NIDA bado tatizo: Wafanyakazi wa NIDA wanachukulia watanzania hatuna akili

Syston

JF-Expert Member
Nov 6, 2017
226
500
Wanajamii, nafikiri wafanyakazi wa NIDA wanachukulia watanzania hatuna akili. Binafsi nimejiandikisha tangu mwaka jana mwezi wa 3 lakini kila nikifuatilia kitambulisho naambiwa kwa sasa wanatoa namba tu vitambulisho wamesitisha. Kwa akili ya kawaida huu ni upumbavu uliokithiri kwa sababu;

1. Kutoa namba sidhani kama mtu ndo anapanga hizo namba, ni computer na hata wangetumia computer ya kwanza kuvumbuliwa bado wasingekuwa na spidi ndogo kiasi hiki.

2 Kuhakiki taarifa, mpaka mtu unapigwa picha fomu zako zinakuwa zimekidhi vigezo, kusema wanahakiki sina imani kama wanafuatilia mtu mmoja mmoja kulingana na taarifa alizojaza.

3. Nina imani mashine inayotoa namba ni tofauti na inayochapa vitambulisho sasa nashindwa kuelewa kwa nini utoaji namba uzuie uchapaji vitambulisho.

Mwisho kabisa kauli inayokera wanakuuliza kama umesajili laini ukisema ndiyo wanakuambia sasa we kitambulisho una haraka ya nini, yaani binafsi nimejionea kuna watu wasiofaa wamepewa mamlaka kuhudumia umma. Sasa hivi kuna baadhi ya taasisi wanataka waone ID ukisema una namba wanasema hawana access NIDA kuhakiki namba yako.
 
Zabron Hamis

Verified Member
Dec 19, 2016
2,809
2,000
Wanajamii, binafsi nafikiri wafanyakazi wa NIDA wanachukulia watanzania hatuna akili kama wao. Binafsi nimejiandikisha tangu mwaka jana mwezi wa 3 lakini kila nikifuatilia kitambulisho naambiwa kwa sasa wanatoa namba tu vitambulisho wamesitisha. Kwa akili ya kawaida huu ni upumbavu uliokithiri kwa sababu;

1. Kutoa namba sidhani kama mtu ndo anapanga hizo namba, ni computer na hata wangetumia computer ya kwanza kuvumbuliwa bado wasingekuwa na spidi ndogo kiasi hiki.

2 Kuhakiki taarifa, mpaka mtu unapigwa picha fomu zako zinakuwa zimekidhi vigezo, kusema wanahakiki sina imani kama wanafuatilia mtu mmoja mmoja kulingana na taarifa alizojaza.

3. Nina imani mashine inayotoa namba ni tofauti na inayochapa vitambulisho sasa nashindwa kuelewa kwa nini utoaji namba uzuie uchapaji vitambulisho.

Mwisho kabisa kauli inayokera wanakuuliza kama umesajili laini ukisema ndiyo wanakuambia sasa we kitambulisho una haraka ya nini, yaani binafsi nimejionea kuna watu ni wajinga na wamepewa mamlaka kuhudumia umma. Sasa hivi kuna baadhi ya taasisi wanataka waone ID ukisema una namba wanasema hawana access NIDA kuhakiki namba yako.
NIDA na ndugu zao uhamiaji ni taasisi zinazochangia kuwaumiza watanzania sana. bora yako wewe umejiandikisha mwaka jana. Mimi nilijiandikisha mwaka juzi. Majina yalipobandikwa kuhakiki kama umejiandikisha jina langu lilikuwepo na picha. Namba zilipotoka yangu haikuwepo ikabidi nirudie kujiandikisha walipopita awamu ya pili. Mpaka sasa ni miaka miwili wananiambia taarifa zangu hazijakamilika nitembelee ofisi zao. Niliona ni upuuzi wanaotaka kuufanya maana ukienda ofisini wanataka mpaka vyeti vya wazazi au namba zaoza nida, inamaana waliopoteza wazazi kabla ya zoezi la uandikishaji (hasa vijijini ambako hata vyeti vya kuzaliwa wengine hawaoni umuhimu) hawawezi kupata huduma? Watasema uende ukaape, hv mtu anayehangaikia mkate wake wa kila siku akiwa haijui kesho yake aanze kukopa pesa za kufanyia mizunguko yote hiyo kisa namba? Kuna wapuuzi wengine hukuuliza mpaka sababu ya wewe kuhitaji kitambulisho na usiombe ukasema unataka kwaajili ya pasport.
 
Ze last Born

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
1,333
2,000
Fungeni maturubai....mkeshe mkisema!
Wala hamtupi shida...ndo kwanza tunajidai!
Kama Afisa wa NIDA.............
Huyu mbosso naona nae ashaumizwa na hao wapuuzi wa NIDA ndo maana kawatupia dongo kimya kimya
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
7,244
2,000
Ha
Wanajamii, nafikiri wafanyakazi wa NIDA wanachukulia watanzania hatuna akili. Binafsi nimejiandikisha tangu mwaka jana mwezi wa 3 lakini kila nikifuatilia kitambulisho naambiwa kwa sasa wanatoa namba tu vitambulisho wamesitisha. Kwa akili ya kawaida huu ni upumbavu uliokithiri kwa sababu;

1. Kutoa namba sidhani kama mtu ndo anapanga hizo namba, ni computer na hata wangetumia computer ya kwanza kuvumbuliwa bado wasingekuwa na spidi ndogo kiasi hiki.

2 Kuhakiki taarifa, mpaka mtu unapigwa picha fomu zako zinakuwa zimekidhi vigezo, kusema wanahakiki sina imani kama wanafuatilia mtu mmoja mmoja kulingana na taarifa alizojaza.

3. Nina imani mashine inayotoa namba ni tofauti na inayochapa vitambulisho sasa nashindwa kuelewa kwa nini utoaji namba uzuie uchapaji vitambulisho.

Mwisho kabisa kauli inayokera wanakuuliza kama umesajili laini ukisema ndiyo wanakuambia sasa we kitambulisho una haraka ya nini, yaani binafsi nimejionea kuna watu wasiofaa wamepewa mamlaka kuhudumia umma. Sasa hivi kuna baadhi ya taasisi wanataka waone ID ukisema una namba wanasema hawana access NIDA kuhakiki namba yako.
po NIDA ni hovyo kabisa kutakuwa na mradi wa mtu.
 
Ngwasa Omuyaya

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
2,047
2,000
NIDA CCM ni ya hovyo sana.

Watanzania tunahitaji mabadiliko makubwa sana kwenye hizi ofisi za umma.
 
gunz

JF-Expert Member
Jun 30, 2018
288
500
Hii nchi ya ajabu sana.kama mambo madogo kama vitambulisho vya taifa n.k ni tatizo,mambo ya makubwa ya msingi tutabaki kuyasikia kwa nchi zingine.
Mifumo mibovu,watu kutowajibika.na hata wakivunja sheria hawachukuliwi hatua.
 
mapanga25

JF-Expert Member
May 2, 2020
225
250
NIDA na ndugu zao uhamiaji ni taasisi zinazochangia kuwaumiza watanzania sana. bora yako wewe umejiandikisha mwaka jana. Mimi nilijiandikisha mwaka juzi. Majina yalipobandikwa kuhakiki kama umejiandikisha jina langu lilikuwepo na picha. Namba zilipotoka yangu haikuwepo ikabidi nirudie kujiandikisha walipopita awamu ya pili. Mpaka sasa ni miaka miwili wananiambia taarifa zangu hazijakamilika nitembelee ofisi zao. Niliona ni upuuzi wanaotaka kuufanya maana ukienda ofisini wanataka mpaka vyeti vya wazazi au namba zaoza nida, inamaana waliopoteza wazazi kabla ya zoezi la uandikishaji (hasa vijijini ambako hata vyeti vya kuzaliwa wengine hawaoni umuhimu) hawawezi kupata huduma? Watasema uende ukaape, hv mtu anayehangaikia mkate wake wa kila siku akiwa haijui kesho yake aanze kukopa pesa za kufanyia mizunguko yote hiyo kisa namba? Kuna wapuuzi wengine hukuuliza mpaka sababu ya wewe kuhitaji kitambulisho na usiombe ukasema unataka kwaajili ya pasport.
M tangu 2015 wananizungusha tu
 
nra2303

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
2,771
2,000
Nida imejaa wajuaji na nawajiona washatoboa siku nyingiii! Am sure vilaza na vyeti fake wengi! Mtu anakuambia leta cheti cha kuzaliwa cha marehemu baba yako?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom