TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.
Huu ni ushauri wangu kwa serikali,
Yanayoendelea mahakamani ni aibu aibu aibu aibu, Tundu Lissu anawavua chupi mawakili wa serikali mchana kweupe.
Ni aibu mh rais wateule wawe majaji tusiwe tunawaona mara kwa mara ni aibu
Jana nikiwa kwenye bajaj niliwasikia Watu wazima wawili wakiongea na aliyekuwa akiendesha bajaj hiyo ambaye bado ni kijana mdogo, maongezi yaliianzia baada ya dereva bajaj kumaliza kumshusha abiria na kuanza kumuomba namba, kisha alipokaa bajaj akasema mtu mwenye mbaya kuliko mwanamke wangu ila...
Shirikisho la Soka Kenya (FKF) limeahirisha tena kuanza kwa msimu wa 2026/27 wa FKF Premier League, ambao ulikuwa uanze leo Jumamosi, Septemba 19, 2026.
FKF iliwasilisha taarifa kwa wenyeviti na maafisa wakuu wa vilabu Ijumaa usiku, ikisema ligi imesitishwa hadi taarifa zaidi itakapotolewa...
Humu kuna wahenga wa JF katika majukwaa mbali mbali yani kila uzi wachangiaji ni wao na kazi yao kubwa ni kuji-update kwa kubadili Id's lakini wapo humu JF toka inaitwa jambo forum huko
Hao ndio huifanya jamii forum kuwa forum iliyochangamka hasa majukwaa ya siasa, mahusiano, michezo, chitchat...
Mnamo mwezi Jan 2026 nilisema namna Mh Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dr Hussein Ally Mwinyi anvyokonga nyoyo za wazanzibar kwa kuwaletea maendeleo endelevu kisiwani humo.
Nilisema pia haya Mwaka mmoja bada ya kuchaguliwa Mwaka 2021.
Kwa mtu ambaye naifahamu Zanzibar kabla ya Uongozi...
Jana Mahakama ilisema CDF yupo nje lakini kuna tetesi yupo.
Najiuliza, mahakama ni sehemu ya kutoa haki ukiidanganya mahakama unaweza kufungwa, inapotokea mahakama yenyewe ndiyo imedanganya itakuwaje.
Wahouthi wa Yemen wajaribu kushambulia mji wa Makka nchini Saudi Arabia kwa mara ya pili.
Mzozo unaoonekana kati ya mataifa au makundi ya Kiislamu Mashariki ya Kati, hususan uhasama kati ya Saudi Arabia na makundi kama Wahouthi wa Yemen au madhehebu ya Shia, hausababishwi na chuki za kidini...
Kama kawaida yake, katika nyakati usizomtegemea, huku akiwa amefungiwa mitandao yake ya jamii, lakini sauti yake iliyao nyikani imeweza kupenya na kuwafikia watanzania juu ya uhuni wa kisiasa unaoendelea nchini. Dada wa Taifa kama kawaida yake amelinusuru taifa dhidi ya wahuni wa kisiasa nchini...
Nilitegemea madini" on the law regarding treason indictment. Lakini sivyo, ni KITCHEN PARTY ya akina mama wakiwa jikoni kuchambua mchele wa ndoa ya mkeka!
nilitegemea kusikia arguments kuhusu hoja kama hizi
ndictment for treason:
1. An act has been committed
2.The act is treasonable
3. The...
Wakati wa vita vya tariffs vilivyoanzishwa na Trump dhidi ya China mwaka 2024, baadhi ya kampuni zilihamisha uzalishaji China na kwenda mataifa kama Vietnam, Indonesia na India.
Hatimaye wamegundua kuwa Trump aliwapeleka chaka wamelazimika kurudi tena China.
Companies left China to dodge...
Yale ya juzi tuliongea na tukayamaliza baada ya kuzingatia ushauri wenu.
Sasa leo huyu mchudenga wangu amekuja na kubwa akisema kwamba..... anashida kubwa na mimi.
Mie nikamjibu kwa upole na ustaarabu kabisa kwamba.... kama anashida na mimi, aweke kwenye whatsap status na shida itakwisha na...
Mwanajamii forum leo anaacha ndala na mbususu hapati.
Mmezidi kuja pm kutongoza, sasa nampa somo hatarudia tena.
Nimempiga bili za maana hadi huruma😅😅 .kivyovyote vile namuona kabisa anajuta kunifahamu, mi nachekea tumboni tu hapa, lazima akasimulie kubabake😅😅😅
Nakutana na changamoto kwenye email address yangu ya yahoo. Kila nikijaribu ku-recover naishia pale inaponitaka kuweka namba yangu ya simu, badala ya kunitumia code namba inasema "something went wrong".
Naomba msaada kwa Mtaalamu wa haya mambo.
Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu:
Rais Trump alitangaza jana kwamba Iran inajaribu kujihami tena kwa silaha za nyuklia. Hiyo ni kweli.
Baada ya kuharibu uwezo wake wa moja kwa moja wa kutengeneza mabomu ya nyuklia, wanajaribu tena.
Ninawaahidi hapa, kwenye Ukuta wa Magharibi, mbele...
Mfano unapoteza kazi,madeni,huna hata mia mbovu,unahit rock bottom huku una wategemezi
Na pengine unaingia kwenye ulevi ama uraibu wa madawa unageuka teja
Kiasi kwamba ukiangalia Hadi kuinuka Tena kurudi kwenye mafanikio ni safari ndefu ngumu
Lakini Cha kishangaza umesonga mbele na kuinuka Tena...
Je, mbona watu wakichapiwa wake zao wanawafanya mbaya wanaume wenzao?
Mbona sisi binadamu tumejipa uspesho sana tofauti na wanyama?
Kama jogoo lisivyochagua wala kudhani jike linamilikiwa na dume fulani.. Mbona mimi nikimchapa mke wa mtu yeye aje kunilalamikia mimi?
Inamaana hajui kuwa jike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.