Afrika Kusini wanafanyia kazi Matokeo ya Tume iliyochunguza Ufisadi. Tanzania tunaishia kwenye kuunda Tume tu

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Mashtaka 9 ya Jinai yakiwepo mawili ambayo Washtakiwa walikutwa na Hatia yalifunguliwa kwa ajili ya kupambana na Ufisadi ikiwa ni baada ya Rais Ramaphosa kuwasilisha Mapendekezo Bungeni. Mashtaka hayo yamehusisha Watu 47 na Kampuni 21

Oktoba 2022, Rais Ramaphosa aliwasilisha Bungeni Mapendekezo 202 (38 yamefanyiwa kazi hadi sasa) ya kupambana na Ufisadi unaosababishwa na 'Kutekwa' kwa Serikali na Matumizi mabaya ya Mamlaka

Juni 2022, Tume ya Kupambana na 'Kutekwa' kwa Serikali (State Capture) ilimkabidhi Rais Matokeo na Mapendekezo ya ripoti ya Uchunguzi uliofanywa kwa miaka minne

Uchunguzi ulisikiliza zaidi ya Mashahidi 300 kwa siku 429 za Vikao vya hadhara, kuzingatia Kurasa milioni 1.7 na zaidi ya 'gigabytes' Milioni 1 za ushahidi wa maandishi

Mwisho wa Uchunguzi Tume ilipata Ushahidi wa wazi wa 'Kutekwa' kwa Serikali na Matumizi mabaya ya Mamlaka huku Watu na Mashirika 1,438 yakihusishwa
====

The State Capture Commission of Inquiry was established in 2018 following recommendations from the Public Protector and handed its final report to the President in June 2022.

The report was the culmination of four years of investigation and found clear evidence of state capture and abuse of power, making several recommendations to the government. Three months later, the President tabled a response to parliament in October 2022, opening a new chapter in our struggle against corruption.

The commission, led by now Chief Justice Raymond Zondo, heard over 300 witnesses in 429 days of public hearings and considered 1.7 million pages and over 1 million gigabytes of documentary evidence and information. The commission found clear evidence of state capture and abuse of power implicating 1 438 individuals and entities.

It concluded that ‘this was facilitated by a deliberate effort to exploit or weaken key state institutions and public entities, but also including law enforcement institutions and the intelligence services.’

To date 19.7% (38) of these recommendations have resulted in criminal cases being prosecuted in nine (9) separate court cases, with two (2) cases finalised with guilty verdicts. These cases involve 47 individuals and 21 companies. The remaining 80% of the criminal recommendations from the Commission are still under investigation

1701686714946.png
 
Back
Top Bottom