TBC1 kulikoni Channel yenu haionekani tena Dstv?

TBC1 kulikoni Channel yenu haionekani tena Dstv?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,613
Reaction score
127,995
Ilikuwa ikionekana kupitia namba 290, ila sasa ni Wiki ya Pili haionekani tena na sijui tatizo ni nini.

Wazalendo wa Kweli wa Tanzania tuliopo nje ya mipaka yetu huwa tunapenda Kuifuatilia.

Tafadhali Watu wa TBC1 ambao najua wengi mpo hapa tafadhali njooni na majibu murua.
 
Wameihamishia 143..
Nadhan wameongeza channel zingine,Mkuu jarbu ku-update channel au re-install channel
i'm sure u'll be fine..
 
Kwa kawaida huwa siangalii hiyo chanel hivyo huwa sijui kama ipo au la. Ila baada ya kuona hii hoja yako ikabidi niitizame ili kuthibitisha kama ipo au la. Nimeicheki, ipo.
 
Wameihamishia 143..
Nadhan wameongeza channel zingine,Mkuu jarbu ku-update channel au re-install channel
i'm sure u'll be fine..
Unafaidika nini kuwa Muongo? Kwani ungenyamaza tu ingekuwaje? TBC1 hata katika hii channel yako tajwa hapa ya 143 haipatikani.
 
Back
Top Bottom