tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kila binadamu hufa kwa tatizo la upumuaji, hakuna anayekufa na kuendelea kupumua

    Kila binadamu hufa kwa tatizo la upumuaji pumzi ikikata ndipo hufariki hakuna akaendelea kupumua Siku hizi kuna ujinga unasambaa mtu akifa tu utasikia lilikuwa tatizo la kupumua!! Tafsiri ya kifo chochote ni pumzi kukatika ndio maana kuangalia mtu kama kafa huangaliwa upumuaji. Sasa haya...
  2. JamiiForums Tanzania Nini tatizo la Taifa Stars kushindwa kila mechi?

    NINI TATIZO LA TAIFA STARS KUSHINDWA KILA MECHI!? Leo 12:30hrs 24/01/2021 Nakubaliana na kila Mtanzania kwa 100% na ukizingatia nchi kama Zambia,Namibia,Guinea, Zimbabwe,Rwanda,Burundi,Kenya,Uganda na Burkina Faso tupo sawa tu kiuchumi tena tunaweza kuwa tumewazidi idadi ya watu ikiwa wao wapo...
  3. JamiiForums Tanzania Ninatatuaje tatizo la best friend wangu asie na marafiki wengine kudhani nampuuza napokuwa na washakaji wengine

    Kiufupi mimi ni mtu wa watu sana na nina marafiki wengi sana Hawa mrafiki sio marafiki basi tu, Ni marafiki haswa, Yani kwa siku lazima tuchekiane kwenye simu, wanakuja home mara kwa mara, nikipata matatizo husaidia, n.k Sasa ishu inakuja kwa besti yangu hapa yaani naonaga kama vile hapendagi...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi unadhani kwanini nyakati hizi wanaume wengi wamekumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume tofauti na zamani?

    Habari wadau? Husika na kichwa cha habari hapo juu. Napenda niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi unadhani kuwa ni kwanini nyakati hizi wanaume wengi wamekumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiumee tofauti na zamani? Yaani sasa hivi asilimia kubwa ya wanaume hasa vijana hawezi kufanya...
  5. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maji baadhi ya maeneo ya Dodoma kwa takriban wiki sasa tatizo nini?

    Habari za usiku, ninachukua nafasi hii kuwauliza wahusika wa mamlaka ya maji Safi na Taka ya Dodoma (DUWASA) kutopatikana kwa maji takriban wiki sasa katika maeneo ya mailimbili Oysterbay tatizo nini? -DUWASA mnafahamu fika kuwa mji wa Dodoma hauna Visima,mito na mabwawa kama njia mbadala ya...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la simu kuweka Mistari kwenye kioo

    Wakuu, habari za Asubuhi Simu yangu ina tatizo la kuweka Mistari kwenye kwenye kioo chake na baada ya muda hiyo mistari hupotea. Sasa wakuu hapo shida itakua ni kitu gani maana hiyo mistari naona kama inaondoa muonekano mzuri wa simu.
  7. JamiiForums Tanzania Watawala wetu, tatizo la maji Jangwani tulitegemea litapewa kipaumbe

    Wakazi wa Dar wanaoathirika na tatizo hili ni wengi sana. Pamoja na hayo Dar ni lango la nchi, kwa anga, na kwa bahari. Wageni wengi wanaingia Tanzania kupitia lango la Dar. Daraja la juu la miguu na la magari lingeokoa muda mwingi watu wanaopoteza katika kadhia ya usafiri eneo hili wakati...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada wa namna na gharama za kusajili Blogu

    Habari Wakubwa? Kulingana na suala la ukosefu wa Ajira nchini na Duniani kwa ujumla, baada ya kuhitimu mafunzo yangu ya chuo, nahitaji kufungua blogu yangu, ambayo inakuwa kama entertainment and news media, ili niweze kujipatia chochote kitu. Naomba kujua taratibu za kisheria hususan TCRA...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Gigy Money kafanya nini huko kwenye ziara ya Tumewasha na Tigo?

    Habari, Kuna clip moja nimeiona kwenye mtandao wa Instagram ikimuonesha mtu mmoja ambaye bila shaka alikuwa ni kiongozi wa tour ya jana ya WCB ya tumewasha na tigo waliofanya jijini Dododma akiomba radhi ya jambo linaloonesha sio la kiungwana na lisilokuwa na stahala lililofanya na "Msanii"...
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la upakiaji maudhui Instagram katika tovuti kupitia kompyuta

    Nakumbana na tatizo wakati wa upakiaji maudhui (Picha/Video) Instagram kupitia kompyuta. Nimetumia mbinu mbalimbali kuweza kutatua na kila jitihada pasi ya mafanikio, nawaza yaweza kuwa tatizo toka Istagram moja kwa moja. Kuna yeyote amekumbana na tatizo hili, Ipo namna ya kulitatua?
  11. JamiiForums Tanzania TRC na Ajali ya Dodoma: Kuna tatizo la kiutendaji

    Hii ajali ya majuzi, treni kuacha njia baada ya mvua kubwa, limeniacha na maswali ambayo lazima yajibiwe. Baada ya ajali mbaya ya train na MV Bukoba zilizotokea miaka ya My Mkapa, Awamu ya pili, nilitegemea tutakuwa kumetengenezwa Standard Operatinal Procedures kwa kuendesha hivi vifaa vyetu...
  12. JamiiForums Tanzania Tatizo la maji Hai Mjini

    Aslalekum, Naleta mada hii ya shida ya maji hapa Bomang'ombe na viunga vyake. Anayesimamia huu mradi (Engineer Shoo) ndio tatizo sijui kwanini hajiongezi. Kwa mkoa wa Kilimanjaro kukosa maji miezi mitatu au miwili mfulilizo hii ni kudhibitisha kwamba huyu ndugu yetu Shoo huu mradi umemshinda...
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO LA SIKIO Mwanangu ana umri wa miaka 2 na nusu. Ameanza kuugua ugonjwa wa sikio kuuma na ku_discharge mara kwa mara na doctors wamekuwa wakimpa atibiotics ambazo nimeona hazimsaidii. Mara hii anaumwa ni awamu ya 3 ugonjwa kumrudia, nifanye nini...
  14. JamiiForums Tanzania Jamani msaada juu ya tatizo hili

    Jamani mm Nina tatizo la kusikia kidogo japokuwa namshukuru mungu pia kwa sababu nawaza je ningekuwa sisikii kabisa sijui ingekuwaje kwangu hii Hali imenifanya niwe natumia nguvu Sana katika baadhi ya mambo yangu Mimi Niko chuo first year kwa mfano lecture Kama anafundisha bila Mike napata...
  15. JamiiForums Tanzania Ni ipi mipango ya Serikali ya awamu ya tano katika kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania?

    Habari ndugu zangu, Sote tunafahamu ukubwa wa tatizo la upatikanaji wa ajira nchini kwa miaka ya hivi karibuni. Kwa kipindi tulichopo, hakuna tofauti baina ya msomi wa masters na aliyeishia darasa la pili, maana wote wanakimbilia kazi primitive zisizohitaji ujuzi wowote wa kielimu (mfano...
  16. JamiiForums Tanzania Nimeziba jino zaidi ya mwezi nyuma, sasa hivi nikitafuna kama lina ganzi, nikibonyeza juu ya shavu kuna maumivu kwa mbali nayasikia, nini tatizo?

    Nimeziba jino mmoja ya hospitali hapa mjini sio vizuri kuitaja jina kwa sababu nitaharibu biashara ya watu wakaikimbia Dar. Jino langu nimeziba zaidi ya mwezi wakuu siku ya kuziba nilichomwa sindano ya ufizi ganzi ikaingia uzuri nikafanyiwa harakati nikamaliza, nikarudia kama awamu mbili...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maumivu makali wakati wa kufanya tendo la ndoa

    Wakuu habari ya wakti huu. Nina mwanamke wangu ambae anapata maumivu makali sana wakati wa kufanya ngono, hata penetration ni issue. Ukufanikiwa ku-penetrate bado analalamika maumivu makali. Kwa ujumla uume ukigusa tu ukeni anaanza kulalamika maumivu makali. Amewahi kwenda kwa specialist kule...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la joto kupungua kea Watoto Njiti na Suluhu yake

    Joto la mwili kupungua (hypothermia) #MtotoNjiti huwa anapoteza joto kwa haraka zaidi Ni lazima kuhakikisha anatunzwa vizuri kwa kutumia njia kama vile kumfunika nguo, kumweka katika mashine maalum (incubators) Njia nyingine ni kumweka kifuani kwa Mama (Kangaroo Mother Care) pia kuepuka...
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo la Clutch

    Wakuu habari za asubuhi Mimi nna Starlet ambayo ni Manual Transimission. Gari iliisha clutch plate nikabadilisha. baada ya kubadilisha likarudi kwenye hali yake lakini gia zikawa zinaingia na kutoka kwa shida ila baada ya muda lile tatizo la clutch plate likarudi gari likawa linakosa nguvu...
  20. JamiiForums Tanzania Shirika la Bima la Taifa (NIC) kuna tatizo gani? Mbona hamlipi fedha za watu kwa wakati?

    Mimi ni mfanyakazi wa taasisi X ya umma hapa Shinyanga... Nilichukua bima ya elimu (Education Provider With Profit) kwa ajili ya ada ya watoto wangu hapa tawi la NIC - Shinyanga yenye thamani ya Tshs 7,500,000 kwa makato ya Tshs. 62,500 kila mwezi kwa miaka kumi (10) tangu mwaka 2010... Bima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…