KERO Wakazi Kimara Temboni (Mtakuja) tuna changamoto ya upatikanaji wa Maji. Yapata wiki ya tatu sasa hatuna maji

KERO Wakazi Kimara Temboni (Mtakuja) tuna changamoto ya upatikanaji wa Maji. Yapata wiki ya tatu sasa hatuna maji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

John Kishiwa

New Member
Joined
Jun 8, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Wakazi wa Eneo la Kimara Temboni mtakuja Tunapata shida ya Maji yapata sasa ni week ya tatu Maji hatuna .Ratiba ilikuwa kila jumamosi tena wanatoa Maji kuanzia saa kumi usiku na ikifika saa kumi na mbili maji yanakatika .

Watu wanateseka sana.

Tunaomba mamlaka husika itufikirie sisi wakazi wa kimara Temboni Mtakuja
 
Back
Top Bottom