Gigy Money kafanya nini huko kwenye ziara ya Tumewasha na Tigo?

WINGER_TEREZA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
242
450
Habari,

Kuna clip moja nimeiona kwenye mtandao wa Instagram ikimuonesha mtu mmoja ambaye bila shaka alikuwa ni kiongozi wa tour ya jana ya WCB ya tumewasha na tigo waliofanya jijini Dododma akiomba radhi ya jambo linaloonesha sio la kiungwana na lisilokuwa na stahala lililofanya na "Msanii" Gigy Money.

Kwa kuwa sikupata "muda" wa kuangalia tamasha hilo nikajaribu kupitia comments za wadau labda ningeweza kujua nini 'kayatibwanga' huyo 'msaani' Gigy Money ila la hasha sikufanikiwa kupata hata comment iliyojibu swali ambalo hadi mda huu najiuliza Gigy kafanya nini huko Jijini Dodoma?.

Comments nyingi za kwanza nilizozisoma zilionesha wadau kutoridhishwa na kuwalaumu label ya WCB kuendelea kumpa shavu Gigy Money ili hali inasemekana 'alikwisha haribu' kwenye show ya Kahama kwa kuingia na 'chupi' stegini na wengi wanauliza kwanini anapewa hiyo nafasi ilihali kuna wasanii wa kali wengi kuliko yeye ambaye sio msanii.

Wanajukwaa, naombeni kujuzwa Gigy Money alifanya kituko gani kwenye show ya jana huko Jijini Dodoma?
 
Kuingia na chupi kwenye show ni tatizo? Kwani ile ni kwaya au kaswida? Basi wamshonee zile nguo wanazovaa wamama wakienda msikitini
Yeah kuingia na chupi inaweza isiwe tatizo ila kama show iko live naona kuna tatizo. Then kumbuka Afande Sele alishawahi kuvua nguo jukwaani na akabakiwa na boxer na kuna baadhi ya watu wanamlaumu mpaka leo na kusema kuwa huenda mjani ulimpanda kichwani.
 
Huwa siwaelewagi hao WCB unaweza vipi mpa demu kichaa Kama yule
Kila itu ni biashara na kila biashara ina watu wake wanaofanya nao kazi. Nilikuwa nashangaa kusikia wakina flani wanawapendelea weusi wanaua vipaji, mbona kwenye show zao hawawachukui wakina flani. Lakini ukweli ni kwamba WCB wana watu wao kama akina Giggy, naona sasa na Nai offcial pia, na wengine wengine ambao kwa wengine wanaonekana hawana vipaji, EFM nao wana watu wao akina Ney wa mtgo, Sunura majanga, na wengine wengine, na CLouds wanao wakwao.
Ifike wakati kusema eti redio flani inaua vipaji kwa kuwabeba wasanii wasiokuwa na vipaji watu waache. It's all about business.
Ile nguo ya giggy nimeona picha chupi ina urembo over kaacha nyap* nje
 
Aisee kumbe ni mixture nyap*, asante kwa kunifahamisha. Ndio maana kwa % wadau walikuwa wanalaumu!
 
Ni balaaa ..
Screenshot_20210102-193835_1.jpg
 
Kila itu ni biashara na kila biashara ina watu wake wanaofanya nao kazi. Nilikuwa nashangaa kusikia wakina flani wanawapendelea weusi wanaua vipaji, mbona kwenye show zao hawawachukui wakina flani. Lakini ukweli ni kwamba WCB wana watu wao kama akina Giggy, naona sasa na Nai offcial pia, na wengine wengine ambao kwa wengine wanaonekana hawana vipaji, EFM nao wana watu wao akina Ney wa mtgo, Sunura majanga, na wengine wengine, na CLouds wanao wakwao.
Ifike wakati kusema eti redio flani inaua vipaji kwa kuwabeba wasanii wasiokuwa na vipaji watu waache. It's all about business.
Ile nguo ya giggy nimeona picha chupi ina urembo over kaacha nyap* nje
Hiyo show ni ya wasafi media sio wcb.

Halafu hao wasanii wote huwa wanatumika pia na media nyingine tofauti na wasafi isipokuwa hao wasanii wa wasafi tu.

Kuhusu kuua vipaji hiyo ni real kuna media zinakuzima kabisa ila sio wasafi. Wao wana play nyimbo zote hadi medicre inapigwa pale.
 
Nimeongelea wasafi media na ndiyo maana ni karefer media.
Basi sawa
 
Hiyo show ni ya wasafi media sio wcb.

Halafu hao wasanii wote huwa wanatumika pia na media nyingine tofauti na wasafi isipokuwa hao wasanii wa wasafi tu.

Kuhusu kuua vipaji hiyo ni real kuna media zinakuzima kabisa ila sio wasafi. Wao wana play nyimbo zote hadi medicre inapigwa pale.
Chibu Domo akikuomba chochote utamnyima kweli ????
 
Back
Top Bottom