Tatizo la kutokwa na maji yenye harufu sehemu za siri

Maserina

Member
Oct 2, 2020
81
108
Habari,

Mimi ni binti nasumbuliwa na maji kutoka sehemu zangu za siri yenye harufu sana. Nilienda hospitali mara 4 kwa vipindi tofauti tofauti nikafanyiwa vipimo wakakuta nina vivimbe maji kwenye mirija ya uzazi.

Nikapewa dawa, baada ya miezi mitano hali imerudi upya. Nakosa amani kabisa naomba msaada wenu wanajf.

Natanguliza shukran zangu za dhati.
 
pole sana mamii, usijali fuata ushauri wa wataalamu humu.... kila kitu kitakuwa sawa.
 
Back
Top Bottom