwa wahusika kukamilisha zoezi hilo Watoa Huduma hizo wanapaswa kutekeleza wajibu huo kwa kufuata Kifungu Namba...
  19. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya jina la tume ya uchaguzi

  20. S

    JamiiForums Tanzania Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imezinduliwa, ianze na wale wanatumia taarifa za watu kwenye Vifungashio

    Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Mwaka 2022, ilianza kutumia rasmi Mei 01, 2023 na Tume inayosimamia Ulinzi wa Taaarifa Binafsi japo ilianza kufanya kazi tangu Mei 2023, imezinduliwa jana na Rais wa Samia Suluhu Hassan. Najua Tume ina kazi nyingi za kufanya hasa kwa wakati huu ambapo ndio...
Back
Top Bottom