tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Hii Hali ya Umeme kutouwepo siku nzima maeneo mbalimbali ya nchi, tatizo nini

    Umeme kwa huu mwezi unakatika Sana siku nzima, ukiuliza emergency wanajibu matengenezo, nimetembea mikoa Saba mwezi huu shida Ni hiyo hiyo, huku wengine wanasema mitambo imechakaa , huku wengine wanasema stigler, wengine wanasema mgao wa kimya kimya, embu serikali itoe kauli Kama Kuna mgao...
  2. King Kong III

    JamiiForums Tanzania Kuna Tatizo la kununua Umeme wa LUKU kwa kutumia simu?

    Habari wadau, Kuna shida yeyote ya kununua umeme kwa Luku? Nimejaribu kununua umeme kwa halopesa naona inagoma,vipi ni mitandao yote au ni halopesa tu? KK, MINJINGU.
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kama hutojali, tupe siri yako ya kupata usingizi haraka usaidie wenye tatizo hili

    Anayesimulia mvua ujue imemnyeshea, yawezekana kwa wengine ikawa ni mshangao wanaposikia kuna watu hawapati usingizi kirahisi, lakini hili tatizo linawasumbua watu kiukweli. Mtu anaweza kuingia kitandania saa nne usiku ila usingizi ukampata saa sita usiku. Binafsi njia nayotumiaga ni kusikiliza...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni Wagombea wa CHADEMA au tatizo ni Wananchi wanaozidi kuwaunga mkono?

    CCM imeshinda kata, majimbo na Urais majimbo mengi nchini. Tulitegemea kushinda kwao kungepunguza kamatakamata ya wagombea wa upinzani na wale waliochaguliwa wangeanza kutekeleza ilani ila hali ni tofauti kwa ground. Imeanza kuibuka dhana yakuhujumiwa inayotolewa na madawani na wabunge. Mfano...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Hii sasa ni kali. Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi" Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Tatizo hili si Francis Ndulane pekee, hata hawa waliwahi kubabaika sana kuapa mbele ya Rais Magufuli. Ndulane apewe nafasi tena aape vizuri!

    Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli mimi najua wewe ni jembe kwelikweli na hutaki mchezo katika masuala ya kazi. Nakuomba Mkuu najua nafasi hizi Mungu ndiye hupanga. Angalia tena wakati unamwapisha Ndugu Martin Shigela kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, pamoja na Shigela kuwa na Masters ya sheria (LLM)...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai asema Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mahakama pekee wanaweza kumuambia kuwaondoa Bungeni Wabunge 19 wa Viti Maalum CHADEMA

    Leo jijini Dodoma wameapishwa wabunge wapya wawili walioteuliwa na Rais Magufuli kwenye nafasi zake za wabunge walioteuliwa na Rais, miongoni mwa waliohutubu kwenye hadhara hiyo ni naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dkt. Tulia Ackson ambaye ameelezea umuhimu wa Bunge kuwa karibu na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Jifunze na ufahamu kuhusu tatizo la kusaga meno (Bruxism)

    Tatizo la kusaga meno kwa kitabibu huitwa bruxism, hali hii inaweza kusababisha meno kuharibika na matatizo mengine ya kiafya kwenye kinywa yanaweza kutokea Kwanini Watu Husaga Meno? Hali hii husababishwa na vitu kama msongo wa mawazo, hasira na magonjwa ya usingizi Unawezaje kugundua ikiwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Upinzani Tanzania ni kukosa itikadi

    Tatizo kubwa la upinzani wa Tanzania ni kufanya siasa za mazoea na mihemko, vyama vinashindwa kujenga wanachama kwa mifumo ya kiitikadi. Pia vimeshindwa kutafuta wanachama kwa Makundi ya Vijana wa Vyuo, waliokosa ajira au wenye matatizo mbalimbali. Matokeo yake makundi hayo yanapotatuliwa...
  10. britanicca

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa 'broke' Mwanamke hawezi kukusaidia

    Kwanini wanawake wengi ikatokea ukayumba kidogo au ukamwambia mpenzi wangu nisaidie kiasi fulani nitrejesha anasema sina, huku unajua anayo. Tabia hii inakera sana
  11. Ilitara kimura

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uhaba wa mafuta ya kula siyo la Tanzania pekee

    Jana Kuna watu humu walikuwa wanajadili kuhusu uhaba wa mafuta ya kula. Leo FAO wametoa takwimu Kuwa mafuta ya kula yameadimika kwa asilimia 14 duniani kote. Tanzania siyo kisiwa changamoto hizi lazima tupambane nazo Kama nchi hakuna namna nyingine.
  12. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira ni bomu linalosubiri kulipuka

    Duniani kote ajira ni changamoto, lakini namna ya kulishughulikia ndiyo tatizo zaidi hapa kwetu Tanzania. Kwanza Serikali imekuwa chanzo kikubwa cha tatizo hili na kupelekea kutengeneza mpaka propaganda ili ionekane imeajiri. Suala la Serikali kudai imeongeza kiasi cha ajira kinakifikirisha...
  13. SueIsmael

    JamiiForums Tanzania Namna pekee ya kusonga mbele ni kubadili mifumo

    Matatizo mengi tunayoyapitia ya kisiasa, kiuchumi na kijamii yametokana na mifumo tuliyonayo kama nchi na wananchi, pamoja na mifumo iliyojengwa "na dunia". Bara la Afrika lilikuwa na mifumo yake ya uongozi, uchumi, ustaarabu, jamii, usalama, nk., kabla ya biashara za masafa marefu na kabla ya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Maamuzi mengi katika Mihimili ya Uongozi Tanzania yanatolewa kufuata hisia za mtu na sio ushahidi (facts) au Sheria

    Hili ni tatizo kubwa sana Tanzania, na huwa naliona katika mihimili mitatu ya usimamizi wa nchi, kuanzia Raisi, Spika, Mwanasheria Mkuu na hata mahakimu katika mahakama zetu! Viongoi wetu wamefika mahali wanavunja Katiba, Sheria au Taratibu zinazokubalika kwa ulevi tu wa hisia zao binafsi. Na...
  15. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Viongozi wote wa juu BAWACHA ''Wamenunuliwa'' au ni tatizo ndani ya CHADEMA?

    Kama tukikubaliana na hoja ya ''kununuliwa'' ambapo viongozi wote wa Juu wa Balaza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) wanaweza ''kununuliwa'' basi kuna tatizo kubwa nala msingi ndani ya chama ambacho kwa sasa kingekuwa ni chama kilichokabidhiwa mali za Taifa zima wazilinde na kuziendeleza kama...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Bagonza: Tanzania ina tatizo la mmomonyoko wa Maadili. Watu wanaheshimu matokeo kuliko mchakato uliotumika kupata matokeo husika

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, alipohojiwa na MwanaHALISI Online juu ya maoni yake kuhusu sakata la CHADEMA. Sakata hilo liliibuka baada ya wanachama 19 wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee...
  17. Little brain

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina tatizo la kutopata usingizi

    Wadau naombeni ushauri, Nina tatizo lakutopata usingizi yaani usingizi unaanza kunijia saa 9 nakuendelea Tatizo hilo limenifanya nirudi kwenye matumizi ya sigara ndio napata usingizi. Ushauri wenu tafadhari
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Gari yangu inalia mlioo wa kukakamaa napokata kona mpaka mwisho, tatizo ni nini?

    Ni gari aina ya toyota sprinter, unapozungusha steering wheel (msteringi 😂) kwa sana inaanza kupiga kelele ka ka ka ka, kuna vishindo unavisikia kwa mbali vinavyoambatana na hio sauti. Na kama vp tusaidiane bajeti ya kutegemea, nsije pigwa na mafundi. MREJESHO Sehemu ya kwanza alikopeleka...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Baba amshambulia mwanaye kwa sime. Naye afariki kwa tatizo la upumuaji

    Mtoto mwenye umri wa miaka 9, mkazi wa Kitongoji cha Batini, wilayani Gairo, mkoani Morogoro, amenusurika kifo baada ya kukatwa na kitu chenye ncha kali maeneo ya shingoni na baba yake mzazi aliyefahamika kwa jinala Yakobo Taolo (38), huku chanzo kikidaiwa kuwa ni imani za kishirikina. Kamanda...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini 'tatizo' hili linaloongezeka haliwi 'addressed' kwa 'public' kama mengineyo, ili liweze kupatiwa 'Ufumbuzi' wa haraka nchini?

    Sasa nina Siku ya Tatu ( 3 ) ninaoga kwa Kutumia 'Sabuni' za kila aina ila 'harufu' Kali ya 'Mbunye' moja niliyokutana nayo hapa Juzi kati bado 'inanigomea' tu kunitoka ( kama si kuniaga ) kabisa Mwilini mwangu. Na hapa simaanishi tatizo hili wanalo Wanawake wote, ila siyo 'Siri' na mtanisamehe...
Back
Top Bottom