TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.
Kwa Nini CCM imefika mwisho.
Haitavuka 2030.
Ongezeko kubwa la wanawake kua wapigania haki wakubwa hapa Tanzania.
Ni kawaida wanaume kwa miaka mingi ulimwenguni ndio wamekua wapigania haki kwa jasho na damu.
Zama zimebadilika,wanawake wamejiunga kwa wingi katika harakati za kudai haki,kwa...
Licha Ya Kupigana Na Mfungwa Mwenzake Gerezani Hivi Karibuni, Lakini Rapa Sean 'Diddy' Combs Amepunguziwa Kifungo Kwa Mara Nyingine Tena. Kwa Sasa Diddy Ataachiwa Huru January 24, 2028.
Diddy Awali Alitarajia Kuachiwa Huru - June 2028 Ikaja April 2028, Kisha Februari 2028 Na Sasa Ataachiwa Huru...
Nina hoja kuhusu baadhi ya daladala zinazofanya safari kati ya Mwenge na Bunju, hasa nyakati za jioni. Kuna baadhi ya magari ambayo yamekuwa na utaratibu wa kuwatangazia abiria kuwa yanaishia Tegeta, hivyo abiria wanaosafiri hadi Tegeta hushuka hapo.
Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga...
Nakumbuka miaka ya nyuma mahubiri kuhusu Mpinga Kristo, alama ya mnyama (666) na kitabu cha Ufunuo yalikuwa kawaida sana kuyasikia kuanzia makanisa ya kilokole vijijini huko hadi yale makubwa ya akina askofu Mwakatage na Mwenisongole mijini huku!
Kila baada ya muda ungeyasikia madhabahuni.
Leo...
Kwa mda mrefu nimeishi katika maisha ya kuunga unga sana chumba kimoja zile nyumba za kupanga za mabehewa ya train yaani mnakuta milango yote imejipanga ivi kama mabehewa.
Ilikuwa ngum kuleta demu maana palijaa wa mama wa kiswahili wanapikia nje muda wote kelele uwezi letq demu usiwape mada ya...
Hata kama ni pesa. Hii ni zaidi ya kujidhalilisha
https://vm.tiktok.com/ZSXgdE7Jw/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
KAFULILA: DUNIA IMEJAA MADENI UBIA NDIO SULUHISHO
Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, David Kafulila, akizungumza katika mhadhara wa umma Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), alisema kuwa ajenda ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi siyo ya Tanzania pekee, bali ni mwenendo wa dunia kwa sasa...
Hii nchi sijui tunaelekea wapi.Vifaa vya tehama mpaka mnasaidiwa au maigizo.
----------------
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea vifaa vya kisasa vya Chumba cha Kanzi Data, vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), pamoja na miundombinu iliyoboreshwa ya...
Hizi ni ishara tosha kwamba hela ya Tanzania imepoteza thamani yake rasmi.Bwana siku hizi, mtaani na kwenye mitandao ya kijamii kumezuka tabia ya Watanzania kutrendisha mambo yasiyo na manufaa yoyote kama kawaida ya wabongo. Watu wanachezea minoti ya shilingi kumi kumi kama wamevurugwa hivi...
Nmeona sehemu kadhaa watu wakifurahia na kunywa pombe toka asubuhi wakifurahia na kuchekelea kwa yule jamaa mbabe wa JF kufungiwa. Kwa kweli kumekuwa na utulivu kwa baadhi ya watu huku wengine wakifanya sherehe .
Mod uliyefanya hivyo weka namba yako ya simu hapa yufanye tone tone. Chizi Maarifa...
Kuna jamaa yangu kanisumilia kisa ambacho nimeanza kufikiria hizi tabia za watu wa mikopo. Jamaa alipata changamoto kwenye biashara zake.
Muda wa kupata pesa kuziba changamoto ulikuwa mdogo sana ikabidi kwenda kwa hawa wenye kukopesha haraka ukiweka mali.
Jamaa akaweka nyumba bond na kupewa...
Siiweki picha yake ni mtu maarufu mtamsumbua, kaja leo amataka akae weekend Mzima wakati nina ratiba Nyingine kesho
Mpaka week inaisha itakuwa Powa
Ila sijui wanataka nini hadi nimechoka ,
Ebu acheni
Una enjoy luxury ya kucheka na moyo umetulia.
Kupost JF kwa mbwembwe maana moyo wako sio mzito
Kuna mtu anaamka anapokelewa na machungu, hajanywa chai simu tatu za kukumbushia madeni, wife ndio huyo anakuambia watoto nguo zinawabana.
Sio kwamba haukujipanga ila ni basi katika...
Wakuu !
Wasalaam
Meme hio Meme inavosomeka inanifanya nikumbuke mjadala unaoendelea kuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. John Heche.
Katika sayansi ya siasa kuna dhana inaitwa Political Trust na Human Capital. Kiongozi anapofikia hatua ambayo wananchi wanaendelea kumuamini hata katikati...
Na mkirudia tena, basi ingalau jaribuni kufuata mwongozo ufuatao mnapoandaa filamu yenu;
1. Kama kuna pesa za tonetone amepokea kupitia Bank Account yake binafsi, na kwa kuwa mna access na Bank Account binafsi ya mtu, basi filamu yenu ieleze na kuonesha waziwazi haya👇
✓Ni Bank Account Number...
chadema
filamu
haya
heche
john
john heche
katika
makamu
makamu mwenyekiti
makamu mwenyekiti chadema
mwenyekiti
mwenyekiti chadema
studio
tanganyika
tena
upya
For Promo only. https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=WFtATkgwuApVX0J3
Taji Liundi ndio binadamu wa kwanza Tanzania kumpigania Civilian-Coin zamani alijiita "Masqo" baadae "Don NALIMISON" na Sasa "CIVILIAN-COIN( Civilian-Coin Nalimi Kisandu). Mwaka 2004 Civilian-Coin alirekodi wimbo "Usiunyanyapae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.