TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.
Mkataba ulikua wa miaka 3. Uliishia ile tarehe 31 mwezi wa 8 Leo napigiwa simu na mwajiri kua haongezi tena.. Hii ni mara baada ya kuingiza mshahara wa mwisho. Nilimuuliza kwa iyo kazi ndo imeisha anajibu kua.. hajui.
Sio mtaalamu sana wa sheria, hivi utaratibu alioutumia ni sahihi? Kwisha...
Wakuu, habari za mchana huu.
Kuna changamoto naona inazidi kushamiri kwenye mitaa yetu mingi hapa Dar es Salaam, nayo ni tabia ya baadhi ya watu kuchoma moto taka katikati ya makazi ya watu. Lugha ya mtaani wengi wanasema "kusoma matakataka."
Kimsingi, jambo hili limekuwa likisababisha moshi...
Mara ooh! Hili shati siyo zuri, nyambafu! Kama kwako siyo zuri kwangu ni zuri.
Mwingine ooh! Usipige nyeto maana siyo tamu! Kama kwako siyo tamu funga bakuli!
Ukumanyoko wala si dili! 😎
Wengi wa waliotekwa na wanaotekwa ni vijana wa umri tofauti walioowa na ambao hawajaoa.
Kwenye serikali ya awamu hii, vilio vinasikika kila kona ya Tanganyanyika kwasababu zisizoeleweka watu wanachuuuliwa kama mwewe anavyonyakua vifaranga vya kuku. Hakuna wakuwasemea wala kuwatetea. Imefika...
Eti kwamba kama Rais Magufuli ni jasiri au la? Ni Jasiri. Nakiri Ujasiri hu sina.Muungwana hukiri asichokuwa nacho na kumkubali mwenye nacho.Kwanza ule ujasiri wa kupingana na risala ya Marehemu msibani ulikua ni uthibitisho.
-Ujasiri wa kutamka ukweli kuhusu fisadi aliyekua akiibia nchi kila...
Je,
utachangia bila kujulishwa ile tone tone ya milioni mia 334 iliishaje, zilikusanywa kiasi gani cha pesa na zimeishaje?
Unadhani ni kwanini tangu kuanzishwa kwa kampeni za chadema za kuchangisha pesa kwa tone tone, hakuna hata kampeni moja iliyowahi kufanikiwa na kutimiza lengo,
unadhani...
Naomba majibu tafadhali na mtuambie watu wa mikoani imekuwaje kuwaje mpaka kumpa nafasi kubwa namna hiyo mpaka Rais analalamika mji wenu ni mchafu mpaka aibu.
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Zamani stand ilikuwa kisutu. Palipokuwa mjini sana wakapeleka Ubungo kijijini. Ubungo palivyochangamka, wakapeleka Mbezi kwa Magufuli. Mbezi kwa Magufuli kukichangamka kama Kisutu na Ubungo, watahamishia wapi?? Mile Moja Kibaha?? Na hapo pakichangamka na kuwa mjini...
Ndugu yangu na rafiki yangu, Comrade Malisa GJ [@malisa_g], ametekwa na Jeshi la Polisi Tanzania karibu na Namanga, Arusha, Tanzania, jioni hii.
Hili ni tukio linalotia wasiwasi mkubwa!!
Mwachieni Malisa GJ sasa hivi!!
Kwa miaka mingi serikali kuanzia za Mkapa hadi Samia zilikuwa zinasumbuana na Tundu Lissu, kwa kumkamata na wakati mwingine kumshitaki kwa tuhuma mbalimbali na baadae kumuachia.
Kitendo cha kufika kumkamata na kumshitaki kwa kesi ya Uhaini ambayo ni kesi kubwa zaidi katika Katiba ya JMT...
1-Vijijini na hata mijini bado kuna watu hata hawajui kama nafasi ya makamu wa rais imefanyiwa mabadaliko
2-bora hata wazee na miranial wengi wao wanajua kuhusu hizi habari
.....utafiti usio kuwa rasmi umeonyesha Gen z ndo kabisa hawajui kinachoondelea wao wanasema bora liende hao viongozi...
jambo wadau wote wa Jf
-Awali ya yote niwape pole na mapambano ya kimaisha na kiujumla nawapa pole kwa maumivu ambayo tunaletewa na serikali hii ya kishenzi ya samua suluhu.
note:sio mwandishi mzuri
Nirudi kwenye maada ni kwamba mimi ni kijana wa makamo around 26s hivi,nimepitia vipindi...
Sheba wa Igangu ni mpuuzi sana anapendekeza Balozi mkubwa aliwe kichwa kama mdogo alivyouwawa? Yuko Malawi wamamtia kufuli.
Mapendekezo ni Mawili kuwa Afungwe au awe apigwe kufuli kwake! Cha Kushangaza hata mke wake ameshindwa kuonana naye ameoanana na mwakilishi Mmoja tu Wa ndugu. Account zake...
Kwa haraka haraka nadhani wamejikita kuangalia asili ya mtu na si tabia zake.
Serikali ya sasa ingehitaji makamu chawa hasa.
Ndejembi ni mtu social , sikuwaahi kumuona kwenye press za kichawa mbali na teuzi aliyokuwa nayo.
Na kumpa nafasi ya umakamu ni kumuongezea exposure kwa watu na pressure...
Nia nzuri ya CCM kutaka kuondoa kiu ya waliokuwa wanashinikiza na kuanikiza katiba mpya inaenda kuondoka rasmi.
CCM kupitia Rais Kikwete ilijaribu mchakato wa kuhuisha Katiba lakini ilishindikana kutokana na mgogoro na tamaa za wanasiasa.
Miaka mingi baadaye CCM kupitia Rais Samia ikachukua...
Ni muda gani unauchukua kujibu baada ya kuusoma au kusubiri majibu kutoka kwa mtu ambaye umemtumia ujumbe mfupi wa maneno (message)? Kwa upande wa mwigizaji Nia Long wa Marekani yeye aliwahi kusema kuwa akimtumia mtu ujumbe alafu ukachukua siku zima kujibiwa hatazungumza na huyo mtu tena kwa...
“A cornered animal is the most dangerous.”
Tangu Oktoba 29, 2025, Bi Kobe amekuwa akiishi katika hali ya mashaka na hofu kubwa. Chuki inayoongezeka miongoni mwa wananchi dhidi ya serikali yake, uwezekano wa mashitaka ya kimataifa, vikwazo na mashinikizo kutoka kila kona ya dunia—vyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.