Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 42,480
- 35,199
Ni nini kumetokea, hata wachangiaji kuacha kutoa pesa zao kuichangia chadema?
Je,
achangiaji wameshtukia wizi au utapeli wa pesa zao mchana kweupe? au kuna mapumziko ya kuomba kuchangiwa pesa?
Hata wafuata mkumbo viherehere humu jukwaani, hawaelezi tena ikiwa pesa zimechangwa wapi, na ni kisasi gani kimepatikana kama walivyokua wakitangaza awali, tena kwa mbwembwe kweli.
Ni nini mbaya imetokea aise?
Kama mdau wa siasa jukwaani, Unadhani ni kimewafanya wanachadema kusita kuchangia pesa kwaajili ya chama chao?🐒
Mungu Ibariki Tanzaniani