Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 42,563
- 35,263
Wengi hawakuamini masuala ya uwepo wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, na mamluki wao, waliojificha ndani ya miongoni mwa vyama vya siasa nchini, wakiwa na nia na dhamira ovu dhidi ya taifa letu.
Lakini sasa ni wazi maadui wa taifa letu,
wamejidhirisha wenyewe mbele ya waTanzania na dunia nzima. Huenda ni athari za kufuata mkumbo zimewatia joto na kushindwa kuvumilia vishindo vyake, na hatimae wasiweze kuendelea kujificha nyuma ya pazia la kisiasa na demokrasia nchini, kumbe wana dhamira ovu walizotumwa na wanaowafadhili wao kuzifanya Tanzania.
Chama Cha siasa kinachowapa hifadhi waovu na maadui wa taifa letu, nacho pia kimejulikana na uovu wake unaonekana. Tunayo kazi moja tu kama taifa. Nayo ni kukikataa chama hicho na kuwakataa wale wote watakaofadhiliwa na chama hicho kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa nchini.
Hawana nia njema na taifa letu. Wanataka kuiuza nchi yetu na uhuru wetu kwa mabwenyenye ya magharibi. Tusikubali kufuru hiyo kama taifa.
Nadhani sasa, kazi ya kuwakataa ni nyepesi, itakua rahisi zaidi, hususani kwenye sanduku la kura kwenye chaguzi zijazo. Na hii kwa wazalendo wa Tanzania, inaashiria wazi kabisa kwamba, come 2030 general elections, 100% win is possible.
we beat them nationally, and we finally beaten them internationally.🐒
Mungu Ibariki Tanzania.