tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mkemiamkuu

    JamiiForums Tanzania Gauge ya temp kushika chini tatizo ni nini?

    Habari wana Jamii Forum, naomba wenye kujua hili wanisaidie. Nimebadirisha rejeta ya gari yangu baada ya iliyokuwepo kuwa inavuja sana, niliunga sana na ikachoka kabisa, na hii niliyoweka ni mpya kabisa, lakini Cha ajabu nikiwa naenda safari ndefu kidogo mshale wa temp unashuka mpaka zero Ila...
  2. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Hili tatizo la umeme linashusha uchumi wa nchi kwa kasi

    Hapo vip! Hili tatizo laumeme tunaomba wahusika waliangalie kwa jicho la kiuchumi. Uchumi wa watanzania wengi unategemea umeme, sasa kama umeme unakatwa kirahisi rahisi tu. Tafsiri yake nikwamba serikali na Tenesco mmekuwa chanzo cha umaskini kwa Watanzania. Tunaomba serikali iwe sereous na...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga ina tatizo la kocha, wachezaji au viongozi?

    Timu haifanyi vizuri, ushindi mwembamba, sare nyingi na sasa imefungwa, tena kiuhalisia ilipaswa iwe imefungwa na kagera sugar pia. Tatizo la Yanga ni kocha, wachezaji, wafadhili au viongozi wa Yanga?
  4. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wapenzi wa mahesabu, kuna tatizo gani hapa?

    Nimekutana na hii calculus hapa na nikagundua kuwa kwenye maelezo yake kuna matataizo. Je kuna anayeweza kujua kuna tatizo gani? Calculus yenyewe hii hapa kwenye hii link: http://www.maths.gla.ac.uk/~cc/2x/2005_2xnotes/2x_intfact.pdf
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hili ni tatizo kwa vijana wengi wa Kitanzania, nimesikitishwa sana. Serikali iangalie jambo hili

    Habarini. Nimefika jumamosi kutoka Sweden, Canada, Spain, UK, USA, Egypt na Botswana. Safari hii sikuzunguka sana. Leo Jumatatu huwa mara nyingi natumia JEEP so nimetoka zangu home kwenda Ofisini asubuhi hii ikatokea ajali ndogo tu. Toyota Vits imegonga Gari VW kiasi tu imechubuka. Nakumbuka...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa na mistari tumboni linasababishwa na nini?

    Hili tatizo lilianza mwaka uliopita. Nikaenda hospital waliniambia nipunguze uzito. Nimepunguza but bado hii mistari haitoki. Niini linaweza kuwa sababu ya hili tatizo na solution yake.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Tecno Camon X

    SOLD
  8. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ifanye haya kumaliza tatizo la ajira kwa vijana

    Kiukweli serikali ya awamu ya tano chini ya JPM imefanya mambo makubwa sana katika nyanja ya kuboresha miundombinu na huduma za afya kitu ambacho kila mwananchi anatambua hilo bila ubishi. Ila bado vijana wanaonekana kama kundi lililosahaulika ,japo ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inasema...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana mimba ya miezi mitatu na wiki mbili ila mtoto anacheza tumboni!

    Habari wakuu Mke wangu ana mimba ya miezi mitatu na wiki mbili ila mtoto anacheza! Je, hili sio tatizo?
  10. Miguel Alvarez

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu ina tatizo kwenye camera

    Natumaini nyote mmeamka salama, Msaada tafadhari Simu yangu imekuwa na tatizo la upigaji camera kila ninapopiga picha inakuwa na ukungu hata haionyeshi,tatizo hili limeanza gafla,kipindi cha nyuma haikuwa hivi msaada tafadhari natumia Itel
  11. Waziri wa Kaskazini

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wilaya ya Rombo kuna tatizo kubwa sana la Network?

    Sijawahi kuelewa kwanini hii Wilaya mitandao ya sim inasumbua sana network, ukiwa na smartphone network kuipata hadi uende sehemu yenye mnara wa simu. - Miaka ya nyuma nilikuwa natumia laini ya safaricom ya Kenya nilikuwa napata network na Internet ya uhakika. - Ukija upande wa radio ndiyo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Watalaam, nini suluhisho la hili tatizo la uvimbe shingoni na homa?

    Habari zenu wakuu, Kuna jamaa mmoja analalamika ana uvimbe shingoni na homa. Alifanyiwa ultrasound ya shingo mwaka jana mwezi wa saba akaambiwa kitalaamu ana multiple cervicle limphnodes enlarged inayotokana na TB, akaanzishiwa dozi ya TB ambayo alimaliza mapema januari mwaka huu, lakini uvimbe...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kumtegemea mtu mmoja ni tatizo, ACT Wazalendo inaweza kufa baada ya Maalim Seif kufariki

    Maalim Seif alikuwa ndio nguzo ya CUF na alipohama CUF nayo ikawa imekufa " kimsingi " Maalimu Seif akawa nguzo ya ACT Wazalendo ambayo wabunge wake wote ni wafuasi binafsi wa Seif. Kufariki kwa Maalim Seif kunaweza kuwa ndio mwanzo wa kifo cha ACT Wazalendo pia. Lakini naamini Mwamba Zitto...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kiasi cha shahawa zangu kimeongezeka. Je, kuna tatizo?

    Habari wadau Nimekuja mbele yenu wazoefu ama mliowahi kupitia hali hii. Ni kwamba kwa sasa kiwanda kinatema bidhaa yake ya upwilo kwa kiwango kilichozidi kwa asilimia kama 30 za ziada. Binafsi ninapokaribia mara nyingi huwa naumwaga upwilo kwenye kanga spesho ila kwa saizi imekuwa too much...
  15. PingPong

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kizunguzungu: Fahamu chanzo, dalili na tiba yake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU Wakuu naomba nifikishe kilio cha rafiki yangu mmoja mwenye tatizo la kupata kizunguzungu kila alalapo, hasa anapolala chali kitandani. Huyu jamaa ana umri kati ya miaka 30 - 35, hana historia ya kuvuta sigara, hatumii pombe wala hatumii madawa makali ya...
  16. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Hili la Ukosefu wa Ajira tatizo lilianzia hapa kwenye D2, wazazi tuwaambie vijana ukweli, vyuo vya ovyo ovyo elimu ovyo!

    Ndugu wazazi wenzangu wasalamu, Kuna jambo nataka niwaeleze, na hii ni pamoja na vijana wenzangu, wanaopata maisha ya tabu kwenda kusoma miaka zaid ya 18 kutegemea ndoto ambazo hazitimii. Nitaeleza kidogo: Hapo zamani kidogo, chini ya miaka ya 2000s ilikuwa ni lazima mtoto afaulu Darasa la...
  17. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa gani nitumie kutibu hili tatizo la maumivu ya upande mmoja wa mshipa wa wa sehemu za uzazi

    Habari JF Doctors na wadau mbalimbali, Nina kijana wa kiume miaka 19 anasumbuliwa na maumivu ya upande mmoja wa mshipa wa sehemu za uzazi, Tatizo hili limemuanza wiki moja nyuma ambapo palianza kuvimba kidogo kidogo lakini saivi pameongezeka na maumivu anasikia makali. Chanzo cha tatizo...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Nadharia ya Makadirio ya ukubwa wa changamoto ya upumuaji ukiiweka kitakwimu ili uone ukubwa wa tatizo uchukue hatua

    Wakati mwingine Saikolojia inashauri kwamba! Ili ufanikiwe kujikinga na jambo lazima ulikadirie ukubwa wake! (Assuming and assumption theory) Mtu anaekata mti ili abaki salama ni lazima awe anafahamu vyema kukadiria madhara ya mti au tawi analokata litakavyoanguka! Kumekuwepo na ongezeko...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Je, hili ndio tatizo vijana wengi wa siku hizi kuwa na vipara ukilinganisha na wa zamani

    Inakuwaje wanajamvi, Yani ukiangalia picha na video za miaka ya tisini kurudi nyuma vijana wengi hadi wa makamu miaka 45+ walikuwa na afro na nywele nyingi. Ngumu sana kukuta vipara. Ila sasa hivi kwaanzia ma teenegers hadi 27 years wengi wana vipara. Tatizo nadhani msongo wa mawazo, vyakula...
  20. Ma Mshuza

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na huyu Bi Shost. Mabwawa tunayo, Ubaridi tunao na Hili ndo tatizo

    Wanawake sasa hivi tunaaachia sana....tunatanua miguu mpaka hatutaki irudisha tena. Siku mbili tatu mtu kaomba mzigo kakuhonga unamwachia. Matokeo yake mnabaki kulalamika sijui wanaume vibamia, sijui hawawaridhishi. Mimi naponawa nanawa kwa umakini hata kidole changu kidogo kuingiza ni shida...
Back
Top Bottom