tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aahm

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme Mtwara tupewe Taarifa

    Kwa muda wa miezi kadhaa sasa pamekuwa na ukatikaji wa Umeme kwenye baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mtwara kama vile Mikindani, Msijute mpk Mpapura, wananchi hawaelewi tatizo ni nini, kwa siku Umeme unakatika zaidi ya Mara 6,Mh Waziri tunaomba msaada wako,isitoshe gesi inazalishwa hapa hapa
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Namna matumizi ya simu au Kompyuta yanavyosababisha tatizo la uoni hafifu

    Daktari bingwa wa magonjwa ya macho kutoka Hospitali ya CCBRT, Dar es Salaam, Cprian Ntomoka amesema kuwa matumizi ya vifaa vyenye mwanga mkali kama simu na kompyuta yanaweza kusababisha tatizo la uoni hafifu au hata upofu wa muda. Dk. Ntomoka ambaye pia ni Mkuu wa Kitengo cha Macho katika...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano. Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya...
  4. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania Rangi yake Sadio Mane ndiyo iliyomkosesha Ballondoir

    Ballondoir ya mwaka huu imekuwa ya utata sana kama zilivyokuwa nyingine za miaka ya karibuni. Mshindi wa Ballondoir wa mwaka 2019( Lionel Messi) naye ameshindwa kukaa kimya na kukiri kuwa Mchezaji Sadio Mane alistahili tunzo hiyo. Messi alizungumza hayo alipohojiwa na gazeti la Marca baada ya...
  5. pinno

    JamiiForums Tanzania Diamond/WCB, tuzo za muziki na tatizo la Watanzania kuridhika mapema

    Takribani mwezi au wiki mbili tatu mfululizo, Clouds Fm wamekuwa wakiendesha mjadala redioni unaoangazia mambo kadha wa kadha ya game ya muziki wa Bongo Fleva, tangu kuasisiwa kwake. Mijadala hii, iliyopewa jina la Bongo Fleva Round table, inayofanyika jumamosi kwenye kipindi cha Bongo Fleva...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mimba kwa wanafunzi Tanzania nini kifanyike?

    Habari za asubuhi wadau! Leo nilikuwa nasikiliza radio nikiwa kwenye daladala kwa kweli takwimu za wanafunzi wanaopata mimba ni kubwa sana. Huko mkoani Mwanza hali inaonekana ni mbaya zaidi. Kwa kweli takwimu inawezekana ni kubwa zaidi kwa sababu maeneo mengine ya nchi haya mambo hayaripotiwi...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

    Frederick Sumaye ameita waandishi wa habari leo Jumatano Desemba 4, 2019. Sumaye ameitisha mkutano huo siku chache baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani. Licha ya kuwa mgombea pekee, alipigiwa kura 48 za hapana kati ya kura 76. Kulingana na taratibu za chama hicho...
  8. Cvez

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo Chadema hilo lazima tukubali

    Sijawahi kuipenda CCM toka nimepata uelewa wa vitu. Mwanzoni kabisa nilikua naipenda CUF, ila katika miaka ya 2005-2010 siasa za Zitto pamoja na Dk. Slaa zilinivutia sana eventually nikajikuta nasupport CHADEMA. Miaka kadhaa ikapita Zitto akafukuzwa chama kwa maneno mengi sana kama in sellout na...
  9. Kitondo

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada. Hapa tatizo ni nini?

    Natumia Exim Bank Pre paid Card, kwa kazi hasa ya kuhamisha pesa (top up )kutoka bank kwenda account yangu ya Scrkll ili nitume nje in USD. Lakini cha ajabu katika hatua ya mwisho tu pale kwenye kutuma naambiwa transaction failled.There has been an error in proccessing your request. Cha ajabu...
  10. zema21

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri Inafahamika kuwa ukosefu wa ajira ni tatizo si kwa Tanzania tu bali hata kwa nchi zilizoendelea kama Marekani. Kwa hapa Tanzania limekuwa si tatizo bali ni janga kubwa ambalo hakuna anayelitafutia ufumbuzi wala kulitupia macho. Itakumbukwa kuwa siku za nyuma...
  11. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Mdhamini: Tundu Lissu ameshapona, anashindwa kurejea nchini akihofia usalama wake

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imeelezwa kuwa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameshapona ila anashindwa kurudi nchini kwa kile alichokidai ni kuhofia usalama wake. Hayo yameelezwa leo Novemba 21,2019 na Mdhamini wa Lissu, Ibrahim Ahmed, alipokuwa akiieleza...
  12. Mavipunda

    JamiiForums Tanzania Hili tatizo la RUSHWA kwenye ofisi za NIDA wahusika wanajua?

    Kuna kudaiwa rushwa kulikovuka mipaka katika hili zoezi la vitambulisho vya taifa, Hali imekuwa mbaya zaidi baada ya vitambulisho hivyo kutumika kusajili simu ambapo mwisho ni Desemba mwaka huu. Yalinikuta binafsi ila nikaamua niachane na kitambulisho na line nimesajili kwa kitambulisho cha...
  13. Dogo Lao

    JamiiForums Tanzania Najua, tunao wasomi wengi sana, lakini ukweli ni kwamba idadi yao ni ndogo

    Ndugu wana Jf, Asalamu aleykum, Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu asifiwe. Baada ya salaam, nianze kwa kusema "ashikhum siyo matusi". Najua, tunao wasomi wengi sana, lakini ukweli ni kwamba idadi yao ni ndogo sana ukilinganisha na vilaza waliojaa. Mbaya zaidi, vilaza hao ndio waliopewa dhamana...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Habari za saiz ,nimekua nikisumbuliwa na tatizo la kushindwa kucheua pamoja na maumiv makali ya kichwa na mwili kwa ujumla haswa haswa mgongo upande wa kulia na kushoto ,na mara nyingi imekua kama nakabwa baada ya kula chakula ,hospitali niliambiwa ni acid imejaa tumboni na nilipewa omeprozole...
  15. C

    JamiiForums Tanzania HESLB mkimaliza kuwaumbua wadaiwa sugu Jumatato ijayo, muwaumbue pia na wale wanaofanya tatizo la ajira kuongezeka nchini

    Nichukue fursa hii adhimu kabisa kuwapongezeni watu wazima ambao ni Watendaji wa Bodi ya Mikopo nchini ( HESLB ) kwa kuweza kupoteza muda wenu mwingi, kujadiliana, kuchanganya fikra zenu hadi baadae mkaja na maamuzi ambayo Kwenu mmeona yana Tija ya kuwaumbua wadaiwa sugu wa mikopo na kuweka...
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kupunguza tatizo la ajira serikali iruhusu huduma ya kupokea pesa kupitia PayPal

    Tanzania kumekuwa na tatizo kubwa la ajira. Njia moja ya kuondoa hilo tatizo ni kwa watu kutafuta kazi za kufanya online, yaani mitandaoni. Kazi zipo nyingi. Mfano, waweza pata kazi ya kutafsiri website ya kampuni au mtu kwa Kiswahili au kutafsiri kitabu. Unafanya online malipo yanakuwa kwa njia...
  17. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Ndugu WanaJF, Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa picha na ubunifu wa vipindi. Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kunyamazisha watu wanaokusema eti kisa ''gari lako chafu''

    Umeshawahi kusemwa (au kuchekwa) na watu eti kisa ''gari lako chafu?'' Unawajua hawa watu. Wanapenda sana kufuatilia mambo hayawahusu. Wasione kitu na wanaanza kukosoa. Hawajui unapitia changamoto gani kimasha. Wanakosoa bila kuelewa. Je, ungependa ''kuwanyamazisha'' hawa watu wenye tabia ya...
  19. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nachelewa sana kufika kileleni. Je, hili ni tatizo?

    Mimi ndimi comrade. Hii mbanga imekaaje waseeee? Eeebbaaanaae! Mimi sielewi hii hali inaletwa na nini, yani wakati wa mbungi napiga sana shoo lakini unaweza kuta natumia dakika 45 mpaka lisaa limoja mpaka nikojoe. Duuuh! Hili si tatizo? Mbona naskia goli la kwanza linawahi? Maana mpaka...
  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tundu Lissu, hana Roadmap!

    Siungi mkono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa. Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine. Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine...
Back
Top Bottom