Tatizo kubwa hapa ni elimu yetu na pia hao walio mfanyia tathmini ya ajira huyu afisa wa serikali

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,273
1601696676876.jpeg

Kama stakabadhi ya ofisi ya serikali Ina makosa ya kiuandishi namna hii, tena kwa lugha ya taifa. Hii inaashiria nini?
 
Jamani inaskitisha, Badala wajitahidi kufahamu kwanini kazalia nyumbani na waangalie namna ya kumsaidia ndio kwanza wamemlima fine.

Je, sababu ikiwa hakuwa na ile pesa ya kujifungilia je?

Serikali inapaswa iwe makini na sera zake!
Hadi wameweka faini kuzalia nyumbani inawezekana kijiji hicho kina zahanati ila mazoea yanafanya watu wasiende zahanati.
 
Hiyo faini Ni batili... Mbona wakunga wakienyeji, mangariba wakienyeji kwa watoto wakiume na waganga wakienyeji bado wanatakbulika na serikali...

Ina maana nikienda kwa mganga wa kienyeji kutibiwa pumu nitapigwa faini?!
 
Kapigwa faini ili asirudie tena kuzalia nyumbani maana anaweza kufa kama ulivyosema.

Una uhakika hapo Kijijini zipo huduma za afya zinazotolewa bure kwa wa mama wajawazito?

Labda mhusika alikuwa hn pesa za kulipia ktk zahanati au hospitali.

Kama Ni hivyo wasinge mpiga wangempa kesi ya kutaka kujiua...
 
Kwenye halmashauri ya Kijiji Ni kawaida kukuta mjumbe hajui kabisa kusoma Wala kuandika. Huyo ni kichwa
 
Jamani inaskitisha, Badala wajitahidi kufahamu kwanini kazalia nyumbani na waangalie namna ya kumsaidia ndio kwanza wamemlima fine.

Je, sababu ikiwa hakuwa na ile pesa ya kujifungilia je?

Serikali inapaswa iwe makini na sera zake!
Na bado utakuta wanaichagua ccm, wakati mwingine shida nyingi za watanzania ni za kujitakia.
 
Sidhani kama hiyo stakabadhi imeandika na afisa mtendaji,huyo itakua ni mwenyekiti wa kijiji tena toka ccm au mwenyekiti wa kitongoji,huo muhuri sio wa afisa mtendaji wa kijiji.
 
Una uhakika hapo Kijijini zipo huduma za afya zinazotolewa bure kwa wa mama wajawazito?

Labda mhusika alikuwa hn pesa za kulipia ktk zahanati au hospitali.

Kama Ni hivyo wasinge mpiga wangempa kesi ya kutaka kujiua...
Kwamba wangempa kesi ya kutaka kujiua?! Okay....
 
Kupata ajira sikuhizi ni mpaka uwe na elimu si chini ya darasa la 12. Sasa inamaana domo la mwandiko kuanzia darasa la kwanza huyu walimu wake Hawa kulipia hili tatizo!
Kama wewe hapa unaekosoa, umesoma unachoandika?
'domo la mwandiko' ina maana gani?
'walimu wake Hawa kulipia hili tatizo' unamaanisha nini?
 
Jamani inaskitisha, Badala wajitahidi kufahamu kwanini kazalia nyumbani na waangalie namna ya kumsaidia ndio kwanza wamemlima fine.

Je, sababu ikiwa hakuwa na ile pesa ya kujifungilia je?

Serikali inapaswa iwe makini na sera zake!
Ukiwa huna pesa hutakiwi kuzaa
 
Back
Top Bottom