Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,600
- 4,481
Imekuwaje Recho kawa Mpinzani ? tena !
Recho yupi huyo mkuu?Imekuwaje Recho kawa Mpinzani ? tena !
Recho wa wapi huyo? Au ni huyu Recho Shekidee, mama ntilie wa hapa mtaani kwetu?Imekuwaje Recho kawa Mpinzani ? tena !
Tatizo ni shule! Hana hata kidato kimoja.Yuko kwenye siku zake
Atakuwa demu wake adriz de mbusiiRecho yupi huyo mkuu?
NakaziaYuko kwenye siku zake
Wee nyau una kazia nini?Nakazia
Dogo umepotelea wapi?Nakazia
Kafika Bei?Recho Dangwa
Damnit 😁I can see vile fan hit the shit all over.....🤣View attachment 3622524
Sijawahi kumwelewa huyo mdadaYuko kwenye siku zake