Sitokaa nihudhurie tena kwenye harusi ya dada au ndugu wa karibu upande wa kike

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,245
Reaction score
28,727
Nineumia sana kuona dadangu anashikwa shikwa trako na kuchezewa mbele yetu ma kaka na wazazi ukumbini kisa wanacheza mziki wa bluez. Japo dada yetu katuheshimisha kutuletea shemela lakini binafsi nimeumia.

Yaani baada ya kula na kunywa tukiwa ukumbini kuna mda kukawa hakuna shamra shamra yoyote ni mziki na milio ya bia kufunuliwa inasikika ndio mbele pale bibi na bwana harusi kipindi chao cha kuonyesha mbwembwe zao wakicheza huku wamekumbatiana ndio jamaa akawa sasa anapapasa papasa kila sehemu huku sisi ndugu na wazazi tukishughudiq.

Sitokaa nihudhurie tena harusi ya hii ni dharau kabisa.
 
Nineumia sana kuona dadangu anashikwa shikwa trako na kuchezewa mbele yetu ma kaka na wazazi ukumbini kisa wanacheza mziki wa bluez,
Japo dada yetu katuheshimisha kutuletea shemela lakini binafsi nimeumia.

Yaani baada ya kula na kunya tukiwa ukumbini kuna mda kukawa hakuna shamra shamra yoyote ni mziki na milio ya bia kufunuliwa inasikika ndio mbele pale bibi na bwana harusi kipindi chao cha kuonyesha mbwembwe zao wakicheza huku wamekumbatiana ndio jamaa akawa sasa anapapasa papasa kila sehemu huku sisi ndugu na wazazi tukishughudiq .

Kula na kunya?
Kuhusu dada kushikwa na wewe kuona vibaya,kumbuka mwenye dada hakosi shemeji
 
Nineumia sana kuona dadangu anashikwa shikwa trako na kuchezewa mbele yetu ma kaka na wazazi ukumbini kisa wanacheza mziki wa bluez,
Japo dada yetu katuheshimisha kutuletea shemela lakini binafsi nimeumia.

Yaani baada ya kula na kunya tukiwa ukumbini kuna mda kukawa hakuna shamra shamra yoyote ni mziki na milio ya bia kufunuliwa inasikika ndio mbele pale bibi na bwana harusi kipindi chao cha kuonyesha mbwembwe zao wakicheza huku wamekumbatiana ndio jamaa akawa sasa anapapasa papasa kila sehemu huku sisi ndugu na wazazi tukishughudiq .
Sitokaa nihudhurie tena harusi ya hii ni dharau kabisa.

Wanawake huwa mnaoneana wivu sana hapo ulitamani uwe unashikwa shikwa wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom