Sheikh Ponda huwa ana tatizo gani? Kwanini anaogopwa sana?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,832
Wakuu habari,

Huyu jamaa nimekuwa nikimsimkiliza akiongea kwenye mikutano au makongamano, naona ni mtu ambaye anajichanganya na watu wa dini zote, na anaongea reasonably.

Lakini huwa anagopwa na kuchukuliwa kama extremist fulani hivi, lakini ukimsikiliza hana u extrimist wowote, kuna baadhi ya viongozi wa Kiislam ambao kweli ukiwasikiliza utaona hawa ni hatari, lakini Ponda yupo cool kabisa.

Halafu jamaa hata sio muongeaji sana, ila akiongea kidogo tu kunakuiwa na reaction kubwa either anakamatwa na polisi au anajibiwa na viongozi wengi wa Kiislam

Au kuna jambo ambalo silijui kuhusu Ponda
 
Wakuu habari,

Huyu jamaa nimekuwa nikimsimkiliza akiongea kwenye mikutano au makongamano, naona ni mtu ambaye anajichanganya na watu wa dini zote, na anaongea reasonably.

Lakini huwa anagopwa na kuchukuliwa kama extremist fulani hivi, lakini ukimsikiliza hana u extrimist wowote, kuna baadhi ya viongozi wa Kiislam ambao kweli ukiwasikiliza utaona hawa ni hatari, lakini Ponda yupo cool kabisa.

Au kuna jambo ambalo silijui kuhusu Ponda
Kama umesoma mada za Waislamu humu, utamwelewa Shehe Ponda. He is against BAKWATA, na Waislamu walio wengi wanasema BAKWATA ni kisemeo ch serikali kwa Waislamu, haiwakilishi mawazo yao in entirety. Zipo mada kibao humu, zipitie umjue vizuri
 
Attachments

  • Screenshot_20201001-094306.png
    Screenshot_20201001-094306.png
    102.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom