Napata maumivu nisipofanya mapenzi kwa muda mrefu

Gmox

JF-Expert Member
Mar 31, 2014
318
475
Salaam wana Jf

Naomba msaada jamani!

Nina umri wa 26, shida niliyo nayo napata maumivu makali sana nisipo fanya mapenz kwa muda mrefu.

Maumivu yanakuwa katika mirija inayotoa mbegu kutoka kwenye korodani ,kisha yanapanda na kunakua na viuvimbe flani wakati huo, hii ilinianza kabla ya kuoa na baada ya kuoa nikawa fresh, shida sasa nimeachana na mke wangu na maumivu yamerudi zaidi ya awali, nini tatizo?
 
Wabongo bwana, yaani hata afya zetu hatujali wakati Afya ndio mtaji namba moja wa binadamu....wewe unashindwa nini kwenda kufanya vipimo hospitali?

Huku JF huwezi pata majibu sahihi maana hakuna vipimo...zaidi sana utaambulia ushauri wa kufikirika tu na wengine wataishia kukudhihaki tu
 
Wabongo bwana,,yaani hata afya zetu hatujali wakati Afya ndio mtaji namba moja wa binadamu....wewe unashindwa nini kwenda kufanya vipimo hospitali?

Huku JF huwezi pata majibu sahihi maana hakuna vipimo...zaidi sana utaambulia ushauri wa kufikirika tu na wengine wataishia kukudhihaki tu

wakwanza wewe umemdhihaki tayari
(Wabongo bwana,,yaani hata afya zetu hatujali)

ila mm nakujuza majibu yapo na tiba sahihi zipo watu wengi wamepata suruhu ya matatizo ya kutoka JF docta
tena nakumbuka kuna miaka hiyo kulikuwa na madocta haswa wakitoa ushauri mbali mbali hapa
yote tisa watu walikuwa wanatoa shuhuda zao pia
kwa mfano mtu alikuwa anaumwa km hvyo mkuu anavyoumwa anatoa ushauri tiba alotumia km ni ya hosptari au tiba mbadala
hvyo mtu nawe unatafuta hizo tiba wengi wamesaidika kwa mtindo huo

ila watu km nyinyi ndo mnafanya JF doctor ipoteze viwango kwa majibu yasiyo na staha kwann usingekaa kimya km haujui chochote ukasubiri wajuzi wampatie ushauri
kwan yeye mjinga hosptari hapajui
unajua 7bu ya kuja kuomba ushauri
unajua sehemu alipo ni umbali gani mpk hosptari kubwa
au unajua kashaenda hosptari mara ngapi wakampa dawa tu hazijamsaidia ama

mkuu mtu akiomba ushauri wa kitiba mjibu kadri unavyofahamu kwa uzoefu wa hilo tatizo kuuguliwa au kuugua au utaalamu wa kidoctor nk kama hufahamu ni bora kaa kimya tu ujifunze kwa wenzako
 
tatizoo lako kuu unachakata K kwa hasira sana hasa raundi ya piri kwakuwa unakuwa na hasira na pesa zako ukizingatia ushamtumia nauri mara 2 hakuja.

siku kaja ushampiga chipsi kuku na bado kumtoa hapo sasa unakuwa unachakata K km vile huipati tena bwana
chakata K aghalabu mara 2 kwa wiki kwa ustawi wa AFYA

na ukiwa unachakata K piga mashine adoado mnatomnato km hutaki vile goli likija liachie sio ela uumpe lodge ulipie chakura ulipie akitaka alizishwe alipie na yeye so ukihisi goli linakuja liachie mwanangu.

na km unatumia CONDOM achana nayo tafuta mmoja mwaminifu mpime mnyanduane kavukavu na pia ukiwa unanyandua km kei inakuwa kavu paka mate mzee iwe mtelezo ufulahie usiumize misuri.

na km unatumia mcongo achana nayo pia. unapocheda RELAX ili mwili wote utumike. kinachotokea unakuwa huna hisia hivyo unatumia zaidi nguvu na misuri ya kiuno dudu na pumbu hivyo inakuwa inachoka kupita viwango na km unapiga nyento pia fanya adoado aghalabu mara tatu kwa wiki.

na katika hizo siku usipige nyento ya hisia mzee weka kideo cha ukweri ufate mapigo inasaidia nyento kuwa safe ila ukiweza ipotezee kabisa nyento inafanya bao licheleewe kwa kukosa hisia 7bu unakuwa hunashindwa kupata gori la piri kwa wakati linakuja linaondoka mpk uvute hisia za madem wengne sasa kama umefika stage hiyo utapasua pumbu hizo.

OA TENA au mfate wife mrudiane
 
Salaam wana Jf

Naomba msaada jamani!

Nina umri wa 26, shida niliyo nayo napata maumivu makali sana nisipo fanya mapenz kwa muda mrefu.

Maumivu yanakuwa katika mirija inayotoa mbegu kutoka kwenye korodani ,kisha yanapanda na kunakua na viuvimbe flani wakati huo, hii ilinianza kabla ya kuoa na baada ya kuoa nikawa fresh, shida sasa nimeachana na mke wangu na maumivu yamerudi zaidi ya awali, nini tatizo?
Shida sio mapenzi,shida infections nenda Hosp.maana kama kufanya mapenz au sperm kuwa nyingi zingejimwagia kitandani zenyewe.Sperm zinatabia ya kuji-,regulate zikijaaa ili zisisababishe madhara kwako.
 
Mkuu
Henia Hiyo Wahi Hospital Vinginevyo Utashindwa Kuvaa Suruali Modo, Baadaye Hutaweza Kuchomekea
Utavaa Kama Brother K Wa Futuhi
 
Salaam wana Jf

Naomba msaada jamani!

Nina umri wa 26, shida niliyo nayo napata maumivu makali sana nisipo fanya mapenz kwa muda mrefu.

Maumivu yanakuwa katika mirija inayotoa mbegu kutoka kwenye korodani ,kisha yanapanda na kunakua na viuvimbe flani wakati huo, hii ilinianza kabla ya kuoa na baada ya kuoa nikawa fresh, shida sasa nimeachana na mke wangu na maumivu yamerudi zaidi ya awali, nini tatizo?
Pole mkuu.Kwa nini umeachana na mke ambaye ndiyo ilikuwa dawa yako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom